Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utaifakwanza, Apr 1, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  Anazungumzia mambo mbalimbali, ameanza na suala la vurugu na mahusiano mabaya kidini yaliyoibuka hapa nchini. Suala la kuchinja, kuuawa kwa viongozi wa dini na esp kuuawa kwa padri mushi kule zanzibar
   
 2. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  Anasema anasikitishwa sana na matukio ya kuuana na kuharibu mali za wananchi bila sababu za msingi ndio mana serikali imeamua kuhusisha vyombo vya kimataifa kwenye uchunguzi
   
 3. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  Anasema kuna watu wanapandikiza chuki kwa kuwafanya waislam na wakristo wagombane
   
 4. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2013
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,818
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  analaumu nani wakati ni yeye ndio muasisi wa udini Tanzania?
   
 5. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  Wapo wanaochochea chuki kwa kusambaza meseji za vitisho kwenye simu za mikononi kwamba kuna watu watavamia makanisa na kuna wengine wanatumiana meseji kuwa wakristo wanapanga njama dhidi ya waislam. Huu wote ni uzushi wa hali ya juu
   
 6. sajo

  sajo JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 354
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Anajaribu kubalance ionekane wakirsto nao wana vurugu kwani wanawachukiza waislamu kwa kukojolea vitabu vyao vya dini(hoja ya kipuuzi).
   
 7. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku comment hivi
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2013
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo chuki ndiyo kaiona leo inapandikizwa?
   
 9. m

  manucho JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2013
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nilifikiri alikuwa hayaoni wala kusikia haya yahusuyo dini kumbe alikuwa anayajua haswa.

  Alivyokuwa ananyamaza muda wote mpal uharibu wa mali, vurugu, watu kuuawa alikuwa anamaanisha nini? Au alikuwa anataka kuona mtu akiuwawa inakuwaje?
  Anaacha kushughulikia serious matter anabaki kufanya Propaganda za kina Mwigulu + kuuza nchi kwa watu wa nje(Asia, Ulaya, Amerika).
  Nchi imemshinda akae pembeni.
   
 10. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa dini zote wakutane na kuizungumzia hali hii
   
 11. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa dini wahubiri mambo mema yanayowaunganisha waumini wao badala ya kuhubiri chuki
   
 12. mbaraka.m

  mbaraka.m JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahaha yale yale.watu bana
   
 13. m

  majebere JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,440
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Hebu tupe ushahidi.
   
 14. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,863
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Nikombali na tv ivyo ningependa coverage yako, lakini sikuamini kutokakana na michango yako hapa jf. You are not neutral.
   
 15. a

  adolay JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2013
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 6,927
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  hana tofauti na muuza magazeti, anaongea badala ya

  -kuamua
  -kukemea
  -kupiga marufuku aina ya uchochezi
  -hana hatua zozote kuhusu uchochezi, mauwaji na kuchinja

  anapiga story kama muuza kahawa
   
 16. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  Watanzania tudumishe umoja na ushirikiano bila kujali itikadi ya mtu. Serikali itaendelea kulinda maisha na mali za raia wake wote
   
 17. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2013
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,059
  Likes Received: 5,947
  Trophy Points: 280
  Jk muhuni mbona rais kila hotuba ni malalamiko tuuu hana solution? Mbona hasemi nani anastahili kuchinja? Analinda katiba ipi???
   
 18. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,044
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  uhuni wake uko wapi? Acha kutumika kama ile mipira yetu ile ya kikubwa...kuwa na mawazo ya kiutu uzima
   
 19. P

  PACHOTO JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2013
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 1,131
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280

  Wakati muafaka, hongera rais hii hotuba ya leo ni bomba saanaaaaaa umewapa ukweli pande zote mbili hasa upande flani ambao unalisha waumini wao chuki dhidi yako, serikali na dini yako, umesema ukweli juu ya mauji ya buserere maana taarifa ilikuwa inatolewa za upande mmmoja tu, vrg za mbagala, znz nk BIG UP JK
   
 20. e

  evelomeredaki Member

  #20
  Apr 1, 2013
  Joined: Mar 29, 2013
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo muda walioutoa huu sio mzuri.watu watajua anawadanganya tu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...