Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali isiyo ya kawaida OCD wa kahama leo asubuhi alitaka kuzuia matembezi ya Amani akidai eti yanaweza kusababisha vurugu, hata hivyo Mh.Mbatia aliwasiliana na RPC mkoa wa Shinyanga na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Prudence Karugendo TANZANIA DAIMA MANGOSUTHU (Gatsha) Buthelezi, ni mtawala wa kikabila (chifu) wa kabila...
1 Reactions
0 Replies
883 Views
Dear Tanzania, It’s my pleasure to inform you about my coming article on Murder, torture and bad leadership in Tanzania, 2013. Hopefully, my article will be accepted in an international Journal...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa mtz anayetazama na kuona tunavyoendelea kutenda katika nchi yetu, hasa yule asiyebanwa na ugonjwa wa 'ccmism' atakubaliana na mimi kwamba ccm kimeshindwa kufanya kile watz wanataka kifanyike...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maisha na Siasa Siasa ni maisha. Magari tunayotembelea ni siasa, nyumba unayolala ni siasa, shule unayosoma ni siasa, chakula unachokula ni siasa, maji unayooga ni siasa, dawa unazozipata...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Baadhi ya askari polisi wa chini wanaishi maisha magumu kutokana na kupata kipato kidogo huku wakiishi katika nyumba duni hali inayofanya utendaji wao kushuka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku huu ikimnukuu Kova. Hakumtaja jina lakini amemnwambia ajisalimishe mara moja!
0 Reactions
114 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu, mfanyabiashara mmoja mjini Sumbawanga ameuwawa baada ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa risasi na askari polisi, akiwa nyumbani kwake mjini...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Fikra Pevu | March 30th, 2013 Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la Afrika kusini kupitia Mwenyekiti wake Ndugu, Kelvin Nyamori, kimetoa taarifa za kusikitishwa na Habari...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa yoyote mwenye updates atupie hapa, ni kuhusu kile kilichoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari kwamba mbuge na madiwani watajiuzu endepo serikali itatoa tamko la kutenga eneo ya ardhi ya...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
No power on earth can stop an idea whose time has come. The idea is CHANGE - Kama wewe unajua kusoma alama za nyakati utaona na kujua kuwa mabadiliko hayaepukiki. Tuweona nguvu nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Taarifa nilizopata muda sio mrefu kutoka kwa mdau aliyepo huko boda ya Wajanja Tunduma ni kwamba kuna vurugu zinaanza kutokea kati ya Waislamu na Wakristo kutokana na ng'ombe 9 waliochinjwa jana...
2 Reactions
255 Replies
22K Views
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, ameagiza kukamatwa kwa walimu wawili na wengine wanne wa Shule ya Msingi Msoga, kutokana na kukiuka maadili ya utumishi. Kipozi alitoa agizo hilo jana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya kusoma maudhui yaliyomo kwenye taarifa hii ya NHC, nashawishika kusema uongozi wa sasa chini ya DG Mchechu haustahili chembe ya lawama. Kumbe sanaa yote hii ya maghorofa feki ilifanywa na...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Nimeleta post hapa kuna baadhi ya wana JF wamenishambulia. Ama wamesahau, au hawataki kuujua ukweli wa huu mporomoko wa majengo dar. Tungezingatia yaliyoainishwa kwenye Tume ya Lowassa, haya...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakazi wa kijiji cha Omukagando wilayani Kyerwa mkoani Kagera wamemtuhumu kiongozi mmoja wa kijiji hicho (jina linahifadhiwa) kuunda kikundi cha mauaji cha "Hakuna kulala" ambacho mpaka sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
CHADEMA wana kazi kubwa huku Iramba Magharibi. Miezi miwili iliyopita Mwenyekiti wa Wilaya wa CHADEMA alibambikiziwa uchawi nyumbani kwake huko Kijijini Kisana. Wanakijiji wakakusanyika na kutaka...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Ndugu zanguni, Leo tumepatwa na msiba mkubwa baada ya ghorofa refu kuanguka na kufunika watu. Ni dhahir kuwa kuanguka kwa jengo hili kunatokana na makosa ya kiufundi kwani hakuna ripoti inayosema...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Sat, Mar 30th, 2013 Tanzania | North Mara Gold Mine has assured residents in neighbouring villages of continued cooperation and support on social services, being part of the fulfillment of their...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naipenda sana JF kwa kutunza kumbukumbu... 31st August 2012 17:10 - Ndugu zanguni, Kama mjuavyo vuguvugu la mageuzi limepamba moto nyumbani na kila kukicha chama chetu kinazidi kujizolea...
49 Reactions
197 Replies
15K Views
Back
Top Bottom