Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Matukio yanayo tokea zanzibar ni lengo la kupangawa na baadhi ya watu kutoka serekali ya ccm zanzibar na baadhi ya watanganyika sababu munamo miamo miaka ya nyuma 2003- 2004 zanzibar kulikuwa na...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
HARAKATI za kupanga safu za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimehitimishwa usiku wa kuamkia leo baada ya Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC) kuchagua wajumbe wa Kamati Kuu (CC)...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
  • Closed
Kuna watu wengine wameshtuka sana nilivyomtaka Askofu Mkuu Pengo kusimama kama Nabii kwa taifa na mbele ya watawala kama alivyosimama Askofu Mkuu Oscar Romero. Wengi labda wanashtuka kwa sababu...
16 Reactions
31 Replies
4K Views
  • Closed
Riz1 Kikwete kapost hvi facebook kuhusu Mnyika.. Hivi juzi bwana Nape Nnauye alijitokeza hadharani akisema juu ya uhakika alionao kuhusiana na elimu ya bwana Mnyika (mb) kuwa ameishia form Six...
4 Reactions
112 Replies
12K Views
  • Closed
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Ccm,NAPE NAUYE, amemtaka Mbunge wa Ubungo Mh,John MNYIKA, kujitokeza na kuweka wazi Kiwango cha Elimu yake, kuliko kuendelea kudanganya watu kwamba Elimu yake...
2 Reactions
246 Replies
19K Views
Padri Evarist Mushi, aliyekuwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili, Zanzibar aliyeuawa kwa kupigwa risasi Feb 17, 2013 alikuwa katika vita kubwa sana ya kiimani,kama nukuu ya ujumbe mfupi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kijiji cha Shambarai Simanjiro Mkoa wa Manyara wametishia kuhama chama hicho baada ya baadhi ya viongozi wa kijiji hicho kudaiwa kuuza maeneo ya wazi bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Salva ametoa tamko la Ikulu muda si mrefu juu ya mauaji ya Paroko alopigwa risasi leo asubuhi huko Z'bar. Linasomeka hivi: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...
18 Reactions
413 Replies
34K Views
Salaam WanaJamvi, Kuna thread humu JF inayomhusu Paul Makonda mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM. Huyu Bwana ni Msomi wa Chuo Kikuu, sina uwezo wa kujua alikuwa nasomea digrii gani pale Ushirika...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
  • Closed
mmoja wa wakaazi wa zanziba aliefurahishwa sana na mauaji ya Padre Mushi ni Bw. Omar Rajab Shaame. Amuita Padri adui wa allah, huku akimkejeli kwa kumuuliza habari za Nyerere.
0 Reactions
98 Replies
8K Views
Sakata la uchinjaji nyama Mwanza,limeingia ktk sura mpya baada ya waziri Wassira kutoa tamko la serikali kuwa ni lazima nyama yote ya biashara ichinjwe na waislam kuwa kwao ni ibada,na ni lazima...
2 Reactions
554 Replies
45K Views
Kauli ya pinda jana kuhusu waislamu kuendelea kuchinja imenishangaza.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh Freeman Mbowe kesho ATAUNGURUMA ktk viwanja vya shule ya msingi Ngarenano Arusha ktk mkutano wa adhara kwaajil ya uzinduzi wa kanda ya kaskazini WAHESHIMIWA wabunge wapatao kumi na tatu...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimeona wametoa tamko la kulaani mauaji na vurugu za kidini zinazoendelea hivi sasa hapa nchini!mbegu hii wameipanda wenyewe kupitia viongozi wao wakuu wa chama kama njia ya kugawa wananchi ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM sasa wamebadilisha mfumo wa propaganda, sasa wanatumia mfumo ujulikanao kama POLITICAL STATUS, yaani kila mwenye nguvu katika chama au serikali yao anatoa tamko lake kwa wakati tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyina (CHADEMA) amemshukia Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, akisema kauli zake kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) juzi, kuhusu hali ya upatikanaji maji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
NAPE AUNGURUMA GOBA KATIKA MKUTANO WA HADHARA SUNDAY, FEBRUARY 17, 2013 Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimefanya mkutano wake wa hadhara katika Kata ya Goba nje kidogo ya Jiji la Dar es...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), lililokutana kwa siku mbili kuanzia tarehe 16-17 february 2013 mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndugu Sadifah...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kufuatia azimio na maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA lililofanyika hivikaribuni jijini Dar es Salaam, iliamuliwa kuwa chama kishushe mamlaka ya uendeshaji kwenye mfumo wa kanda kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakuna anayejua kwa undani yanayoendelea katika misikiti na makanisa yanayotishia amani na utulivu wa nchi. Ni dhahiri vyombo vya dola vimeshindwa na haviwezi tena kurudisha hali kutokana na...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom