Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1st February 2013 IPP Executive Chairman Dr Reginald Mengi listens to Finland's Ambassador to Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
SHINIKIZO la wananchi mkoani Mtwara kutaka gesi isitoke mkoani humo, limesababisha polisi takriban 50 kuzikimbia familia zao baada ya kutishiwa maisha na wananchi. Habari zilizolifikia gazeti...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Wahe.wanaJF, Leo kwa kweli nimebahatika kusoma kwa kina Gazeti la Raia Mwema. Katika gazeti la leo kuna mambo mawili yamenishtua. 1.....zito asepa 2. uhuru wa fikra utawang'oa madikteta...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Niliposikiliza speech ya Rais ya mwisho wa mwezi ambayo hakika Aaliongea mengi ya maana sana na kisha wimbo wa Taifa ukasikika; maneno ‘hekima, umoja na amani hizi ni ngao zetu’ nilisikia kuugua...
0 Reactions
1 Replies
876 Views
HALI si shwari ndani ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), baada ya Diwani wa Kata ya Magomeni, Julian Bujugo kufungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiitaka Jumuiya hiyo...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
wabunge haswa wabunge wa ccm,wametuonyesha dhahiri kwamba hawana nia ya kulisaidia taifa hili kwa namna yeyote ile kuondokana na kero mbazo zinakabili taifa hili. inasikitisha sana kuona wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
" Ninatoa Mwezi mmoja tu nataka Halmashauri ya Jiji la Arusha iwe safi na hii kazi Mkurugenzi anapaswa kuifanya kwa haraka sana na sioni na siko tiyari kupewa sababu yeyote ile ya kwa nini Arusha...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Wana JF, nilikuwa Kasulu kwa juma zima kishughuli na leo nimeshuhudia CCM wakiumbuka kweupeee! Toka siku kama tatu hivi zilizopita magari yalikuwa yakirandaranda mitaani kuwaalika watu kuhudhuria...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa muda sasa nimeshuhudia Wabunge, hususani wa upinzani, wanapotoa hoja binafsi na zenye mashiko; zenye kuleta mustakabali kwa taifa, serikali kupitia Wizara husika huleta hoja yake, na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeingia wilayani Newala muda mfupi uliopita nikitokea Mtwara kupitia Tandahimba. Mkutano mkubwa sana unaendelea hapa katika viwanja vya Mahakama ya Mwanzo mjini hapa, ajenda kuu ikiwa ni...
7 Reactions
67 Replies
7K Views
KITAIFA Mboye Na Waandishi Wetu Posted Alhamisi,Januari31 2013 saa 20:15 PM KWA UFUPI "Mheshimiwa Waziri ni dhahiri kuwa vurugu za Lindi na Mtwara zimesababishwa na mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna post nyingi sana zimmekuwa zikiwekwa hapa kuhusu ajira za ualimu kwa mwaka wa fedha 2012/13 zikilenga kuuliza ni lini ajira hizi zitatangazwa zingine zikija na "Breaking News" eti kwa habari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MSHUA kazitoa zana zake zote Za Kazi anazozitegemea zitawanyike kila Kona ya Nchi ili ziweke Hali tuliiiivu Na mwanana kabla hajatema anachotaka kukitema Kwenye Hotuba Yake ya Mwisho Wa Mwezi huu...
12 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani kwetu ni mzenj halisi nimekukimbia too kwa maisha. Ila nimepanga kurudi ila huku naskia sana habari za ivo vidau vya uko vinzaaaama toooo roho za watu zinaenda. Serikali sijui imetilia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siri mgogoro wa gesi yafichuka MOJA ya mambo yaliyoamsha hisia za wakazi wa Mkoa wa Mtwara hadi kushinikiza kwa vurugu wakitaka gesi isitoke mkoani humo, ni taarifa kuwa nishati hiyo...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda (CHADEMA), amekalia kuti kavu kutokana na kutajwa kuwa anafadhili baadhi ya viongozi wa Baraza la Vijana Taifa la CHADEMA (BAVICHA) kuleta mgogoro ndani ya...
14 Reactions
100 Replies
10K Views
Wakuu heshma mbele, Nilikuwa nasikiliza nyimbo ya vijana wa Moro(All stars) Afande Sele katika mistari yake anasema JK Nyerere alikuwa mbunge wa kwanza Moro!! Naomba kujua kama ni kweli...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Salam, kesho natarajia kuwasilisha hoja binafsi ya kuitaka kuleta mswada bungeni wa kuanzisha Mfuko wa Elimu ya Juu. Kigezo cha kupata mkopo iwe tu kwa kila aliyefaulu na kupata udahili wa vyuo...
1 Reactions
92 Replies
6K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akimfariji mmoja kati ya abiria waliokua katika Jahazi la Sun Rise, Juma Ali Jaku , iliyopata ajali na kuzama kati ya Tanga na Mkokotoni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilisikitika kusikia waziri anataja faida ya bomba la gesi kutandazwa toka Mtwara hadi Dar es salaam, kati ya mengi aliyotaja alisema bomba likitandazwa itasaidia ukuaji wa uchumi maeneo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom