Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Polisi wanatumia nafasi ya kuwepo ugeni wa rais wa China Xi Ping kukataza maandamano ya wananchi kumshinikiza waziri wa elimu Shukuru Kawambwa kujiuzulu. Nayaita maandamano ya wananchi kwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tetesi machafuko/vurugu kubwa kutokea‘'mjimpyamtarajiwa'' ferry kigamboni ni baada ya kuwepo kwa taarifa zisizo rasimi toka kwa mh diwani doto msawa, na nakuwapandisha jaziba na hasira...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Mikutano ya hadhara imezoeleka kuvuta watu wengi. Mvuto huo wa watu wengi sijausahau tangu uchaguzi mkuu uliopita, lakini wahudhuriaji hawa walio wengi si wapiga kura, bali ni wazururaji, wasio na...
7 Reactions
70 Replies
6K Views
MARA nyingi tunawasikia watu wa Zanzibar wakiwemo viongozi wa siasa na dini wakizungumzia kile wanachokiita kero za Muungano. Lakini ukichunguza utaona zipo kero nyingi ambazo sio za Muungano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashauri ili kudhibiti mbinu za polisi kwa upande wa Dar es salaam maandamano yaanzie posta mpya na kwenda Wizara ya elimu. Na mikoani kama vile kule Arusha Mwanza na Mbeya nako yaanzie katikati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo gazeti la Mtanzania (ambalo pamoja na Tanzania Daima) ndiyo pekee yanayoandika kwa kina ya kinachoendelea katika sakata la kupigwa kwa mwanahabari Absalom Kibanda limeandika kukosekana kwa ari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Pinda Peter Kayanza "Tatizo lingine ni namna ambavyo mmekuwa mkiwashurutisha askari wa vyeo vya chini na kuwaadhibu katika amri ambazo mmetoa ninyi, hilo jambo sio zuri hata...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Hakuna kitu muhimu sana katika suala zima la utawala wa nchi kama kutumia maarifa ya kuzaliwa, kujifunza darasani na nje ya darasa, pia kutumia hekima na busara kutatua shida na matatizo ya jamii...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jana niliweka bandiko kama hili lakini lilikuwa katika kujibu hoja ya mwanajamvi. Leo nimeona niongelee kwa kirefu hili suala la serikali kupinga kuwepo kwa maandamano pale wananchi wanapodai haki...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajf naomba mwenye cv ya mbunge wa jimbo la Dodoma mjini aiweke hapa. Nimejitahidi sana kufatilia utendaji wake pamoja na uwepo wake na uchangiaji bungeni ni utata mtupu. Naombeni cv yake...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kusema kweli nimesoma vitabu vya ma-great thinkers wengi toka afrika lakini naweza kusema tu kuwa sijaona mtu alieweza kumfikia huyu jamaa anayeitwa Abdulrahman Babu, yeye alikuwa ni profesa na...
4 Reactions
106 Replies
11K Views
Leo katika kipindi cha Tutashinda kinachorushwa na channel 10,mchungaji Lusekelo ambae hutoa mahubiri katika kipindi hicho ametoa kauli ambayo sidhani kama ni sahihi ila kama ina sahihi basi...
1 Reactions
150 Replies
25K Views
SIKU 19 zikiwa zimepita baada ya tukio la kutekwa na kuteswa kinyama kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, Jeshi la...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika ngazi ya dunia kuna watu kama Cicero. Hawa ni watu wenye mvuto na uwezo wa ajabu wa kupanga mbinu, kujenga hoja na kutetea mipango. Inasemekana wana uwezo hata wa kumfanya mtu mwenye njaa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
Wadau naona kama kuna mkanganyiko wa tarehe rasmi ya maandamano kama ni leo tarehe 24/03/2013 au ni kesho tarehe 25/03/2013.Taarifa kwenye magazeti mbali mbali na hata hapa JF na ile ya idara ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza nawasalim pili naomba kuwashauri kwakuwa polisi wamezuia maandamano yetu ya kesho kwa visingizio mbalimbali ikiwemo ya mchina kuja tanzania na ccm kufanya maandamano kesho hiyohiyo naomba...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ali Kessy yeye alikwenda mbali zaidi ya kueleza kuwa mahakimu na waendesha mashtaka wamegeuka miungu watu, huku wakishindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HATUA ya vyombo vya habari kulivalia njuga suala la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda haiwafurahishi watendaji wa serikali. Vyombo...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Our President is active, he is actually number 3 on that list. According to a ranking published by the Agency Ecofin, the Heads of State of the African continent also use the canvas to give their...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom