Jana usiku kwenye taarufa ya habari ya saa mbili kampuni ya NICOL ilimsafisha R. Mengi kuwa hahusiki wala hakushinikiza ununuzi ununuzi wa kiwanda cha dawa cha mdogo wake. Baada ya kusafishwa...
Ndg wana JF
Hakika jukwaa hili lina elimisha kwa kweli, ila kwa kipindi hiki kumekuwa na vugu vugu kubwa la kupost new topics na mbaya zaidi kulikuwa na thread humu ya kuwataka wanachama wa chama...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetaka katiba mpya kuwekwa kipengele kitakachoiwezesha kufanya kazi kwa uhuru pasipo kuingiliwa kisiasa.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Gavana wa...
Wanajf leo ni mwisho wa mwezi, kama ilivyo desturi raisi huwa anahutubia wananchi wake kupitia media mbalimbali, swali la kujiuliza hapa hutuba hyo itakuwa na ujumbe gani wa msingi kwetu sisi...
*Hoja ya kumngoa yajadiliwa Baraza Kuu CHADEMA
KWA mara ya pili mfululizo, katika kipindi kisichozidi miezi sita, jitihada za siri za kujaribu kumngoa kutoka ndani ya CHADEMA, Mbunge wa Kigoma...
1. Kuna taarifa kwamba kuna marubani zaidi ya 60 ambao wapo nyumbani kwa miaka minne sasa na wanalipwa shillingi milioni sita kila mwezi. Hii ni sawa na zaidi ya milioni 400 kwa mwezi, zaidi ya...
Kuna kijana mmoja aliwahi kuishi katika nchi hii, na huyu kijana alikuwa anaitwa Edward Moringe Sokoine. Kijana huyu alikuwa anatoka kabila laWamasai. Sokoine aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hii...
WANA JAMVI SOTE SALAAM,
nimekuwa nikijiuliza swali hili kila siku bila kupata majibu leo asubuhi hii naomba niwashirikishe wenzangu tujiulize sote. though kuna ambao wengine kwa namna moja ama...
Inaonekana kuwa vyombo vya habari vinatumika sana katika kupotosha na kuchochea kwa makusudi hisia za watu katika mambo ambayo serikali inataka yawe upande wake. Mfano mmoja ni hili suala la gesi...
Hayo yalisemwa jana na waziri wa mambo ya ndani Dk Nchimbi alipokuwa anaongea na waandishi wa habari mjini Dodoma jana. Alisema kuwa vyama vya siasa hapa Mtwara ndivyo vinavyohusika na suala zima...
ALHAMISI, JANUARI 31, 2013 04:30 NA ARODIA PETER
VURUGU zilizotokea mjini Masasi, Mkoa wa Mtwara wiki iliyopita, zimesababisha hasara ya zaidi ya Sh bilioni 1.5. Hasara hiyo imetokana na mali...
Kufuatia mgogoro uliodumu kwa muda sasa na kusababisha maafa makubwa huko Mtwara juu ya suala la gesi, Serikali hatimaye imeamua kunyoosha mikono kuhusu uamuzi wake wa kutaka kuipeleka gesi hiyo...
Hili swali lishaulizwa sana humu lakini hakuna aliyekuja na majibu.
naomba kuuliza tena:
1. Kwa nini serikali iliandika SERA ya gesi na mafuta kwa kiingereza na siyo kwa lugha ya Taifa ambayo...
SIKILIZA JONH HECHE(WEGESA CHARLES SUGUTA) ANAVYOBAKA DEMOKRASIA HAPA NI HECHE VS MCHANGE KWENYE KAMATI TENDAJI HECHE VS MCHANGE
Jinsi Heche alivyoogopa kufungua katiba ya chama chake. Share...
CCM WANATAZAMIA KUMSIMAMISHA MGOMBEA WA URAIS ANAYEKUBALIKA NA VYAMA VYOTE, HAIJALISHI WATAMPATA KUTOKA CHAMA GANI, ILA ATAGOMBEA KWA TIKET YA CCM. Guess who?
Tanzania inahitaji uongozi wa watu,unaotokana na watu,uliopo kwa ajili ya watu na uliotayari kuwatumikia watanzania.2015 Ni fursa ya kipekee kwa watanzania kufanya uchaguzi kwa kutumia katiba...
Maelezo ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete huko Ephiopia kuwa serikali yake ililazimika kulifungia gazeti moja(hakulitaja ingawa ni wazi ni Mwana Halisi) kutokana na kuchochea wanajeshi kuasi...
Kwa nini hawa mawaziri bado wapo ndani ya CCM ambayo ni chama cha mafisadi?
Na wana JF karibuni wote wanaamini kuwa CCM ni chama kibovu na hakifai sasa hawa mawaziri wanafanya nini ndani ya kile...
JUMAMOSI, JANUARI 12, 2013 09:04 GABRIEL MUSHI NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM
*Mahakama ya Kadhi, OIC, Vatican zaibua mjadala
*Washia wao wataka umri wa kupiga kura miaka 16
TUME ya...
Love them or loathe them lakini wote wangeweza kutuletea think pieces zao ambayo huwa zinapolarize opinions humu JF na kwingineko
Kimya chao kuhusu hili jambo kina maana gani?
Ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.