Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Mar 20, 2013.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2013
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wilfred Lwakatare Ameachiwa Huru na mahakama Kisha kukamatwa tena eneo la mahakama kujibu shtaka lingine
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,109
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 160
  Uji.nga mtupu, sasa ndio ameachiwa hivyo?
  Heading haijakaa sawa, mie nilidhani kaungana na familia yake.

  Ludo je?
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2013
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 19,416
  Likes Received: 1,752
  Trophy Points: 280
  Mahakama imemwachia huru Lwakatare kwa kutokuona hana hatia yoyote,
  Ila polisi wamemkamata tena
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2013
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,796
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  please!, tupatieni habari inayojitosheleza.
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo bado makosa matatu. Tunachotaka ukweli ufahamike hata kama angekamatwa mara sabini, poa tu , magaidi wasionewe haya hata kidogo.
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hujaelewa nini wewe, pitia angalau sheria uwe aware na mambo haya.
   
 7. Tony Gwanco

  Tony Gwanco JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 5,920
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  kwa ugaidi uleule au ndio mambo kama ya mch.mtikila
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2013
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,408
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli kabisa kaachiliwa - lakini baadaye kakamatwa nipo mahakamani.
   
 9. Mjuni Lwambo

  Mjuni Lwambo JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 5,625
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  Kama ameachiwa huru, mana yake yale makosa manne yote aliyoshtakiwa nayo mwanzo hayajaweza kuthibitishwa,
  Sasa kakamatwa tena kwa kosa gani?, Jamaa wameweka clip nyingine mpya you tube?
   
 10. Mjuni Lwambo

  Mjuni Lwambo JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 5,625
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  Tupe kinachoendelea mkuu.
   
 11. M

  MABAGHEE JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Basi mwombeeni kama ameanza kupangua kesi moja. Mi nafikiri serikali ichunguze mambo haya vizuri maana yanatia hofu.
   
 12. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2013
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,291
  Likes Received: 2,962
  Trophy Points: 280
  Wanasheria mna kazi, hivi haya yanafanyika kwa kuisimamia sheria ama mnafanya kazi kwa shinikizo?
   
 13. commited

  commited JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2013
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu asante, ebu weka wazi wamemkamata kwa makosa gani tena?? anasomewa hayo mashitaka mapya hapohapo au anarudishwa lupango kwanza mpaka siku nyingine... funguka mkuu
   
 14. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2013
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wonders shall never end
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2013
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ZeMarcopolo nakuaminia tupe za uhakika hata kama si kweli
   
 16. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2013
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  du hii kali wanajaribu kuficha aibu kiaina ........hivi hao police hawana kazi nyingine si wakubali tu maamuzi ya mahakama..................
   
 17. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2013
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Thibitisheni wakuu mliopo eneo la Mahakama,kama ameachiwa then kukamatwa tena kosa lake nn haswa?
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,491
  Likes Received: 2,974
  Trophy Points: 280
  Jitahidi uweke habari iliyokamilika mkuu, alishtakiwa mahakamani kwa makosa manne.
  Je hayo makosa yamefutiliwa mbali na mahakama?
  Hilo kosa jingine ni lipi kama sio yale manne ya awali?
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,979
  Likes Received: 522
  Trophy Points: 280
  Polisi waache kutumika kwa hili...
   
 20. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2013
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 21,062
  Likes Received: 8,601
  Trophy Points: 280
  Hata hayo mengine nayo watamuachia huru kisha watafute mengine tena! !
   
Loading...