Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa ya Jaji Manento ilifafanua kuwa "kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda Septemba 2 mwaka janakatika utekelezaji wa majukumu yake alikiuka Sheria ya vyama vya siasa (Cap 258RE...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Idara ya habari maelezo, imetangaza kuzuia maandamano yote waliyokuwa yafanyike tarehe 25 Machi 2013, katika miji ya Arusha na Mbeya. Haijajulikana wazi, Idara hii imeanza lini kuwa wasemaji wa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Kuna kundi la Watanzania waliokwama Lubumbashi, DRC baada ya waasi wa nchi hiyo kuingia mtaani. Wanatafuta mawasiliano na ubalozi hawana wanaulizwa walienda huko kufanya nini. Baadhi ni...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya CHADEMA, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Umoja wa vijana wa CCM jordan wao ktk mkutano wa chama Usambara Lodge wakiwa ktk kikao hicho watajadili mambo mbali mbali ya kukijenga chama kujipanga katika kuongeza idadikubwa zaidi ya wanachama...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
  • Closed
Toka Chadema wamkane kamanda Joseph ludovick tuliesoma nae pale DUCE ambaye alikuwa mwenyekiti wa CHASO siandamani tena...Nimebaini hawaviongozi wa Chadema wanatuthamini sisi vijana kipindi cha...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa kile kinacho onekana kuwa ni kuchoshwa na ahadi feki za Mbunge wa Same Magharibi Ndugu David Matayo David (Maarufu kama David Cleopa Msuya) Wananchi wameungana na kuwa na msimamo juu ya...
6 Reactions
50 Replies
9K Views
20 MARCH 2013 OSLO, Norway KAMPUNI za Statoil na BG Group, zinatarajia kutumia dola za Marekani bilioni 10 kujenga kituo cha kuzalisha na kusafisha gesi ya asili nchini Tanzania ili kuiuza Asia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna msemo usemao"ukicheka na nyani ,utavuna mabua".Hii ndio CCM ya leo! Chama hiki ni kama hakijitambui!Mtu mmoja kwasababu tu katiba inampa madaraka makubwa wao wamebaki kumwangalia tu afanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa haraka jinsi mtazamo wa watu unavyoweza kuwa kwa yale yanayoendelea nchini. Wengi wameandika kuwa "Amani ni tunda la haki". -Lakini haki inapoacha kufuatwa na kuwepo kwa matabaka...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) BY KILASA MTAMBALIKE JUST BACK FROM KISARAWE, 23 MARCH 2013 KISARAWE district, just a few minutes' drive from Dar es Salaam, has come up with an ambitious...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hii ni baada ya kuchachafya kwa kasi na mbunge Mnyika kule bungeni.sasa JK anasema wataruhusu sekta binafsi kuwekeza kwenye sekta ya maji.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi katika awamu ya Serikali ya nne kuna tatizo gani la kiufundi haya yametokea? 1. Tanzania ni nchi ya pili Afrika mashariki kwa ufisadi na rushwa baada ya Uganda. Uganda iko mbele ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kufungua account maalum ili watanzania wote wapenda haki na waliochoshwa na udhalimu huu wa serikali ya CCM wachangie gharama za kesi hiyo. Kesi hii dhidi ya...
4 Reactions
75 Replies
5K Views
Maoni ya katuni Watumishi wa umma wanatakiwa kuwa kioo cha jamii kwa maana ya mwenendo wa utumishi wao ujidhihirishe juu ya shaka yoyote katika mwangaza wa uadilifu. Haifai, haikubaliki na wala...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitika kuona Majimbo mbalimbali hapa Dar es Salaam kuendelea kubweteka na kudhani Ukombozi umetimia. Nashangaa kuona baadhi ya vikuruti/ vibaraka wakijiita MAKAMANDA wakati Kazi waitendayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Za Jioni wadau! Hapa siko ki shabiki' ki ccm au ki cdm. Niko Kama mtanzania mpenda maendeleo na mwana mageuzi wa kweli. Nina maswali ma 3 au ma 5 kwa mwenyekiti na katibu wa CDM ila...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Mtazamo wangu tofauti na wanaodhani China is here for good. They are for no good JF. Kama kuna kiongozi yeyote anadhani waChina wanafanya hivi kwa ajili ya kutusaidi, s/he is fooled. Sina uhakika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama KUU mkoani Arusha imeamuru Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kuwakamata na kuwapeleka mbele ya Sheria waliokuwa Madiwani watano wa CHADEMA baada ya kushindwa kumalizia kulipa sehemu ya pesa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa kawaida kila Mwaka wa Fedha wa Serikali unavoanza kunakuwa na kalenda ya matukio mbali mbali ya kimaendeleo na maadhimisho yake na sehemu husika ambazo matukio hayo hupangwa kufanyika.. Jana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom