Sababu hasa ya dana dana za jana za kufuta mashtaka na kuyafungua tena dhidi ya Mkurugenzi wa Usalama wa CHADEMA sasa zi wazi. Chanzo cha kuaminika kinasema kuwa kiukweli dana dana za jana...
Ni imani yangu kuwa;
1.kama video hiyo ni halali,haihusishi wanachdema wote hvyo yeyote aliye nyuma yake bila kujalisha wadhifa wake ataondolewa na chama kubaki na wengine wenye nia njema ila...
Watu mahali popote
walipo ,hawawezi
kupata haki zao ,uhuru
wao , ukombozi wao bila
wao wenyewe kuamka
kwanza na kuchukua
hatua kwa ujasiri ,
hakuna haki bila wajibu .
Hakuna haki uhuru na...
Nimefika makao makuu ya CHADEMA kwa lengo la kupeleka barua ofisi ya Hazina. Nimepekuliwa kuanzia kuvua viatu,mifukoni na nikaamuliwa kuacha simu mapokezi(mlinzi wa CHADEMA). Nimehamaki kuona hali...
Pamoja na CHADEMA kusitisha mpango wa wananchi kuandamana dhidi ya usimamizi dhaifu wa elimu wa Kawa-mbwa na Mulugo. Leo hii malori mawili yaliyosheheni askali wa JKT Itende yalipita mtaani...
MONDAY, MARCH 25, 2013
Kapala Chakupewa Makelele Diwani wa kata ya Magamba Chunya na pia ndiye mwenyekiti wa ccm na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya chunya ndiye taarifa yake ya...
Hali ya siasa kwa upande wa CHADEMA inaelekea pazuri jimbo la Same magharibi, naweza kushawishika kusema hivyo kutokana na mkutano wa CCM uliofanywa chini ya mwenyekiti na Katibu wa ccm Mkoa...
Wakati wa mh yule mitihani ilvuja mara nyingi na hili lilikuwa tatizo kwake,nakumbuka mwaka 2009 mh huyo altoa kauli ya kuresign kama mtihan ungevuja kwakweli hata wale wa fedha boys hawakupata...
Zembwela huendesha kipindi cha uswazi huönesha maisha halisi ya uswahilini ni magumu ajabu. Watu wanalala kama mbwa wanakula ka kuku.
Pia vijijini maisha ni duni sana
JK ANAONESHA KILA SIKU...
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetuma ujumbe mzito kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Othman Rashid na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Said Mwema, juu ya kauli...
Ndg wanajf, pole na majukumu, nmefkria sana, hatmaye nmeamua kujua Kuhusu elimu ya waziri Lukuvi, make nmekuwa naskia kwamba wadau mbalmbal wa siasa wakihoji elimu za viongozi wengne hasa wa...
Wadau ni busara tukawekana wazi ili tujue ni sifa zipi zinazoifanya jamii iamini kuwa sass inatawaliwa na serikali inayoongozwa kidikteta.
Nduli Idd Amini aliuwa na kutesa raia wake na aliiitwa...
Tuliyasema Haya Wiko moja tu Iliyopita na Sasa Yanatokea!!! Ref: Mulugo
Nimeshangaa sana kusikia JK anapiga kelele juu ya vyeti bandia vya wauguzi. Kuhusu vyeti bandia vya wauguzi JK amefikia...
Kwanza ningependa kumshukuru mungumuumba kunipa nafasi hii ya kuandika waraka huu kwenu ndugu zangu. Namuomba anielekeze fikra nilizonazo zitoke kama ninavyokusudia kutoka kichwani kwangu na...
kwa taarifa yako tu, balozi zetu si za miasada sana
I hv the experience of Tanzania High Cmmisions offices in other countries.i hv bn S.Africa, Ghana, Nigeria and Botswana and others countries...
RUFAA DHIDI AGIZO LA ACP CHARLES KENYELA KAMANDA WA POLISI WA MKOA WA KIPOLISI WA KINONDONI KUZUIA MKUTANO WA HADHARA WA MBUNGE NA WANANCHI TAREHE 16 MACHI 2013
Posted: 20 Mar 2013 05:46 AM...
NCCR WAUKALIA KOONI UWANJA WA NDEGE MBEYA KUITWA J.KIKWETE
NCCR WAPINGA UWANJA KUPEWA JINA LA KIKWETE
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimepinga uamuzi wa Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mbeya kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.