Sintofahamu ya suala la Lwakatare, je, hili likifanyika Polisi watashikalipi?

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Suala linalohusu video inayomhusisha mkurugenzi wa usala wa CHADEMA, Winfred Lwakatare limezua gumzo kubwa nchini na kwa wengine kuwwacha kwenye hali ya sintofahamu.

Polisi imejiingiza katika suala ambalo sina shaka kuwa litaleta historia ndani ya jeshi hilo (be it positive or Negative). Suala hapa linahusisha matumizi ya technolojia katika kupandikizia watu makosa au teknolojia ilivyofanikisha kukamatwa kwa mtu anayepanga jinai.
Wengi hawaamini kwamba video ile ina uhalisia wowote, wanaamini ni michezo ya kitechnolojia imetumika kutengeneza issue ile.

NINACHOJIULIZA JE, POLISI WATASHIKA LIPI IKIWA WATAALAM WATAINGIZA SAUTI YENYE MAZUNGUMZO TOFAUTI KATIKA CLIP ILE ILE?

UPANDE MWINGINE NI JE, KWA WATETEZI WA LWAKATARE KWA NINI WASI EDIT CLIP ILE ILI KUYAPA NGUVU MADAI YAO NA KUONDOA HALI YA SINTOFAHAMU.
NAWASILISHA.
 
TUTAKUTANA kesho mahakamani, ndo itajulikana mbivu na mbichi, na pia polisi watatupatia kifungu cha sheria kinachokubali ushahidi uliopatikana kwenye mtandao. Kama wametumwa kesho itajulikana
 
Unategemea hawa Polisi ambao wameaza kutumia computer miaka hii ya 2000 wataweza kuchambua mbivu na mbichi kwenye huo mkanda? Labda wawaite tena FBI...
 
Polisi wana kitengo cha IT
msiwaone ni mbumbumbu kabisa

Kuwa na kitengo cha IT ni ishu tofauti kabisa na IT applications...
Je, kuna good IT experts, proper Hardware and Software vipo?
Haya ndio yale mambo tunayosikiaga eti shule ina maabara lakini wanafunzi hawawezi kufanya mtihani wa sayansi....
Au ujajiuliza ni kwa nini pale COET kuna vitengo vyote, lakini hata kutengeneza jiko la gas hawawezi...
 
Kitengo cha IT cha polisi lazima kitakuwa ni Substandard, no wonder FBI waliitwa kuhusu Zenj.
 
Mkuu!

Ha ha haaaa!

Kitengo cha IT vifaa vyote vimefunikwa na buibui achilia mbali mende wasio na kipimo.
 
Kitengo cha IT ktk jesh letu la polisi,kipo ZAIDI kwa askari wa barabaran hasa wanaohusika na kupanga madaraja ya lesen za drivng. jamaa kuingiza taaarifa tu kwenye kompy ni issue,aki typ jina ni dk 3
 
Hawa vichwa maji wa Magamba wanajisumbua bure tu kwani hata technologia yenyewe hawaijui. Walishakuja na ule ujinga wao wa kujitumia meseji za simu za vitisho kupitia namba za wabunge wa CHADEMA wakaishia kuumbuka lakini bado hawaoneshi kuwa wabunifu badala yake wanaibuka kila siku na mbinu dhaifu dhaifu sana. Naona ni kama vile mfa maji anayekaribia kufaa kwa jinsi wanavyotapatapa.
 
Jeshi sahvi linao wataalamu wa IT ambao ni wasomi wakubwa wenye uwezo mkubwa ktk applications zake pia, tatz hawatafanya kazi kwa kufuata maelekezo toka magogoni??
 
Jeshi sahvi linao wataalamu wa IT ambao ni wasomi wakubwa wenye uwezo mkubwa ktk applications zake pia, tatz hawatafanya kazi kwa kufuata maelekezo toka magogoni??

Hakuna mtaaluma wa maana anaweza apply kazi jeshi la polisi tz,hii ni kwa sasa wameruhusu ccm kuwa na kitengo ndani ya jeshi. Mtu ka Mwingulu anawasumbua sana polisi sema yuko na backing ya wakubwa,hata hivyo polisi wenyewe wanatekeleza maagizo ya Nchemba kwa shingo upande ndo maana hawajui ni kwa kosa gani watamshitaki Rwakatare maana video ya Nchemba wanahofu itadhalilisha jeshi!
 
immatures....dharau mmeweka mbele....mi nilisema juzi, nasema tena na leo....ingieni katika search engines, like google, bing..and whatever......mutafute record ya clip iliyokuwa maneuvered(tengenezwa) ambayo ina urefu wa dakika zaidi ya 10...ikiinclude, SAUTI, BODY LANGUAGE YA MZUNGUMZAJI, CHAFYA NA KUVUTA VUTA MAFUA, WATU KUPITA NYUMA YAKE NA WENGINE KUMSALIMIA......mtakapoweza kuipata hiyo...au hata kumbukumbu ya kuwepo kwa mtaalam alyeweza kufanya hivyo ndiyo mtaweza kushawishi umma kuwa ile video imechakachuliwa.....unless mnapata hiyo, truth of the matter remains, video ile ni genuine........alaf CHADEMA na watu wake wote, mjifunze kukubali matokeo siyo kila siku mnakataa tu....mbona mmekuwa brain washed namna hiyo....??
 
Kitengo cha IT cha polisi lazima kitakuwa ni Substandard, no wonder FBI waliitwa kuhusu Zenj.
halafu FBI baada ya kuona wanafanya kazi na mazuzu wakawachorea kikatuni wakarudi zao USA... acha kova wa zanzibar ajitape nacho hicho kikatuni kwenye vyombo vya habari
 
Kitengo cha IT ktk jesh letu la polisi,kipo ZAIDI kwa askari wa barabaran hasa wanaohusika na kupanga madaraja ya lesen za drivng. jamaa kuingiza taaarifa tu kwenye kompy ni issue,aki typ jina ni dk 3

hahahahahahahahahahahahaha! Jama hebu achen kutuchekesha wengine tunahasira na hawa polisiccm
 
Back
Top Bottom