Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Zanzibar Dr. Shein amezidiwa na magaidi wa dini Zanzibar na ni wakati wa yeye kupumzika na kuachia viongozi wengine ambao wanaweza kuweka amani kabla nchi yetu haijaingia kwenye fujo za...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Asilimia 67 ya wanafunzihawataendelea na masoo ya aina yoyote maana wamefeli wote kwa mujibuwa necta,hivyo imethibitisha mgomo wa waalimu uko hai kama walivyosema wao kuwa serikali haiwezi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Akiwahutubia wananchi na wapenzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo katika mkutano wa hadhara uliofanyikia eneo la sokokuu manispaa ya iringa. Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
..kuna Mapadri waZNZ lakini hatujasikia wakidunguliwa risasi. ..pia makanisa ambayo yameshambuliwa ni makanisa mapya ambayo wachungaji na waumini wake majority ni WATANGANYIKA. ..sehemu za...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
FEB 17, 2013 PADRI wa kanisa katoliki jimbo la Zanzibar,amepigwa risasi za kichwa na kifuani na kuuwawa na watu wasiojulikana. Padri huyo aliyetambuliwa kwa jina la Evaritus...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Below is an Article published by the Citizen on 17th, Kwa ukweli jambo hili linazungumzwa sana ulimwenguni hivi sasa, Katika magazeti ya UINGEREZA, na Talk Shows zao, kulikuwa na mijadala, kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Padri aliyeuawa Z'bar kuzikwa kesho: PADRI Evarist Mushi (55), aliyeuawa juzi kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Zanzibar, anatazamiwa kuzikwa Kitope katika eneo lililotengwa la makaburi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), jana lilitangaza majina mapya ya Wajumbe wa Baraza la Wadhamini, huku likiweka kando jina la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waliochaguliwa ni William Lukuvi, John Nchimbi, Pindi Chana, Jery Silaa, Anna Tibaijuka na Steven Masatu Wasira Ifuatayo ni orodha ya wajumbe wa kamati kuu kikao kimemalizika muda si mrefu: 1...
14 Reactions
202 Replies
26K Views
Wakuu habarini za Usiku. Taarifa rasmi zilizonifikia kutoka Mkoani Geita zinaeleza kuwa Waziri Mkuu amekumbana na kasheshe baada ya Waislamu kumsusia kikao na kuondoka,baada ya kukataa kutoa amri...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
Monday, February 18, 2013 Flashback: Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Mwanaidi Maajar akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati ya...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Walianza kumzuia mgombea wao wa Urais kushiriki mdahalo, kwa kuwa ungekuwa live na pengine, walijua kwamba usingekuwa na manufaa kwao kwani hoja ambazo zingeelekezwa kwake (Mgombea wa CCM)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika habari za saa ITV nape ameonekana akisema eti CCM inalaani vikali wanasiasa wanaojificha nyuma ya udini kuleta machafuko ili nchi isitawalike. Amesema wao kama CCM wameshagundua kuwa...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Katika taarifa za uhakika toka Zanzibar jioni hii, askofu Shayo amesema wazi kuwa hana imani na jeshi la polisi Zanzibar. Ameelezea jinsi gani aliripoti mara nyingi tu polisi kuhusu matishio ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Katika kuonyesha kwamba Magamba wanajichanganya, mda huu Bwana Elius Ndabila anahojiwa na Radio ushindi Mbeya. Pamoja na kuhojiwa Mambo Mbalimbali, ameulizwa kama yeye anahusika na harakati za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna mapigano makali yanaendelea mda uhuu kati ya waislamu na wakristu kuhusu kuchinja hapa Buseresere - Geita. Misikiti mingi imebomolewa na watu kadhaa wameshauawa. Police mpaka muda uhuu...
46 Reactions
2K Replies
145K Views
Wanajamvi bila shaka hamjambo, hili jambo la mauwaji ya viongozi wa kidini kweli linatisha!!! Hata tukikataa ua kukubali hatua iliyofikiwa na mambo haya ni mbaya! Hili swala tusiliangalie kwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu zangu suala la udini linaendelea kuwa kubwa zaidi na kuzidi kuleta maafa zaidi nchini.ni dhahiri kabisa kuwa tusipo chukua hatua kulidhibiti litaleta maafa makubwa nchini mwetu.kuna hatari...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Experts from International Atomic Energy Agency (IAEA) have plans to visit the country to assess and recommend preparations to explore uranium in the country. The Director General of Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
907 Views
:der: Imeonekana katika kipindi cha kuchangia katiba kwamba sehemu kubwa ya wazanzibari hawautaki muungano na kwa sasa ni wazi jambo lenye utata zaidi katika mabadilikoya katiba ni hili la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom