MONDAY, JANUARY 28, 2013
Ujumbe wa Sekretarieti ya CCM,ukiongozwa na Katibu Mkuu,Ndg. Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na Katibu wa...
Ilani za kijinga za kisiasa zinarudisha nchi nyuma sana. Serikali ili ileta maendeleo inatakiwa kujiusisha na utumiaji wa kodi kwenye vitu muhimu tu ambavyo wananchi hawawezi kufanya wenyewe...
"when dealing with a genius, it is not about the money,you can not afford genius, genius are not attracted by money- sotelling someone to name his or her price you just annoy him or her"this is...
Wadau Mchana wa leo (saa 6 mpaka 8 mchana) kumetokea vurugu mchana huu hapa Nachingwea hali iliyofanya polisi kujihami kwa kuanza kurusha mabomu ya machozi.
CHANZO CHA TUKIO:
Vijana waendesha...
Nasikitishwa sana na kitendo cha serikali kukaa kimya bila ya kuwapa taarifa wananchi wake kuhusu mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi kama lilipelekwa ICC tujulishwe, kulikoko kukaa kimya...
Ndugu wana-Mara naomba nasi tuungane kutetea mali zilizopo Mkoani kwetu kufaidisha Wanamara kwanza, hii ni kama Mtwara watakubaliwa ombi lao. Mara imekuwa nyuma kwa siku nyingi na wala huwezi...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni
LICHA ya tuhuma mbalimbali za ufisadi ambazo zimekuwa zikimkabili aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Andrew Chenge, ametaka Katiba mpya iipe meno...
Kulipuka kwa suala la gesi kama muitikio wa wananchi huko Mtwara na Lindi limeleta mshtuko kwa wananchi wa Tanzania kwa kiasi ambacho hatukuzoea kuona.
Mimi kama Mtanzania nasikitika sana kuona...
Roundup: Tanzania warns against move to force gas investors elsewhere0 Comment(s)Print E-mail Xinhua, January 28, 2013Adjust font size:
Gas investors booked by the Tanzanian government to...
Oooo....! Tanzania nchi tajiri tunakila mali asili tunawakaribisha kuja kuwekeza .
Maskini Tanzania nchi iliyojaa mangazimbwe na mali asili zake ,Majivuno anakila aina ya utajiri Maziwa ya...
kulipa kodi sio kitu kibaya kwani toka enzi za akina yesu huko watu walikuwa wanalipa kodi ila tu walionywa wasilipishe watu ushuru zaidi ya kiwango.
Mimi kama mzalendo sitakuwa na manung'uniko...
Amani iwe nanyi wadau,
Muda si mrefu nimemuona mtoto wa mkulima akipanda ndege kwenda Mtwara. Nadhani wote twajua what is happening there.
Tunasubiri tamko la serikali juu ya kadhia hii...
Ni kawaida kila mkutano wa bunge unapofunguliwa sisi tulioko nyumbani tunasubiria kwenye tv zetu kuangalia nini kinaendelea huko mjengoni dodoma, lakini leo hakuna hata tv moja inayoonyesha...
WABUNGE waliochomewa nyumba na mali zao katika vurugu zilizotokea Mtwara juzi; Anna Abdallah na Mariam Kasembe, jana waliangulia vilio walipotakiwa na gazeti hili kuzungumzia tukio hilo.
Nyumba...
Habari wana JF. Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa mawaziri katika serikali ya Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, ni ukweli usiopingika kwamba waziri mwenye dhamana ya uchukuzi Mh. Dk Harison Mwakyembe ni...
Mch Mtikila amekusudia kutoa tamko leo saa tano asubuhi, Hotel Traventine la kumtaka Rais Kikwete atangaze Kusitishwa kwa mradi wa Kusafirisha gas Kutoka Mtwara kuja Dar Mara moja ili kudumisha...
Hivi majuzi Sekretarieti ya CCM wakiwahutubia wanachama wao waliokwenda kuwapokea na mara tu ya kuwasiri mkoani Kigoma tokea Dar es Salaam,katibu wa itikadi na uenezi wa CCM bwana Nape na katibu...
Kwa yeyote anayefahamu, tafadhali naomba kujulishwa juu ya miswada ya sheria ambayo bunge hili la Februari linatarajia kuijadili. Nimejaribu kufungua kwenye tovuti ya bunge sijaiona. Tafadhali...
wakati rais wa Brazil alikatisha ziala yake ya nje ya nchi kutokana vifo vya raia wake kwenye kumbi za muziki na wakati rais Obama alistisha kampeni zake za kuwania urais wa Marekani kwa mda...
I have been following political, social & Economic situation in Tanzania for some time now, It is sad that the country look like is at the point of no return and there is clear lack of leadership...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.