Inawezekana maada hii ilishajadiliwa hapa lakini naomba niianzishe tena.
Tumeshuhudia kilichotokea Samunge,kilichotokea wenye DECI na yanayotokea sasa ambapo watu tofauti wanatangaza biashara...
Kuna vikao vya siri vinaendelea hapa mkoani Kigoma,mbaya zaidi vinawahusisha viongozi wa polisi mkoa wote wa Kigoma. Hawa jamaa wamejipanga sana Kesho Nape atahutubia Kasulu, Kinana atakuwa...
Leo mjini Arusha majira ya saa 10 za jioni mwandishi wa habari wa kujitegemea Joseph Ngilisho amekamatwa na maafisa wa takukuru kwa tuhuma za kupokea rusha ya shilingi milioni 2 kutoka kwa afisa...
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akizungumza katika kipindi cha Nipashe cha Radio One Stereo, amesema anawaeleza Watanzania kuwa, uchumi wa Dunia wa sasa ni wa...
Monday, January 28, 2013
CCM: Msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma
Huu ni Msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!
Msafara...
Ikiwapendeza wakuu;
Hali imeanza kupamba moto tena ndani ya CCM na Jumuiya yake ya UVCCM hasa Jumuiya hii inapoelekea kukaa katika kikao chake cha Baraza kuu mapema mwezi wa pili.
Ndani ya...
WAZIRI wa Afya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Juma Duni Haji (CUF) amesema kuwa Serikali ya Tanzania haina budi kuketi chini na kujitathimini ili kukabiliana na tatizo la vurugu za...
Picha hii sio halisi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, anatarajiwa kuondoka nchini leo jioni kuelekea nchini India kwa ajili ya ukaguzi wa afya.
Huu ni utaratibu wa...
Ili kiweze kuja kushika madaraka ya utawala wa nchi yetu na hatimaye kuliongoza taifa CDM inahitaji kuaminiwa na wananchi wengi zaidi na zaidi ya kuaminiwa inahitaji kukubaliwa kuwa ni chama cha...
Monday, January 28, 2013
Kwanza ningependa kukupongeza wewe mwenyekiti Mh Jaji Warioba pamoja na tume nzima kwa imani kubwa ambayo Rais ameionesha kwenu, ni kwa kuwapa jukumu hilo zito na muhimu...
Habari imeandikwa naAlly Kondo - Addis Ababa, Ethiopia
Tanzania imesifiwa kwa kuwa nchi pekee duniani iliyoweza kudumisha muungano wa nchi mbili kati ya Tanganyika na Zanzibar ambao mwaka 2014...
KITAIFA
Nyumba ya Mbunge wa Jimbo la Masasi,Mariam Masembe ambayo ilichomwa moto na watu wenye hasira. Vitu mbalimbali viliharibiwa.
Na Waandishi Wetu
Posted Jumatatu,Januari28 2013 saa...
KITAIFA
Na Joseph Zablon
Posted Jumatatu,Januari28 2013 saa 21:24 PM
KWA UFUPI
Sijui chochote na nipo kanisani, Sijui hata hiyo notisi ya halmashauri kutaka kunyanganya mashamba,...
Tuliyoyaona Mtwara si mageni sana kwenye vurugu za kisiasa. Inatokea vurugu, na vijana huanza kuvamia maduka, nyumba na vitega uchumi vya wale wanaodhaniwa ni matajiri. Hii inatokea si lazima kwa...
Nimeshngazwa na habari kutoka vyombo kadhaa vya habari, kuwa eti Mbunge Mnyaa w kutoka Zanzibar anapeleka hoja binafsi juu ya matatizo yaliyotukumba hivi sasa, hususan gesi ya Mtwara.
Nimemsikia...
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015
Zitto Kabwe
¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu...
I would like to ask about the solution of confilict between Tanzania and Malawi upon lake nyasa, that the report from the diplomatic meeting which was conducted btn the two countries came to...
Muda mfupi ujao Mheshimiwa Zitto Kabwe atakuwa na mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia mgogoro wa gesi, na kutoa mapendekezo kuhusu namna ya kupata suluhu. Utafanyika katika Hotel ya JB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.