Why an African pope is unlikely

Why an African pope is unlikely

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,974
Below is an Article published by the Citizen on 17th, Kwa ukweli jambo hili linazungumzwa sana ulimwenguni hivi sasa, Katika magazeti ya UINGEREZA, na Talk Shows zao, kulikuwa na mijadala, kama Wakatoliki hawata pita njia iliyopita the ANGLICAN Church, kwa kumruka Kiongozi wa Medhehebu hiyo mwenye asisli ya UGAND BISHOP SENTUMU, aliyekuwa ndie akiongoza kwa mapendekezo yote kuwa atachaguliwa lakini haikuwezakana.

Tukirudi Nyuma ndugu zetu utaona hata Kanisa letu la kikatoliki lilimuangusha na kumuabisha BISHOP MILINGA wa Zambia, hata ikambidii alihame kanisa, Hivyo kweli sis watu wenye ngozi nyeuzi mbona tunanyanyaswa na wenzetu, Utaona hata enzi za ukoloni makanisa yalikuwa na tabaka, Hata ukirudi kwenye dini za ndugu zetu waisalamu, mara nyingi sheikhe Mkubwa ni Mwaraabu tuu, hata kwenye baadhi ya Misikiti ( kama msikiti Mkubwa wa Arusha) Imamu anatoka EGYPT, Hata Hotuba Yake ya Kidini lazima Itafsiriwe, Na Inajulikana kuwa kuna Mashehe wa Kitanzania wenye elimu Fika. Pia utaona Katika medehebu ya ya Kiislamu ya SHIA, ilikuwa medhehebu ya wahindi tuu, baada ya Iran kuingilia ndio watu weusi wakkubalika, na Mpaka leo utaona ubaguzi kwenye Sala au Misikiti yao, Kwa mfano nani kesha ona BOHORA MBANTU, au KHOJA MBANTU.

Juu ya Hivyo na Kubaguliwa ki MAISH, ki DINI, KI SIASA, tena ni sisi waafrika tunao chinjana na kuchikiana, huoni tatizo hilo kwa Mabwana Zetu wa Ulaya.

JEE TUATAENDELA HIVI MPAKA LINI, we need to re-assess ourselves

Na kitu cha Kus


Why an African pope is unlikely -
Sunday, 17 February 2013 00:07

By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzanian Roman Catholic worshippers numbering nearly nine million, are part of the broader African fraternity of the leading Christian denomination, who are hoping that the next Pope will emerge from the continent.

But, as February 28 draws closer, when incumbent Pope Benedict XV1 formally relinquishes leadership of the Church, and preparations for getting his replacement move into top gear, analysts are pronouncing, almost definitively, that the likelihood of an African becoming the next Vatican boss are slim.
There has been no African pontiff in contemporary history of the Church and it took almost a century to have the first modern native African cardinal following the elevation of the late Laurean Rugambwa to that position in 1960.
Proponents of an African Pope want one because they say it’s high time Africa produced the supreme leader of the Church.
While admitting that speculation about who will succeed the German spiritual leader, originally Cardinal Joseph Ratzinger, was a hazardous bet business and denominationally
 
Back
Top Bottom