Mjengwa asitisha mahusiano na Ludovick Joseph kwa tuhuma za 'kuhusika na matukio ya kigaidi' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjengwa asitisha mahusiano na Ludovick Joseph kwa tuhuma za 'kuhusika na matukio ya kigaidi'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by njeeseka, Mar 17, 2013.

 1. njeeseka

  njeeseka JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1,280
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  TAARIFA RASMI KUTOKA Mtandao Wa Kijamii Wa MJENGWABLOG

  Sunday, 17 March 2013 | Written by Mjengwa Blog

  Ndugu zangu,
  Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.

  Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog unasitisha rasmi, kuanzia leo Jumapili, Machi, 17,2013, kuwa na Ludovick Joseph kama msaidizi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog na website ya Kwanza Jamii.

  Maggid Mjengwa,
  Mmiliki wa Mjengwablog /Kwanzajamii
   
 2. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Kwanini umkane leo? Mnalo la kutuambia na lazima mtuambie

  Mjengwa naye akamatwe atoe ushirikiano kwa jeshi la polisi. Kwanini umfukuze kazi ludovick haraka baada ya kuhusika kwenye utekaji na siku ya tukio la Kibanda Ludovick alikuwa na mjengwa maeneo ya kazini kwa kibanda muda wa saa tano 5 usiku tena muda ambao ndio Kibanda aliteswa...kuna kitu hapa

  Mjengwa ametudhihirishia kuwa naye yumo kwenye dili hapa anataka kujisafisha tu
   
 3. C

  COPPER JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Kazi ipo,
   
 4. njeeseka

  njeeseka JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1,280
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  nadhani jamaa kaona ukweli fulani na kugundua kuwa kifuatacho yeye naye kama Ludovick.Ila pia ni namna ya kujiosha kwamba nyuma ya pazia hafahamu chochote
   
 5. ilu

  ilu JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2013
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 820
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 80
  Kwanini haraka hivyo na mmh kwanini amhukumu kuhusika kwa taarifa tuu za polisi na hata presumption of innocence Mjengwa hana...kuna kitu bana anakijua atuweke wazi tuu.
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2013
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Distancing from oneself!Mjengwa mnafiki sana!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,862
  Likes Received: 22,875
  Trophy Points: 280
  Alisema hawakuwahi kumuajiri sio?
  huwezi sitisha kama huna mkataba nae
   
 8. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  A Friend in Need is a Friend Indeed..,

  With Friends like maggid who needs an enemy ?, what happens to innocent until proven guilty ?

  Hivi ikionekana amezingiziwa atamrudisha ?, nadhani angengoja kufanya haya pindi atakaposhitakiwa na sio tuhuma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. M

  Mpenda Posho Senior Member

  #9
  Mar 17, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pengine ameelekezwa kufanya hivyo ili kupisha uchunguzi.
   
 10. p

  paulk JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2013
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa mlitaka aendelee kumkumbatia muuaji! Kama kuhusika Ludovick na Lwakatare tusubili wataendelea kutaja waalifu wenzao!
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 19,018
  Likes Received: 11,671
  Trophy Points: 280
  mjengwa mbona anaharaka hivyo, kutuhumiwa tu unamfukuza kazi.?
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 14,698
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Naona MJENGWA anaanza kukimbia kivuli chake mwenyewe...hii hatari sana aiseee...
   
 13. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,012
  Likes Received: 547
  Trophy Points: 280
  Jamani kucha zangu!
   
 14. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2013
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 15,797
  Likes Received: 2,380
  Trophy Points: 280
  Hivi ingekuwa vipi na CHADEMA wangemkana Lwakatare?

  Je ikithibitika amesingiziwa Mjengwa Utaomba Msamaha kwa kumuhukumu kijana wa Watu?
   
 15. njeeseka

  njeeseka JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1,280
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  nadhami Mjengwa aje aeleze kama kuna siri anazijua nyuma ya pazia. Rudi kwenye utamaduni wako kama makala yako uliowahi kuandika kuwa hakuna siri soma hapa Raia Mwema - Hakuna siri
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2013
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 15,797
  Likes Received: 2,380
  Trophy Points: 280
  Sasa Ludovick akimtaja Mjengwa itakuwaje?
   
 17. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2013
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 771
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mjengwa anatakiwa afunguke zaidi Sababu za kuji- distance na Ludovick ... Kwa hili la kutuhumia tu halitoshi ... Acha woga
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  maggid amechemka kumfuza Ludovick haraka kiasi hiki! Kwanza ilitakiwa mpaka mshikaji wake apatikane na hatia ndiyo angemtema! Je akiwa hana hatina na ulikuwa uzushi si itakuwa aibu kwa Mjengwa?

  Sijalisapoti jambo hili kabisa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2013
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,872
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  Kwanza Mjengwa ni mnafiki na mlamba viatu vya wapanga magogoni. Hana lolote huyu zaidi ya kutumiwa kama puto.
   
 20. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2013
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,683
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  Hivi neno KUSITISHA linatafsrika vp, kwamba badae wanaweza kuendeleza tena uhusiano au mimi ndio nashindwa tafasiri hiyo sentensi?
   
Loading...