Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana ktk taarifa ya habari ya startv nilishuhudia makundi mbalimbali mkoani Mbeya yakipinga maandamano ya CHADEMA kwa jinsi walivyokuwa wanaonge inaonesha walikuwa wamelipwa na wamekaririshwa...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Serikali imekuwa inajitahidi sana katika kuhakikisha halmashauri zinapatiwa fedha za kutosha kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo. Swali ni je, fedha hizo zinatumika ipasavyo na kwa miradi...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
On the eve of China’s new President’s visit to Tanzania, which starts tomorrow, March 24th, I thought I would need to share my views on those topics and issues I would like to advise our...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Hatimaye Serikali imesaini mkataba wa kuchimba makaa ya mawe liganga na mchuchuma wilayani Ludewa Source Message zinazosambazwa na Mbunge wa Ludewa braza Deo F. Haule
0 Reactions
33 Replies
5K Views
  • Closed
Ningependa kuwaasa vijana wenzangu, msikubali kutumiwa na baadhi ya wanasiasa wachache kwa manufaa yao binafsi Haya maandamano yaliyopangwa kufanyika wiki hii hayana kibali cha polisi na wote...
1 Reactions
109 Replies
8K Views
Rais wa JMK amewataka vijana kuacha kushabikia watu wanaoisema nchi vibaya, amesema enzi zao watu waliokuwa wakiisema nchi vibaya walikuwa wanawachukia tofauti na saizi vijana wanashabikia...
1 Reactions
101 Replies
8K Views
Mimi si mwanachama wa chama chochote hapa nchini,, japo nimekua nikipiga kura kila mwaka wa uchaguzi maana kura ni haki ya raia na si lazima uwe na chama,, baada ya kusema haya naomba sasa nitoe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA – KUUNGA MKONO MAANDAMANO YA TAREHE 25 MACHI 2013 Kufuatia tamko lililotolewa jana tarehe 11 Machi 2013 huko musoma na Mwenyekiti wa chama Mhe Freeman A. MBowe (MB), ambalo ni...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Polisi wapatao 20, walivamia nyumba ya mfanyabiashara wa madini wakamuua na kupora na fedha hizo milioni 350, kwa madai ya kuwa walikuja kulipiza kisasi kwa madai ya kuwa mfanya biashara huyo...
1 Reactions
108 Replies
14K Views
Ofisa Mtendaji Mkuu wa New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe (kulia), akisisitiza jambo alipokuwa akielezea tukio la kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Closed
Thursday, March 21, 2013 Shahidi wa utetezi na Mwanzilishi wa Baraza la Misikiti Tanganyika, Bilali Waikela (87), amedai mahakamani katika kesi inayomkabili Sheikh Issa Ponda na wenzake 49...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
  • Closed
Kupitia taarifa ya habari ya Channel ten ya saa moja usiku huu,kamanda kova akiongea na waandishi wa habari ametoa kauli akimanisha kuwa safari hii hawatakamata waandamanaji wa kawaida tu,bali...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili tamko lime jaa unafki wa hali ya juu, Pia huku Mbeya limechochea baada ya kupunguza tatizo hii ni baada ya Maaskofu ku hoji maswali kadhaa ambayo hayana majibu , Mosi, Kwa nn tamko litolewe...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
  • Closed
LICHA ya serikali kuyapiga marufuku maandamano yaliyoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuishinikiza kumwajibisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Naibu wake wajiuzulu...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
Suala linalohusu video inayomhusisha mkurugenzi wa usala wa CHADEMA, Winfred Lwakatare limezua gumzo kubwa nchini na kwa wengine kuwwacha kwenye hali ya sintofahamu. Polisi imejiingiza katika...
2 Reactions
101 Replies
9K Views
Wanajf wa CHADEMA, juzi niliona waraka wa katibu mkuu wa BAVICHA kamanda, Deogratias Munishi unaoelekeza muundo mpya wa CHASO ngazi ya mkoa . Huu waraka unaelekeza kuwa CHASO mkoa utaongozwa na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Nikiwa eneo la SIDO-SOKONI MBEYA,Polisi wamefanya kile ambacho wakoloni waliwafanyia Waafrika miaka hiyo"YANI KUPELEKA MAJESHI NA KUFANYIA ZOEZI KARIBU NA MAADUI"Hili lilifanyika ili kuogopesha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
(Mods naomba msiunganishe thread yangu na za bwana LUKOSI). Sina tatizo na uwepo wa maandamano kwa kesho japo jeshi la polisi limejipa kazi ya "KUTOA KIBALI". Kuhudhuria maandamano kesho kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwezi uliopita nilitembelea maeneo ya Lushoto na kupanda vilima nikafika maeneo ya Shume na Soni,niliwauliza wananchi ni chama gani kina nguvu wakaniambia nisubiri 2015 kuiona CHADEMA ikulu. Sina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huku Jeshi la polisi nchini likiamua kutumika vibaya na Chama cha Mapinduzi na Serikali yake kwa kupiga marufuku maandamano kwenye mikoa yote yalikopangwa kufanyika, Chama Cha Demokrasia na...
10 Reactions
207 Replies
14K Views
Back
Top Bottom