Wapendwa watanzania, tujitafakari. Tujiulize tumefikia hatua ya ngapi kuelekea mauaji ya Halaiki kwa udini unaojichimbia.Hotuba ya Rais amekemea udini unaojitokeza. Tukatae udini na yote ya...
WATANZANIA HATUTAKI AMANI ITOWEKE; WE are not that CHEAP
Tanzania ni nchi ambayo imependwa sana na wawekezaji wengi kutokana na rasilimali tulizo nazo lkn pia ni kutokana na urahisi wa kuchuma...
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi mh. James Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa katika kusaidia shughuli ya uokoaji wa waathirika wa jengo lililoanguka jijini Dar es Salaam tarehe 29.32013. Hayo...
By Elisha Magolanga
Dar es Salaam
As the death toll occasioned by the collapse last Friday of a high-rise building along Indira Gandhi Street in Dar es Salaam reached 25 by mid-day yesterday...
Hauwezi kuamini ila ndio ukweli ktk Tz ya leo miaka 50 unatoka wilaya 1ndani ya mkoa 1 km 260 kwa siku 2hadi3 tena kwa magari pekee 109 Landrover je hii ni haki?
Ndugu wana JF,nimefikiri sana,ila nimegundua katika nchi yetu tumepotea pahala fulan na hatuwezi kujikwamua bila kuwa na kiongozi/viongozi wenye sifa flani flani muhimu.Katika Tanzania na Afrika...
:attention::bange:AWAMU HII YA NNE WAMEJITAHIDI KWA MENGI NAORODHESHA TU BAADHI
1,JK ameweka mtandao wa barabara kwa nchi nzima
2.kajenga chuo kikuu cha dodoma
3 shule za sekondari ni nyingi mno...
Watu zaidi ya kumi mpaka sasa wapo chini ya kifusi baada ya kufukiwa huko Arusha muda mfupi uliopita. Inasemekana walikuwa wakichimba na kupakia Moram inayotumika na makampuni ya ujenzi. Kijiko...
Hofu ni kwamba ikiendelea kukaa madarakani ndiyo jinsi Watz watakavyozidi kuteketea kwa kufa, na majanga mengine yatokanayo na ufisadi uliokithiri na usioshughulikiwa.
Huku ufisadi ukizidi...
Dar. Ujumbe wa amani na tahadhari ya umakini kwenye utoaji maoni kwenye Katiba ndiyo vilitawala wakati wa misa za Sikukuu ya Pasaka zilizofanyika sehemu mbalimbali nchini jana na juzi...
Kwa hali inayoendelea hivi Tanzania inatia shaka bado miaka mitatu kufika uchaguzi mkuu wa uraisi na wabunge 2015, lakini kila kukicha mapya yanajitokeza kwa watu kutaganza nia ya watu...
Nikiasi gani cha fedha za kigeni kinaingia kama pato la Taifa kwa hii Biashara ya Iran kupeperusha bendera zetu?
No arms found in Tanzania flagged Iranian ship
"We found out that the ship...
HATARI TULIOMO NDANI YAKE
Nchi imeshaingia vitani.Hivi ni vita vigumu sana lakini wananchi watashinda NGUVU YA UMMA!.Ugumu wa vita hivi unapita ule wakugombea Uhuru wa bendera kutoka kwa...
Without a further do,hii haitoki kweli,,
CCM baada ya kuona mawaziri wake Waandamizi wanaotokea kanda hii kama ghasia na mkuchika kukosa ushawish na kukosa kuaminiwa moja kwa moja,wiki iliyopita...
Ndugu zangu watz napenda tujadili chanzo cha tatizo na hatimaye suluhisho la mwedelezo wa kuporomoka kwa majengo nchini,(Hapa nimetumia neno/jina "watanzania" kwa sababu wanaoadhilika kwa kufa na...
..Kwa ninavyoona huu ni mpambano wa kidiplomasia ingawa kwa mtazamo wa kawaida unaweza usiuone. mmarekani kaamua kufanya investment kubwa sana kigamboni, uwekezaji wenye thamani kubwa sana...
Sikiliza hii video kwa makini
Rais wa nchi anapoanza kutoa instructions nani wa kuchunguzwa na kuwajibishwa
Yeye kama rais wa nchi alitakiwa asome ripoti ya Lowassa ambayo iliweka bayana kila...
Ndiyo nadiriki kusema ulaaniwe tena kwa herufi kubwa mno. Umesoma kwa pesa ya Mtanzania na mlalahoi leo unatesa na hujali tena uloko toka. Matunda ya Uhuru wewe na JK mmeyafaidi lakini mnatunyima...
Jina la Mwigulu Nchemba linavuma katika media na mitandao ya kijamii si kwa sifa nzuri bali ni kutokana na kujihusisha na matendo maovu kwa faida ya chama chake.
Kwenye majukwaa ya kiasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.