Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimenyakua ushindi katika uchaguzi wa Kitongoji cha Mbugani huko Vwawa-Mbozi. Katika uchaguzi huo Chadema imepata kura 152 huku CCM ikiambulia kura 94...
8 Reactions
84 Replies
10K Views
Ndugu zangu, Neno ' Nisamehe' ni neno fupi sana. Kutamka hilo kwa kimombo ni kusema; " I ‘m sorry!" Hata hivyo, neno hilo ni moja ya maneno magumu sana katika lugha nyingi za...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimeipigania mno hadhi yake ya sasa.Sasa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania kikiunda pia Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni chini ya Kamanda Freeman...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajf, habari wanakongwa,rejea na kichwa cha habari, Ndugu wanajamii, wanakongwa tuishio Dar na Pwani, tumekusudia kufungua tawi la CHADEMA hapa mjini kwa ajili ya kuratibu shughuli za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, kwa uzoefu na uunganishaji wa matukio nilioufanya ni kwamba:- Operation zote za Chadema zinazofanyika pale Mwembeyanga dhidi ya Chama Cha Magamba/ mafisadi!, zimechangia kwa kiasi kikubwa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wana jf Mh. Lema na Nape wako live DW radio sasaivi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni ! Lema anadai Demokrasia inafunikwa na ccm Nape; wabunge wengine hawaheshimu viapo,wamekosa hoja wanatafuta...
1 Reactions
76 Replies
9K Views
CCM wanafanya mkutano hapa Temeke mwisho Uwanja ule ule ambao CHADEMA walifanya mkutano last week. Msemaji mmoja anadai CHADEMA wameshindwa kufanya mkutano Ubungo au Kawe kwa kuwa wangepigwa mawe...
1 Reactions
204 Replies
16K Views
Wajuzi naomba kujuzwa sijawahi kusikia kama Marekani wana Waziri mkuu wala kusikia kama Russia wana Makamu wa Rais.Je na sisi TZ kuna ulazima wa kuwa na wote hao wawili niliowataja?kwa nini nafasi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa kusikiliza kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia vyombo mbalimbali vya habari, lakini kitu kinachonichefua ni kitendo cha watangazaji karibia wote sasa wamejifanya kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamvi! Kwa taarifa nilizozipata tangu jana saa mbili usiku CHADEMA imeinyanyasa vibaya CCM-Police ni katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji vilivyopo katika wilaya hii ya Magu na...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na lawama mbalimbali kutoka kwa wananchi dhidi ya udhaifu wa Serikali ya awamu ya nne hususan kwa Wizara ya Mambo ya Ndani. Watafiti wa mambo wanasema kuwa udhaifu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kweli serikali imeshindwa kuzuia hii fedheha? Ni kweli intelligensia ya nchi hii ni hafifu kiasi hicho au kuna nini hapa? Hebu someni hii makala na baadhi ya maoni ya wasomaji. Ni aibu kubwa...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Ukiangalia kwa upeo mdogo wa kisiasa unaweza kufikiri haya tunayoyaona yakifumuka Zanzibar utadhani ni mambo ambayo yameanza hivi karibuni. Wanasiasa wetu wanataka kutuaminisha hivyo lakini ni...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
17/02/2013 Padre Evaristus Mushi UPDATE/TARIFA MPYA (saa nane u nusu mchana) Taarifa ya Polisi: Watu watatu wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Padre Mushi. Tafadhali bofya...
2 Reactions
138 Replies
14K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamadi amesema kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limejaa uonevu, upendeleo, ubaguzi na fitina kutokana na utawala mbovu wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mfumo wa wagawe uwatawale ni mfumo wa siku nyingi hapa Duniani, wakoloni waliuutumia sana katika kufanikisha ukoloni katika bara la Africa. Kwa kuwa hali ya ushindani wa kisiasa hapa Tanzania upo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu: Napendakuwapatia update ya hali ilivyo kuhusu idadi ya wataalam wazawa kwenye nyanjaza mafuta na gesi asilia. Technicians- Diploma in Petroleum Geosciences: 1.Madini Institute...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimejaribu kadiri ilivyowekezana kufanya utafiti wa mtandao wa kutosha kujaribu kutazama kama kuna uwezekano wa kupata majibu au ushahidi wa vitu 2 muhimu katika n’gwe hii ya muungano.Vitu au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utaratibu wa kutumia kura ya maoni ili kufanya uamuzi wa jambo lenye maslahi kwa taifa sasa hauna budi kutumika kuamua kama tuna haja ya kuendelea kuwa na serikali hii ya awamu ya nne.Kwa jinsi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom