Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Baada ya filamu maarufu iliyotoka hivi karibuni, kila dalili zinaonyesha magogoni wamehusika. Leo nimesoma Mh amealikwa Hollywood kwa mazungumzo. Mh nakupa tahadhari, maana upo katika list ya mnaosumbua, ongea na wanasheria wa CDM kabla ya kwenda kichwa kichwa