Walimu ktk mgomo mkali Tanzania

Walimu ktk mgomo mkali Tanzania

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
1,288
Reaction score
131
Asilimia 67 ya wanafunzihawataendelea na masoo ya aina yoyote maana wamefeli wote kwa mujibuwa necta,hivyo imethibitisha mgomo wa waalimu uko hai kama walivyosema wao kuwa serikali haiwezi kuwalazimisha kufundisha ingawa inaweza kuwalazimisha kwenda ktk majengo ya shule, sasa sijui kwa madaktari wagonjwa wangapi wanakufa kwa kukosa huduma, jamani tanzania nchi yangu nakulilia umeingia ktk dimbwi la umaskini wa akili kwa sababu ya miaka 51 ya utawala wa CCM. What else can we do now going forward?
 
To go forward? Are we really going forward or backward? I think CCM is taking us backward if I can see and think clearly about what is taking place in the country right now.
 
Two steps forward, three steps backward. Ngoja tuone kama itatokea tufike maisha bora kwa kila mtanzania
 
mkuu ili kuleta analysis ya haki ni vyema tukapata trend ya matokeo kuanzia kipindi angalau cha mwinyi,mkapa na leo hii JK.
nitashukuru kama kuna mdau mwenye hii trend atuwekee ili tuwahukumu ccm hadharani live bila chenga!
 
Asilimia 67 ya wanafunzihawataendelea na masoo ya aina yoyote maana wamefeli wote kwa mujibuwa necta,hivyo imethibitisha mgomo wa waalimu uko hai kama walivyosema wao kuwa serikali haiwezi kuwalazimisha kufundisha ingawa inaweza kuwalazimisha kwenda ktk majengo ya shule, sasa sijui kwa madaktari wagonjwa wangapi wanakufa kwa kukosa huduma, jamani tanzania nchi yangu nakulilia umeingia ktk dimbwi la umaskini wa akili kwa sababu ya miaka 51 ya utawala wa CCM. What else can we do now going forward?

Nadhani bado ukitaka kujua faida ya mgomo ni kuanzia matokeo ya kuanzia mwakani ndio mziki utakuwa umekolea.
 
Back
Top Bottom