Mahakama Isiwe Mhimili wa Maovu ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama Isiwe Mhimili wa Maovu ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Goodrich, Sep 13, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mahakama inapaswa kuwa mhimili wa Taifa.
  Ni aibu kubwa kwa mahakama kuwa mhimili wa maovu yanayofanywa na Chama tawala.
  Imekuwa ni kawaida ya CCM na serikali yake kila wanapoona wameharibu na maji yamewafika shingoni kuitumia mahakama kama kinga yao ya mwisho.
  Tumeshuhudia masuala mazito yakizimwa kwa kuitumia mahakama. Mfano, masuala ya ufisadi, sumu ya Barick GGM iliyosababisha maafa Geita, Migomo ya kudai haki, suala la Ulimboka na sasa suala la Mwangosi (RIP).
  Baada ya hapo msemo unaobakia ni "Suala hili lisijadiliwe, lipo mahakamani"
   
 2. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmeshaambiwa tukubali kufa ili kupambana na polisi wanatumia mabavu ili baba yao ccm na majaji dhaifu kama ihema wapotelee mbali!!Mimi nipo tayari kumwaga damu yangu kwa ajili ya taifa langu
   
 3. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata Gadafi alikuwa na mahakama zake, when time comes, jaji atasahau joho lake na kukimbia na 'kalizoo' tu kuokoa maisha yake.

  Hakuna udhalimu ulionisikitisha kama waliofanyiwa wafanyabiashara wa madini waliouawa mabwepande tukaambiwa ni majambazi. Tume zikaundwa na kesi ikapelekwa mahakamani. Mwisho wa siku hakuna mwenye hatia na familia za marehemu hazina msaada.

  Mungu ziangalie mahakama zetu, angalau utoe mfano kwa jaji mmoja naye aone jinsi dhuluma inavyotesa wengine
   
 4. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  mfumo mbovu! na serekal kuwafanya wananch kama mifugo!
   
 5. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mahakama, Serikali kuu na Bunge....! Vioja Mahakamani.
   
 6. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2013
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Sasa suala la Kibanda.
   
 7. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Killa dhurma inamwisho mbaya sana.
   
 8. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Sijaona watawala dharimu wakistaafu vyema. Aidha wao au familia zao au wote na wafuasi wao uondoka madarakani kwa aibu, hata kufa vifo vya aibu.
   
 9. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2013
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wengi wakiandikaga hii sentensi huwa hawaweki hayo maneno kwenye red, asante kwa kuandika vizuri
   
Loading...