Chama cha mapinduzi (CCM)wilayani Kibondo mkoani Kigoma imepanga kufanya hujuma kubwa kwa chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA),CCM ikwa kuwatumia vijana wake wa green guard imepanga kung'oa...
Mji mpya wa wakazi wa Kigamboni ndio GESI yao hivyo wanatakiwa kuwa wa kwanza kunufaika na mradi huo kupitia Manispaa ya Temeke.
Kuwapa Wakala (KIGAMBONI DEVELOPMENT AGENCY- KDA) nguvu kubwa...
From Mwananchi
Madiwani wa Halmashauri za Wilaya za Geita na Nyang'hwale, mkoani Geita, wameitahadharisha Serikali kuwa iwapo itaruhusu gesi kubaki mkoani Mtwara, wao wataandamana kuzuia...
Mh. Kigwangala na Mbunge Mwenzako wa Bukene katika Ziara ya Mh. Rais mlipaza sauti juu ya watendaji wa Serikali Mkurugenzi na Mhandisi wa Maji wa Wilaya kuwa ni watendaji wabovu na mlitaka...
IJUMAA, FEBRUARI 01, 2013 05:55 NA ARODIA PETER, DODOMA
*Mbowe ataka waliosababisha vurugu Mtwara wawajibishwe
*Pinda asema hilo liko chini ya ofisi yake na ofisi ya Rais
VURUGU...
Akiwasilisha taarifa ya ukaguzi alioufanya ktk mfuko huo kwenye kikao cha Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu ambayo inaundwa na majimbo matatu ya Kasulu mjini ( Machali- NCCR), Kasulu...
Tumekubali masharti ya wakubwa wetu tena bila kuwauliza. Tumekubali masharti ya jinsi ya kuendesha siasa zetu na jinsi ya kuendesha uchumi wetu. Tumekubali mapendekezo ya nini tufanye kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini baada ya kuthibitisha maelezo yake binafsi kwenye Fomu ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha...
Habari kutoka ndani ya kikao cha briefing kuhusu suala la Mtwara wabnge walijikita kusimamia amani ya nchi.
Aliyeanza alikuwa Dr Kigwangala, ambaye ni Mbunge wa Nzega (ccm) aliyesema kuwa...
Salaam Wnajamii.....
Nashangazwa sana na madai ya wanao fanya funjo Mwtara; badala ya kudai Elimu, Vyuo na Zahanati kwanza iliwaweze kupata ajira za maana baadae.
Wanadai Maendeleo kwa nguvu...
KINANA AZINDUA TAWI JIPYA LA CCM NA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO YA KIJAMII ,WILAYA YA KIBONDO MKOANI KIGOMA LEO.
Thursday, January 31, 2013
katibu mkuu wa chama cha CCM, Abdurahman...
Tumekuwa mara kwa mara tunaimba Tanzania,Tanzania na kupenda kwa moyo wangu wote........Lakini nyuma ya nyimbo inayoonyesha uzalendo wa Watanzania wenyewe kwa wenyewe umejaa ukatili wa hali ya juu...
FRIDAY, FEBRUARY 01, 2013
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA AWASILI KIGOMA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM-Bara),Ndg. Philip Mangula...
Miaka ile 5 ya kwanza ya elimu ya msingi iwe ni kwa ajili ya:
Kusoma (Kiswahili na Kiingereza)
Kuandika na Uelewa (comprehension)
Kuhesabu (arithmetic)
Michezo na Sanaa
(Mwaka wa kwanza uwe...
Wadau,
Nimemsikiliza naibu waziri wa elimu katika kipindi cha ITV cha DK. 45. Katika kuipa sifa zisizostahili serikali ya CCM amejikuta akiudanganya umma wa watanzania kuwa kabla ya kuanzishwa...
Kwa jinsi inavyoonekana waziri mkuu Pinda ndo kaibeba hii nchi kwa sasa!tunajionea tusivyo na raisi mfuatiliaji ambaye kila linapotokea jambo(mgogoro) ndiye mfuatiliaji mkuu huku JK akijipandia...
Jana mhe. Mbatia alishindwa kuhitimisha hoja yake kuhusu udhaifu uliopo katika sekta ya elimu kutokana na waziri wa elimu kutowasilisha nakala ya mtaala wa elimu aliyoiomba Mbatia kabla. Cha ajabu...
By Tundu Lissu on star tv
Ni mara baada ya hoja ya Mbatia kuzimwa na waziri wa elimu bwana Shukuru Kawambwa kudanganya bunge kuwa ana mtaala kumbe ana rasimu ya mtaala wa elimu kwa tafsiri...
Katika kile kinachoonekana kuwepo kwa ombwe kubwa la uongozi hapa nchini, hivi karibuni chama tawala CCM imemua kufanya ziara mikoani ikambatana na mawaziri wanaongoza wizara mbali mbali kwa lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.