Maaskofu wa jiji la Mwanza wamesusia kikao cha pamoja baina yao na Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Injinia Evarist Welle Ndikilo, kuhusu masuala ya nani achinje nyama. Viongozi hao wa kiroho wamesusia...
Uamsho bado wako ndani,sheikh ponda na mukadam bado pia wako ndani.Waislam wa Zanzabar na waislam wa Bara ukifanyanao mahojiano watakuambia viongozi wao wako ndani kwa sababu ya mashinikizo ya...
Habari wana JF wenzangu, natumai mnafurahia weekend ya leo.
Nianzae kwa kusema kwamba kwa muda mrefu tumekuwa namijadala mbalimbali juu ya uhalali wa elimu wanazodai kuwanazo baadhi ya viongozi...
Kinana kiongozi wa waangalizi wa upigaji kura Kenya kupitia EAC yupo sasa hivi anajieleza kwa umombo. Actually he is doing better in English than his boss JK............I have to give him a...
Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Aikael Mbowe, a.k.a Kamanda wa ANGA, kesho anatarajiwa kuunguruma jijini Mwanza katika mkutano mkubwa utakaofanyika viwanja vya FURAHISHA.
Viongozi wengine...
Vita Vya Nyama!
Vurugu za kugombea nyama Tanzania zinakomaa kutokana na udhaifu wa kifikra na utendaji ulioambatana na kauli tata kutoka kwa watendaji wa Serikali yetu ya Tanzania.
Katika...
Tokea nchi yetu ipate uhuru toka kwa wakoloni mwaka 1961, utawala huu wa awamu ya nne chini ya uongozi wa Kikwete, ndiyo utakuwa umevunja rekodi ya matukio mengi ya uvunjaji wa haki za binadamu...
Ndg wanabodi,
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele...
Nimemsikia kiongozi mmoja wa CCM (Nchemba) katika redio moja nchini akitupa dongo kwa CHADEMA kwamba ofisi za makao makuu ya chama zipo kwenye jengo la kupanga.
Kwanza mimi siamini hilo...
Dr. Kashilila ni miongoni mwa watanzania wachache waliopata bahati ya kusoma hadi PhD. Taifa linabidi lijivunie kuwa nao watu wenye kiwango hiki cha elimu kwa sababu wao wanapaswa kuwa fimbo ya...
UDINI umekuwapo Tanzania kwa muda mrefu sana. Ukisoma maandishi ya mwanaharakati wa Kiislamu Mohammed Said anasimulia kuwa tangu mwaka 1953 kulikuwapo na makundi ya wazee wa Kiislamu wa Jijini...
Kumekua na Utaratibu wa kushinikiza watawala waachie nyadhifa zao pindi mambo yanapokua ndio sio na umeshika kasi sana hapa nchini.Matokeo ya kidato cha nne kwa shule za KISLAMU ni mabaya mno...
Ni dhahiri kabisa kuwa sasa ndio muda muafaka wa kuikataa na kuizika rasmi ccm.Matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana yanadhihirisha kuwa ccm na serikali yake ni dhaifu(John Mnyika).Migomo...
Mauaji yanayoendelea visiwani ni mtaji kwa serikali na watendaji wake kwani mauaji hayo yanapotokea haraka sana tume huundwa na kutumia pesa nyingi za walipa kodi mwisho wa siku hakuna mrejesho...
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda huko Zanzibar kila kukicha hali ya hatari au kutangazwa rasmi kwa vitendo vya ugaidi ni swala la muda tu na tena sio mrefu.
Vitendo hivi vinafanywa kwa lengo moja...
Tanzania inaanza kuangamia na masuala ya kidini. Kuchinjwa na kuuawa kwa risasasi viongozi wa dini na mzozo wa nani achinje nyama, je IGP Ali Mwem na Waziri Emmanuel Nchimbi mnasubiri nini...
Ndugu wanaJF kama mnavyoona na kuonja machungu ya CCM na serikali zake tokea 1961 kila kitu kwa sasa ni anguko kwa kwenda mbele. HAya hapa chini ni mojawapo ya maanguko ya CCM:-
* Kufa kwa Viwanda...
Hili kutatua tatizo ni kuadress tatizo si vinginevyo na haiji akilini kwamba baada ya mambo yote yaliyokuwa yakitokea zenji bado serikali ya Znz ya CCM na CUF hawajui nani anasababisha mambo yote...
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa naye alikanusha madai hayo akisema:
... Hapa tulipo tuna kesi nyingi na kuna watu wanahojiwa. Sisi hatufanyi kazi kwa shinikizo la mtu, kama ni hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.