HABARI
Na Moses Mashalla, Arusha
Posted Jumanne,Novemba20 2012 saa 23:26 PM
KWA UFUPI
"Malawi na Tanzania bado tuko kwenye mazungumzo, tusingependa nchi au mtu yeyote aingilie kati suala...
Wana Bodi habari ya usiku Napenda nitoe rai yangu kwa viongozi wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi wajiuzuru mapema kabla Amiri Jeshi hajawatimua.Kuna baadhi ya watumishi wanamuonea sana...
Sasa tunakoelekea ndio huko wengi wanakutaka sasa kanisa limeamua kumwaga mboga mbele ya serikali mara baada ya Aksofu mkuu wa kanisa la Anglikani nchini kwa kuitaka sasa serikali kurudisha mali...
Chama cha mapinduzi,CCM kimefungua mafaili ya siri ya viongozi hao ili kurekodi minendo yao.
Sababu ya kufanya hivyo ni ili chama kiweze kupata mgombea atakaefaa kuchuana na CHADEMA katika...
Akiwa kama Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amekula viapo vitatu alipokuwa akiapishwa kuwa Rais:
Kiapo cha kwanza ni cha Utii, ambapo aliapa...
'Malani',kadiri nijuavyo, ni maneno,mfananisho au kauli za kukwaza zinazoelekezwa kwa mtu fulani ili kumkasirisha.Malani si hoja ya msingi...ni kwa ajili ya kuudhi tu. Basi. Malani hasa hulenga...
Moderator, napenda kuanzisha topic hii muhimu sana kwa nchi na wananchi wetu kwa sasa na siku za mbeleni.
Nchi yoyote lazima iwe na utaratibu wa kuchukua maamuzi magumu hasa yale yanayoweza...
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis kumvua ujumbe wa Baraza Kuu la umoja huo, aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
Ama kweli magamba yamechanganyikiwa na yamekosa hata busara,
Kwa ushirikiano na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha CCM Mkoa wa Pwani bila ya aibu wanaendelea na juhudi za kuupora uwanja wa...
Mwenyekiti wa taifa wa Chadema, Freeman Mbowe
Udini ni sera ya CCM, wamelikoroga, sasa tunataka walinywe
Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amekibebesha Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Ama kweli magamba yamechanganyikiwa na yamekosa hata busara,
Kwa ushirikiano na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha CCM Mkoa wa Pwani bila ya aibu wanaendelea na juhudi za kuupora uwanja...
Habari zenu wanaJF.
Leo hii mimi nataka kutoa duku duku langu pasipo kumvunjia heshima raisi kama mtu wala uraisi kama taasisi. Nikiangalia mambo yanayo endelea sasa hivi Tanzania natamani mwaka...
Zipo simulizi nyingi zinazohusiana na tabia ya kukosa usikivu na ufahamu wa kutenda jambo sahihi kwa wakati unaofaa. Kutokana na madhara ya yatokanayo na tabia hiyo upo usemi usemao kwamba...
Tuesday, February 19, 2013
Majeruhi Sadick Yahaya akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Geita baada ya kujeruhiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea katika...
"zima moto"
Serikali inatunga sera za elimu za "zima moto"
inazitekeleza ki "zima moto"
walimu wanafundisha "zima moto"
maana madai yao yanatimizwa ki "zima moto"
hawana ari wanafundisha...
Watanzania tumevumilia mengi ili amani itawale. kumbe mafisadi wanatumia amani ili wapore kodi na rasilimali za nchi kwa manufaa yao na familia zao na nyumba ndogo zao.
- Pesa zipo uswisi, sisi...
Kesho tarehe 19 February 2013 hapa Mwanza kutafanyika mkutano mkubwa wa hadhara kwenye uwanja wa Furahisha kirumba,ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kanda ya Ziwa magh. Mkutano huo utahutubiwa na mhe...
Ndugu zangu
Siku hizi watu wamekuwa wakijivunjia sheria bila kujali serikali wala polisi.
Mie naomba wandugu mpitie vifungu vya sheria hapa chini ili tukumbushane na pia tuiombe serikali
UHAINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.