Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kuna malori huko yameandikwa DGE au Delina group,STATEOIL,KOBIL mtaokolewa ni ya ridhwan k
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Baada ya kutikisa Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Ngazi za juu hasa Makao Makuu, sasa migogoro ya CHADEMA imehamia Nyanda za juu kusini ambapo imeripotiwa kuwa kuna migogoro mikubwa ambayo inaendelea...
3 Reactions
109 Replies
9K Views
Arusha.Polisi Mkoa wa Manyara inamsaka Mbunge wa Viti wa Mkoa wa Manyara (CHADEMA),Rose Kamili pamoja na watu wengine wanne kwa tuhuma za kufunga ofisi ya kijiji cha Basotu kwa zaidi ya wiki moja...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Nawashauri CHADEMA kama wanataka kushinda Uraisi,wapeleke M4C kwa Wazungu kwanza, wakifanikiwa huko ndio waje wamalizie huku kwetu! Natoa huo ushauri kwa maana Wazungu ndio wanaamua nani awe Raisi...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Baadhi ya Wakazi wa mkoa wa Mwanza, wametoa kilio chao kwa Rais juu ya mkuu wa mkoa wa Mwanza, Evarst Ndikilo. Wamemuomba atengue mara moja uteuzi wa kiongozi huyo eti hatoshi na anajenga fitna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, anaweza kukutana na hoja ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani bungeni na hatimaye kung'olewa kama sehemu ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wataunganisha...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, Mgana Msindai anatuhumiwa kupora machimbo ya madini ya wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nkonkilangi na kuyakabidhi kwa John Binna bila...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
FRIDAY, MARCH 22, 2013 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dk. Norman Sigalla KAMATI ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Mbeya limepiga marufuku maandamano yoyote kufanyika Mkoani hapa yenye...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari! Wanangu, ningependa mpokee mawazo yangu muone kwa dhati ya moyo wangu na upendo kwa taifa langu, je, kuna tija yoyote ya kuwa mbele katika mambo ambayo mimi niko nyuma kama wazee wengine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Inawezekana kabisa kuweka sera na taratibu za kudumu katika Katiba, na hivyo kila anayepata fursa ya kuongoza akawajibika kuzisimamia sera hizo za kwenye katiba. Hakuna sababu ya kila baada ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Muda mfupi uliopita hapa katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ametoa tamko la Musoma, likiwataka Watanzania wote wapenda nchi yao, kujiandaa kwa...
27 Reactions
262 Replies
19K Views
wakuu, kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikisikia mhariri mtendaji mkuu wa magazeti ya Mwananchi ni Denis Msaki ila ninavyojua kabla ya hapo mhariri mtendaji mkuu alikuwa ni Theophil Makunga, je...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wadau katika pita pita zangu mara nakutana na hii clip http://www.ecoenergy.co.tz/home/ Mh Waziri anapiga kisweden na kwa kuwaomba wasweden waje ardhi hapa nchini ipo ya kutosha. Naski huko...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Wana JF waliokwishatembelea Moshi au wanaotokea Moshi wanakumbuka ama wameambiwa mengi kuhusu maendeleo ya Jimbo la Vunjo tangu Mrema alipohama CCM na kuingia upinzani. Kwa wale wasiojua naona...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
baada ya kutumiwa kama mpira wa kiume na ccm hatimaye wale madiwani waliousaliti umma wa wana arusha wameshindwa kulipa faini na sasa mahakama inawasaka kuwasweka rumande. Source:magazetini leo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naanza kuona kwamba nchi haipo salama kwa kufuatia habari za vijana wawili ambao ni manaibu makatibu wakuu wa vyama vikuu na kujihusisha na uhujumu wa chama Kikuu cha upinzani najiuliza je wao...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Shehe Semtawa MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, Mgana Msindai anatuhumiwa kupora machimbo ya madini ya wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nkonkilangi na kuyakabidhi kwa John...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UTANGULIZI. Katika watu ambao taifa ili haliwezi kuwasahau kutokana na nafasi zao ambazo walikuwa nazo,wanazo na pengine...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Makosa ya ugaidi aliyoshtakiwa Alfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Joseph yanaweza kuichafua nchi kimataifa. Kwa mawazo yangu,makosa ya ugaidi ni makosa 'sensitive' na hivyo kuvuta hisia za...
4 Reactions
71 Replies
7K Views
Kuna mkanganyiko na mgongano katika kesi hii kwa kuangalia mwenendo wake, na giza kutanda kutokana jinsi mwanzo na mwendelezo wake unavyotendeka katika mahakama, jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Back
Top Bottom