Nimefuatilia mahojiano ya Sauti ya Ujerumani asubuhi leo mtangazaji alikuwa anamhoji Lowassa. Jamaa ni aibu hana uwezo kabisa wa kujibu maswali yenye kuhitaji majibu muafaka na sijui kwanini...
AMTAKA ASITUMIE MALI ZA SERIKALI KWA KAZI ZA CCM
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kuacha kutumia mali za serikali kwa ajili ya kufanya shughuli za...
Wakuu habarini na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa letu.
Mara nyingi vyama vya upinzani vikipewa tuhuma juu ya jambo katika vyama hivyo husingizia ni propaganda za chama tawala (ccm). Ebu...
Mtiririko wa matukio unanifanya nizidi kuamini kuwa mpango wa CCM kuisambaratisha CHADEMA, kwa sasa umeegemea zaidi kukigawa chama hicho kwa kumfitinisha Zitto kwa wanachama na viongozi. CCM...
Chama cha Mapinduzi kimeendelea kukonga mioyo ya wananchi mkoani Kigoma kwa kutumia 10% kwa maneno huku wakitumia 90% kivitendo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwake ambapo...
Kumeanza kutokea tabia isiyokuwa ya kuridhisha kwa baadhi ya watu hasa wale wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu 2015 kupitia CHADEMA. Wamekuwa kama CCM, maana wameanza...
Nihakika kabisa sisi tulio huku vijijini ndio wapambanaji wakubwa wa kujenga mageuzi ya ukweli, sisi Makamanda wa ngazi za chini nchi nzima ndio wapambanaji na ndio tunao pata tabu za kila aina za...
Waziri Mkuu Pinda alinukuliwa katika vyombo vya habari kuwa serikali ilikuwa imekosea katika suala la gesi kwa sababu hawakutoa taarifa kamili kwa wananchi wa Mtwara kuhusu matumizi ya gesi...
Mh. waziri mkuu katika kauli yako kuhusu gesi ya Mtwara na vurugu zilizotokea ulitoa kauli mbiu ambazo watu wenye bongo zinazofanya kazi sawasawa watahoji.
Kwanza ulisema serikali haijawaelimisha...
Nithahiri kwamba hatunauwezo wala mipango iliyo madhubuti ya kujitegemea,mpaka baadhi ya mataifa ya nje yanatupa somo la wazi na mpaka kutupangia muda wa kuweza kutumia rasilimali zetu kujitegea...
Wana Jf.
Karibuni tujadili hili swala pamoja.
Namshukuru M/mungu kwa kunipa pumzi hadi leo hii nikiandika hili andishi. Pia nitakuwa sitatenda haki kama nisipomshukuru kwa kunipa utashi, akili...
Ukiachilia Nyerere, hakuna waziri mkuu mwingine wa Tanzania ambae alifanikiwa kuja kuwa Rais wa nchi, kwa mfano Kawawa, Msuya, Salim, Warioba, Malecela, Sumaye, Sokoine, na kuna kila dalili kwamba...
Rais Kikwete anahutubia wananchi ktk hotuba yake ya mwisho wa mwezi asubuhi hii katika kituo cha luninga TBC. Ameanza kwa kuzungumzia gesi ya Mtwara. Bahati mbaya siwezi kuona zaidi, waliobahatika...
Wanabodi heshima kwenu,
Mhe. Mbunge na Naibu Katibu Mkuu kwa taarifa zilizonukuliwa na vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusika kukihujumu chama. Ambazo zilijadiliwa na Mkutano kwa...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza ratiba ya uchaguzi wake wa ndani, inayoonyesha kuwa kitapata mwenyekiti mpya ifikapo Desemba 13, mwaka huu. Ratiba iliyotolewa na chama...
Nasema hivyo kwasababu hata jana wakati wanalumbana ktk swala la hoja ya Mbatia tuliweza kuona ni jinsi gani serikali yetu inavyo tupeleka kama punda bila huruma. Na tuliweza kuona kuwa kumbe...
Katika hali ya kusikitisha naibu waziri George Simbachawene anaendelea na porojo zile zile za waziri wake na serikali yake kuhusu gesi ya Mtwara.
Leo kaibuka anasema kuwa wananchi wa Mtwara...
Jahazi lenye jina la SUNRISE limezama kwenye mkondo wa Nungwi mchana huu,lilikuwa na abiria 35 waliookolewa hadi sasa ni 20 na hali zao ni mbaya,
Source: Radio One, Breaking News
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.