Ndugu zangu wa JF, Amani kwenu
nina andika hapa kwakua nina fahamu kabisa kwamba hapa nimahali palipo sheheni watu wenye nafasi nyingi kubwa katika taifa letu hili, lakini pia watu wenye...
WanaJF,
Moja ya mambo ambayo tunayotarajia katiba mpya ije iyaweke bayana moja wapo ni hoja ya urai wa nchi mbili. Je kama watanzania tunadhani ni muda mwafaka sasa nchi yetu kuruhusu uraia wa...
Kesho tuna uchaguzi katika wilaya ya karatu,ktk mitaa ya mji wa karatu na vijiji ktk wilaya yetu,kama kawaida chadema tumejipanga kuweka watu wetu,ili Magamba yasipate nafasi ya kuweka maslahi...
Katika ziara ya mheshimiwa rais kikwete aliyoifanya ubungo mwezi uliopita alituduwaza.aliahidi kuwa ndani ya miezi tu suala la maji ubungo litakuwa historia na kero za wana ubungo zitakuwa...
Inavyoonyesha wakati baba wa taifa alipokuwa anapambana na kufuta ujinga kwa kuanzisha madarasa ya elimu ya watu wazima wapo waliompinga na miongoni mwao ni MWENYEKITI WA HALMASHAULI YA KILWA NA...
PIA YEYOTE MWENYE MAJIBU ANAWEZA KUJIBU AMA KUSAIDIA WEBSITE NINAYOWEZA KUPATA MAJINA YA WENYEVITI WA VYAMA VIFUATAVYO.
1.Demokrasia Makini-DM
2.Progressive Part of Tanzania-PPT
3.National...
Anazungumzia mambo mbalimbali, ameanza na suala la vurugu na mahusiano mabaya kidini yaliyoibuka hapa nchini. Suala la kuchinja, kuuawa kwa viongozi wa dini na esp kuuawa kwa padri mushi kule zanzibar
Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutanoo wa JK na Chadema!
Wameunguruma katika kipindi cha Dira ya Dunia, kinachoendela sasa!
Walikuwa wakihojiwa na Mtangazaji...
Napenda kujibu hotuba ya Rais Kikwete aliyotoa mwishoni mwa mwezi uliopita aliposema utulivu wa vurugu za kidini Tanzania yaani kutoendelea kuchomwa nyumba za ibada na kutoendelea kuuawa raia kwa...
Sikiliza Audio : wavuti.com - wavuti
au Soma alichosema Mwalimu ktk maandishi:
Nyerere: Believing more parties is democracy, is stupidity; Wafadhili* can go to hell! Tunajenga nchi...
Polisi wetu wanaweza kujifunza katika mada hii kwa jinsi walivyo na mazoea ya kupindisha sheria kwamba watu baki ndio wanaowajibika na walio viongozi hawaguswi na kutumia kila njia kuwalinda hata...
Chanzo; http://http://www.cloudsfm.co/profiles/blogs/chadema-wapokea-msaada-wa-milioni-400
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea msaada wa fedha shilingi milioni 400 kutoka Chama...
Katika gazeti la Mtanzania toleo na. 7269 la Jumatano Machi 27, 2013 kuna habari yenye kichwa chenye maneno ‘SIRI YA KUUWAWA ZITTO YAFICHUKA' na vichwa vidogo ‘yadaiwa ilipangwa...
Mwinyi Sadallah
ALIYEKUWA mgombea wa uwakilishi jimbo la Rahaleo, Unguja kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Omar Mussa Makame (37) atafikishwa mahakamani Aprili 2, mwaka huu kwa tuhuma za...
KISANDU aongoza Matembezi ya Amani akishirikiana na MSABAHA wilayani KAHAMA jana jumapili ya PASAKA kutokea Phantom mpaka Viwanja vya kwa mchihio ambapo ndipo kongamano la Amani na Uzalendo...
Wildlife rangers are being bribed by criminal poaching syndicates to turn a blind eye to illegal killings, conservation chiefs warn
Oliver Milman
guardian.co.uk, Wednesday 27 March 2013 11.28...
Wana Jf, ikumbukwe sakata la Mhe Lwakatare lilianzia Hapa JF Kwa kupostiwa mkanda uliobatizwa Kwa Jina la 'Njama Za Uhalifu' Na Kwa Kudra la Mola Vilevile Movie Yote iliyoanzia JF imehitimishwa...
Wana bodi heri ya pasaka... pamoja ya kwamba leo ni siku ya wajinga duniani... naomba tuachane na siku hiyo tutafakari mambo ya msingi kwa mstakabali wa nchi yetu...
Taifa letu limepitia Marais...
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA) amesema haungi mkono pendekezo la Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mbeya kutaka kuuita Uwanja wa Ndege wa Songwe jina la Rais Jakaya Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.