Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakupongeza sana Dr. Slaa kwa kusema ukweli wako kabisa na tumekuelewa. mara ya Kwanza nilidhani hizo pesa uliiba kama wenzetu wanaoiba pesa ya na rasilimali za Taifa, kumbe umekopa ambayo maana...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna hamasa inafanyika hapa maeneo ya kizuiani na mbagala kuhamasisha watu kutoka mtwara wakutane kesho mwembe yanga kuunga jitihada za wenzao kule nyumbani. Pia wameomba wana mtwara walioko...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari nilizozipata hivi punde toka Tarime mjini ni kwamba, kuna ujumbe wa SMS unaosambazwa kuwahimiza wananchi kuamka na kuanza ukombozi. Wamepanga maandamano Alhamisi inayokuja na Ujumbe...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
MZOZO wa gesi mkoani Mtwara umefika mahali pabaya na serikali lazima ielekeze nguvu zake huko kuhakikisha mzozo huo unamalizika. Kwa takriban wiki mbili sasa, vyombo vingi vya habari vimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi katika Ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2010 inatamka wazi katika Ibara ya 63 kifungu cha H na K juu ya gesi ya Mnazibay Mtwara na Songo songo Kilwa, Lindi kuhusu umeme wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wednesday, 10 October 2012 21:57 Mwandishi Wetu BAADHI ya mataifa ya Mashariki ya mbali ikiwamo China yamedaiwa kuchochea kwa kiasi kikubwa kuendelea kwa vitendo vya ujangili katika mbuga...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana, kama tunavyojua, masasi kulikuwa na maasi ambayo kwa kiwango hayawezi kufananishwa na tukio lolote la aina hapa lililowahi kutokea. Lakini suala moja ambalo liliambatana na vurugu hizo...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Mara ya mwisho mtandao wao ulikuwa updated 2005 Opportunities Watanzania hawajui: Ramani ya Maeneo yepi yana hayo mafuta au gesi Makampuni yepi yanafanya huo Utafiti Makampuni yepi yamepewa...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Maongozi ya Mungu Chadema hawajawa na mikutano kipindi hiki wangesingiziwa kuwa chanzo cha machafuko Wiki mbili zilizopita nilileta mada yenye kichwa: Kikwete ameteleza kuhusu gas Mtwara...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Matatizo Makuu yanayowakabili watanzania katika maisha yao ya kila siku 1. Huduma Mbovu za Afya, (viongozi wetu hawatibiwi kwenye hospitali za umma, hata checkup wanafanya nje ya nchi) 2. Kiwango...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi nikiwa kama mwathirika wa kwanza na mtanzania ni muda mrefu sasa hatuna diwani kwenye kata yetu yapata mwaka mmoja na nusu sasa, Hatujapewa sababu za kutokufanyika kwa uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa CCM taifa Philp Mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani Iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa CCM katka viwanja vya Mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz...
4 Reactions
101 Replies
9K Views
Ndugu zangu, Babu yangu mzaa baba alipata kuniambia; mkanye mwanadamu anapokwenda, si anaporudi. Naam, Afrika tunaaga kabla ya kufunga safari. Na mwanadamu mwenzako anapokuaga, basi...
1 Reactions
1 Replies
911 Views
Sunday, January 27, 2013 Kampuni ya Seagull Transporter Zanzibar imesema haikuwa muafaka kwa serikali kuzuia meli kubeba abiria na badala yake kuruhusiwa kuchukua mizigo kama njia ya kuondoa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ni kati ya watu wanaopenda sana capitalism lakini uwekezaji wa Tanzania one kwenye Tanzanite hauna manufaa kwa taifa. Tanzanite tofauti na Gold haihitaji uwekezaji wa kampuni kubwa kwani ni...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Kwa mujibu wa habari zilizoripoitwa na Clouds FM kama "Breaking News" muda huu, ni kuwa hakuna nyumba za viongozi zilizochomwa moto katika vurugu za Mtwara, kama ilivyo ripotiwa na baadhi ya...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Ni wazi bila kificho kuwa suala la bomba la gesi toka mtwara kuja Dar es salaam limejaa kizungumti, mizengwe , kutoshirikishwa Wananchi na kasoro za kimkakati na kila mpenda amani na maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BALOZI wa Norway nchini, Ingunn Klepsvik ameonya kuhusu hatari za kugeuza suala la gesi ya Mtwara kuwa mtaji wa kisiasa. Wakati Norway ikisema hayo, Mkurugenzi wa Uchumi katika Sekretarieti ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeangalia ITV jioni hii katika swali lake la kipima joto kuhusu gesi ya Mtwara, na ninahisi kuwa takwimu walizotoa zina walakini. Waliulizwa watu watatu ambao mmoja wapo alisema kuwa vuguvugu la...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom