CHADEMA pelekeni M4C Lushoto

CHADEMA pelekeni M4C Lushoto

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,833
Mwezi uliopita nilitembelea maeneo ya Lushoto na kupanda vilima nikafika maeneo ya Shume na Soni,niliwauliza wananchi ni chama gani kina nguvu wakaniambia nisubiri 2015 kuiona CHADEMA ikulu.

Sina uhakika kama M4C imepita eneo hili lakini muamko wa wananchi kuipenda CHADEMA ni mkubwa,hivyo CHADEMA nawaomba muipeleke M4C huko Lushoto kama mlivyofanya maeneo ya Same.

Zitto slaa Mnyika
 
nawatasubiri sana tu hiyo 2015 kuiona chadema ikulu. nawashauri waanze kuhamonize mapema, wasije wakafa na presha bure.
 
mkuu Crashwise hebu pitia hii thread utupe muelekeo wa 2015.kuna watu walinibeza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom