Maaskofu mkoani Mbeya wa pinga tamko la kamati ya ulinzi ya mkoa

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,269
Reaction score
473
Hili tamko lime jaa unafki wa hali ya juu, Pia huku Mbeya limechochea baada ya kupunguza tatizo hii ni baada ya Maaskofu ku hoji maswali kadhaa ambayo hayana majibu ,

Mosi, Kwa nn tamko litolewe mkoani mbeya ambako zaidi ya Aslmia tisini ni wakristo?

Pili, km wamegundua kuna CD zenye uchochezi kwa nn wasiwakamate wanao hubiri kwenye hizo CD mfano Shekhe Ilunga? Pia kwann zikatazwe Mbeya tu ikiwa zipo kinyume na sheria za nchi nzima,

Ikumbukwe. Wakristo mkoani Mbeya walipanga kuongea na wakristo jumapili ikiwa ni pamoja na kuwakataza kula nyama za kiislam, pia kuitaka Serikali itoe tamko juu ya kauli yake inayo wataka waislam peke yao wachinje, na hatua zilizo chukuliwa dhidi ya Shekhe Ilunga, Maswal ni je! Kwenn serikali baada ya kutoa majihu inatoa vitisho dhidi ya wakristo?.

Pia kunataarifa kuwa kamati ya ulinzi inapewa maagizo na Rais [muislm] kwa lengo la kuuwa ukristo mkoani Mbeya,

Pia wanashangaa kamati kuwakataza kuhubiri siasa lakini Serikali haijawai kukataza Mihadhara inayo hubiri umwagaji damu na kuchinja Maaskofu na Mapadri.

Pia serikali imeamua kuwaambia viongozi wa dini wasihubiri siasa , baada ya tamko la maaskofu kutangaza kuwa watawaambia waumini wao wachome kadi za ccm km serikali ya ccm haita sikiliza madai yao, Swali jee kutangaza kuchoma kadi za CCM na kutangaza kuwauwa Maaskofu kipi cha hatari zaidi?
 
Kazi tunayo. Sijui watu tumeapa kulinda katiba au mawazo ya watu!!!!!!
 
Ninahisi umwagaji damu unakaribia na wenye uraia wa nchi mbili kamwe hawawezi kuwa WAKIMBIZI. Mh JK upo nchini au umesafiri???
 
Hata mimi ningeshangaa kama wangeunga mkono mihadhara na mahubiri kupigwa marufuku.
 
Naona hii SINGLE aliyoitunga Kikwete kwenye uchaguzi wa 2010 kuwakomoa CHADEMA inazidi kupata VERSE tu...

Hadi anaondoka nchi vipande vipande,,,, ila ajue The Hague kuna BARIDI sana kule sio mahali pazuri kumalizia maisha ya uzeeni. Wenzie akina Mwinyi wako hapa hapa bongo wanakula pensheni so yeye kwenda kulia pensheni kwenye sero za Hague ni kitu mbaya sana
 
Mlikua wapi nyie wafia dini? Suala la kuchinja ndio CHANZO cha kila kitu lakini sasa mbona hili suala sio kesi kabisaaaa kwa wanaoijua dini Yao vizuri, kwani nyie mapadre zmani mlikua mnachinja? Mbona sherehe zenu huwaita waislam kuwachinjia?
 
Nahisi huu mtego uliyotegwa kimasihara UMESHATEGEKA tayari. Hautafyatuka hivihivi bila kuleta madhara kama juhudi za kutosha hazita fanyika.
 
akamatwe kwanza mtikila na simba ulanga askofu hatawali nchi waisilam wa sasa somafara msilazimeshe 'kama mnavyo fikiria kuburuzwa kumefika mwisho haki sawa itapatikana
 
katika vitu ambavyo mnafeli ndugu zangu mwafikiri mkianzisha whatever you are tginking kwamba wakristu watakuwa looser.mnapotea na mtapotea
 
akamatwe kwanza mtikila na simba ulanga askofu hatawali nchi waisilam wa sasa somafara msilazimeshe 'kama mnavyo fikiria kuburuzwa kumefika mwisho haki sawa itapatikana

kaka yako po..nd.a yupo sero ananyea ndoo mmeogopa kwenda kumpa ushirikiano?
 
Mi jana nilivyokuwa nawaona wanajeshi na uongozi mzima wa jeshi uko unatishia watu, nkajiuliza kwanini watoe tamko hilo Mbeya?
 
Kichwa cha Hbari kinasema Maaskofu wapinga tamko la Kmati ya Ulinzi na Usalama...wewe mleta habari ni Askofu wa Kanisa lipi?
Hili tamko lime jaa unafki wa hali ya juu, Pia huku Mbeya limechochea baada ya kupunguza tatizo hii ni baada ya Maaskofu ku hoji maswali kadhaa ambayo hayana majibu ,
Mosi, Kwa nn tamko litolewe mkoani mbeya ambako zaidi ya Aslmia tisini ni wakristo?
Pili, km wamegundua kuna CD zenye uchochezi kwa nn wasiwakamate wanao hubiri kwenye hizo CD mfano Shekhe Ilunga? Pia kwann zikatazwe Mbeya tu ikiwa zipo kinyume na sheria za nchi nzima,
Ikumbukwe. Wakristo mkoani Mbeya walipanga kuongea na wakristo jumapili ikiwa ni pamoja na kuwakataza kula nyama za kiislam, pia kuitaka Serikali itoe tamko juu ya kauli yake inayo wataka waislam peke yao wachinje, na hatua zilizo chukuliwa dhidi ya Shekhe Ilunga, Maswal ni je! Kwenn serikali baada ya kutoa majihu inatoa vitisho dhidi ya wakristo?.
Pia kunataarifa kuwa kamati ya ulinzi inapewa maagizo na Rais [muislm] kwa lengo la kuuwa ukristo mkoani Mbeya,
Pia wanashangaa kamati kuwakataza kuhubiri siasa lakini Serikali haijawai kukataza Mihadhara inayo hubiri umwagaji damu na kuchinja Maaskofu na Mapadri.
Pia serikali imeamua kuwaambia viongozi wa dini wasihubiri siasa , baada ya tamko la maaskofu kutangaza kuwa watawaambia waumini wao wachome kadi za ccm km serikali ya ccm haita sikiliza madai yao, Swali jee kutangaza kuchoma kadi za CCM na kutangaza kuwauwa Maaskofu kipi cha hatari zaidi?
 
Kuna kitu kinanitatiza, hizi haki ambazo waislamu wanazitaka ni zipi? Maana Uislam ni siasa, uislam una bendera una katiba yake una sharia, kiujumla una taratibu zake. Sasa kuomba haki kwenye serikali isiyo na dini hili linatoka wapi? Aidha serikali iliyopo iondoke ije inayoongozwa kwa sharia au ikae kimya kwa kufuata iliyopo isiyo na dini. Kuomba serikali ndani ya serikali huo ni uhaini. Tafadhali mashehe waambieni watu wenu ukweli. Na kweli itawaweka huru. Ni ushauri.
 
dhamana ya kulibadili taifa letu lisiangukie kwenye udini iko juu ya mikono yetu.
 
Mlikua wapi nyie wafia dini? Suala la kuchinja ndio CHANZO cha kila kitu lakini sasa mbona hili suala sio kesi kabisaaaa kwa wanaoijua dini Yao vizuri, kwani nyie mapadre zmani mlikua mnachinja? Mbona sherehe zenu huwaita waislam kuwachinjia?
Turishirikiana wakati ule kabla hamjachakachuliwa. Sasa baadhi yenu siyo wastaarabu, hamtofautishi mtu na mnayama wote, mnachinja tu. Any reasonable man hawezi kula nyama iliyochinjwa kwa kisu ambacho jana yake kilimchinja binadamu.
 
Sasa hakuna cha waislamu wala wakristo, ni viboko kwa kwenda mbele,nidhamu imepotea kabisa. Hawa mashehe na mapadri ndio watakiwa wapewe dozi ya viboko mpaka wakae sawa, wanaleta uchochezi kuneemesha matumbo yao.
 
Nyie yaanzusheni tu,cku zote mtoto akilelewa kwenye huwa anatanani shida impate japo cku,ndugu zangu shida huwa haiombwi.Aman tuliokuwa nayo kuna watu wanaililia hebu tusimjaribu Mungu kwa hilo,mizinga na mabomu yatakapoanza kulia na ww ukiwa wa kwanza kupoteza wapendwa wako ndipo majuto yatakapoanza.mngepata bahati ya kutembelea jimbo la Darfur Sudan nadhan hakuna mtu ambaye angeshabikia upumbavu huu.!!!Kama kuna mtu anajidanganya ana urahia wa nchi 2 thn atakimbia au ataamisha familia anajidanganya maana Airport hata toka mtu!!walianzie alafu wakimbie wamuachie nani ayamalize?!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom