Naipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi...
Kwa kipindi kifupi nimeshikwa na wasiwasi na mwenendo wa Tume marekebisho ya Katiba iliyo chini ya Jaji na Waziri Mkuu mstaafu Waryoba.
Kitendo cha kutoa na kuchukua muda mwingi kukusanya mawazo...
Sasa Tanzania tunaelekea pabaya. Viongozi tunaowategemea kutuongoza katika mambo ya kiroho wanaingia kwenye migogoro ya kisiasa. Mfano hili la Gesi Mtwara... Badala ya Viongozi kwenda Katika...
Waziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani Morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowassa...
Wadau, Mh. Waziri Mkuu Pinda akiwa amefuatana na waziri wa mambo ya ndani Mh. Mchimbi amekutana na Shura ya maimamu katika jitihada za kutafuta suluhu na wananchi wa Mtwara.
Kikao kilianza mida...
Leo Bungeni jioni Mh Mjungaji Peter Msigwa kaomba mwongozo wa spika kuhusu usalama wa wabunge kwani bunge linavuja maji. Je kama bunge ambalo ni sehemu nyeti na muhimu sana Tanzania linavuja hali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa...
Kuna taarifa kuwa JK atakwenda Mtwara tar 29 Jan 2013!!!
Lakini turejee kwenye hotuba yake ya kufunga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ambayo ilifuatiwa na press release ya Waziri wa Nishati...
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRD), umedai kupokea kwa mshangao taarifa zilizoandikwa na gazeti la serikali zikisema kuwa Rais Jakaya Kikwete amelizika rasmi gazeti la...
Filikunjombe ni mbunge wa aina yake na atakuwa ametumwa na Mungu namkubali sana na ninaona ni mtu pekee aliyebaki ccm na mwenye kusimamia misingi ya chama chake, unaweza kusema mengi mazuri kuhusu...
Toleo 25 August 2010
MAPEMA mwezi huu, Baraza la Wawakilishi limeifanyia marekebisho Katiba ya Zanzibar ya 1984, kuipa hadhi ya kuwa nchi (kamili) na kuondoa madaraka ya Rais wa Jamhuri wa...
MBUNGE wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amesema kuwa Chama hicho kitakwenda kuwasha moto katika Mkoa wa Mtwara ili kuhakikisha gesi haitoki mkoani...
Rais kabila amefanya ziara ya siku moja nchini Tanzania leo. Itakumbukwa kwamba Tsnzania na South Africa zimekataa kutia saini mkataba uliokuws umeandalia na Uganda naRwanda ukiki favour kikundi...
Mbali na jimbo la B'mulo ambapo kuna lile jembe letu (CDM) Sioni mbunge mwingine anaeweza kurudi mjengoni. Chato ya Magufuri imechomolewa mkoani Kagera imerudi Geita. Mwenye kuona mwenye mwelekeo...
Kikao cha halmashauri kuu CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis.
Makamu Mwenyekiti Taifa Philip Mangula ameuliza kama kuna diwani ambaye hajui kinachoendelea kuhusu mradi wa soko...
Katika sakata la vurugu za bodaboda dhidi ya polisi (tigo) kule Masasi watu wameshuhudia vurugu zikibadilisha mwelekeo kutoka kwa polisi hadi viongozi wa CCM na serikali yake Wilayani Masasi...
Hili jambo linashangaza, baada ya Mh.Mbatia kukumbushia ahadi ya serikali kuonyesha mitaala ya Elimu hapa nchini na kuiomba serikali kuigawa mitaala hiyo kwa wabunge,serikali imegoma kuonyesha...
Tunako elekea kama taifa siko, Wananchi wa leo hawana imani tena na mtu yeyote tangu mjumbe wa nyumba kumi hadi Rais mwenyewe.
Zamani zetu mjumbe wa nyumba kumi alikuwa akiheshimika sana, alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.