By
Sabato masalia
hawa watu wanamchango mkubwa sana kulifilisi taifa hili. kila kona wapo kuliibia taifa hili na ukizingatia wao ndo wengi waliosoma imekuwa shida kweli. ubarikiwe mwakyembe na mungu aendelee kukupa ujasiri tuepukane na janga hili la umasikini.
We una ombwe kubwa sana kichwani mwako tena sna labda ningekuuliza elimu yako ni ip na umesoma chuo mwaka gani umeanza lini na kumaliza lini na course gani umesoma usije kutudanganya hapa na wewe unasifa gani ya ya kwenda kuajiriwa ktk kitengo chochote cha ngazi ya maamuzi ukashindwa kupata kwa ajili ya kabila lako na si kutegemea akili na usomi wa watu wengine ili wewe uje kuwa mtetezi wao hapa....
Within a shrt time ni jf premium member,ni kwa pumba za nmna hiyo kujaza tu database chukua vitabu vy shigongo ukasome....I thimk ndo umemaliza frm 4 mwaka jana