Kesi ya Lwakatare .. KWEISHA..!!

Kesi ya Lwakatare .. KWEISHA..!!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
914
Wana Jf, ikumbukwe sakata la Mhe Lwakatare lilianzia Hapa JF Kwa kupostiwa mkanda uliobatizwa Kwa Jina la 'Njama Za Uhalifu' Na Kwa Kudra la Mola Vilevile Movie Yote iliyoanzia JF imehitimishwa rasmi hapa hapa JF.. Ni vema vyombo vya Usalama Na Ulinzi vilivyorukia hapa Na Kumkamata Rwakatare, viendelee kurukia humu humu JF Na kukamilisha kiulaini Kazi Yao.. Na sasa Muvi liekezwe Part B, Kwa Maana Kwenye Part A ya Muvi imethibitika Kwamba

1: Inshu yoote ni Mizengwe ya Kisiasa tu....

2: mkanda urirekodiwa katika mazungumzo ya Kifamilia, Ludovick aka Yuda iskariote Alimsaliti kaka yake, ndugu yake, hom-man, lwakatare Kwa vipande vichache sana vya shekeli vilivyotumwa Kwa m-pesa Tsh 50,000.. (elfu hamsini Tu). Kutoka Kwa Mwigulu mchemba ambaye amekiri pia.

3: msaliti huyo alilishwa maneno Na mazungumzo yalifanyika nyumbani (Kwa Lwakatare Na Ludovick Kwa Sababu Ludo alikuwa kijana Wa hapo home Hata Ndoa ya Ludo lwakatare ndiye aliye I-injinia)

4.Ludo akamkabidhi Kazi yote Mwigulu, mwigulu akawapa usalama, then Usalama wakaipost JF..

Kwa hiyo Kesi nzima ni ya Kijinga, hao wote waachiwe, Tunataka Part B ianze kumsaka mtesi wa Kibanda Na Mwigulu atasaidia sana serikali Kwa hili ..
 
Jambo lililo mahakamani haliwezi kuishia JF. Vuta subura.

Kumbuka Dr. Slaa alisema hadharani kuwa ule mkanda umetengenezwa na watu na ni fake kwa kuwa Lwax hajawahi kupigwa hiyo picha ya video. Leo taarifa ni tofauti!!!

By the way, umeona majibu ya Lwax na Ludo wakati wanahojiwa na polisi?
 
Mwigulu ni zaidi ya shetani! Huwezi kumsingizia mtu kitu kikubwa hivyo kwa malengo ya kisiasa. Je kama ungekuwa kiongozi wa nchi si ungekuwa unaua wote wanaokupinga? Jaribu kumuwazia Lwakatare kama mwanadamu, jaribu kuwawazia wazazi wake wanavyojisikia mtoto wao kuwa kwenye mateso hayo.

Jaribu kumfikiria mke na watoto wake. Hebu jiweke wewe nafasi ya Lwakatare na ujipime. Mwigulu, wewe ni Mkristo kweli? Huwa unaenda kanisani? Huwa unakwenda kufanya nini sasa! Kuna andiko linalosema, kabla hujatoa sadaka yako, nenda kwanza kapatane na nduguyo, unalijua? "Ole wao wale watakao watuhumu na kuwahukumu...."

Je Unajua kwamba imeandikwa kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti? Tubu dhambi zako na kayaondoe mashtaka anayoshtakiwa Lwakatare ambayo unajua si ya haki kwa kueleza ukweli, na Mungu atakusamehe.
 
Vipi kuhusu ile ya Sheikh Ilunga, nayo itahitimishwa JF?
Ya Ilunga ilianzia msikitini haikuanzia hapa jf,ya Lwaka ilianzia jf ndiyo maana mleta mada akasema itaishia hapa jf,nadhani kesi hiyo itaisha muda siyo mrefu.
 
Jambo lililo mahakamani
haliwezi kuishia JF. Vuta subura.

Kumbuka Dr. Slaa alisema hadharani kuwa ule mkanda umetengenezwa na watu
na ni fake kwa kuwa Lwax hajawahi kupigwa hiyo picha ya video. Leo
taarifa ni tofauti!!!

By the way, umeona majibu ya Lwax na Ludo wakati wanahojiwa na
polisi?
Naona wewe malipo yako yanapatikana kwa kuytaja jina la Dk Slaa kila post unayofanya. Nenda Lumumba kachukue
 
Naona Kama walikuwa na uwezo wa kumkamata na kumpiga huyo Msacky kwanini wamshidwe Nchemba. Huyu Mwigulu anatafuta umaarufu kwa njia hatarishi. Na hali ilivyo sasa hata Mwigulu akiumwa na nyoka huko kwao lazima watakuwa wametumwa na CDM
 
Yaani hapa mimi nashindwa kuelewa vijana wanaelekea wapi!!!!

Yaani kama mtu mwenye japo ka-elimu (SEMINARY, DUCE) anakuwa corrupted 50 thousands!! Then sisi tulioko Mabwempande, tuliozungusha ZOMBI itakuwaje!!??

Namimi coming 2015 nakamata zangu buku mbili, jatia zangu nanga kwenye "kalinya" kura mtajua wenyewe!!! Ilitakiwa Ludo apigwe mawe na vijana hadi AFE kwa kutudhalilisha!!!!

Very pathetic vijana!!
 
huna akili timamu mbona ukakubali kuwa yalikuwa ni mazungumzo ya rwakatale na ludo.then ita ni mazungumzo ya kifamilia huku mkanda unaonesha mipango ya mauaji.utakuwa umesaidia polic kwa maelezo yako
 
Naona Kama walikuwa na uwezo wa kumkamata na kumpiga huyo Msacky kwanini wamshidwe Nchemba. Huyu Mwigulu anatafuta umaarufu kwa njia hatarishi. Na hali ilivyo sasa hata Mwigulu akiumwa na nyoka huko kwao lazima watakuwa wametumwa na CDM

ndio mana tunasema nyie ni magaidi, yaani unapendekeza mtu atekwe na kuteswa?
 
Wana Jf, ikumbukwe sakata la Mhe Lwakatare lilianzia Hapa JF Kwa kupostiwa mkanda uliobatizwa Kwa Jina la 'Njama Za Uhalifu' Na Kwa Kudra la Mola Vilevile Movie Yote iliyoanzia JF imehitimishwa rasmi hapa hapa JF.. Ni vema vyombo vya Usalama Na Ulinzi vilivyorukia hapa JF Na Kumkamata Rwakatare, viendelee kurukia humu humu JF Na kukamilisha kiulaini Kazi Yao.. Na sasa Muvi liekezwe Part B, Kwa Maana Kwenye Part A ya Muvi imethibitika Kwamba

1: Inshu yoote ni Mizengwe ya Kisiasa..
2: mkanda urirekodiwa katika mazungumzo ya Kifamilia, Ludovick aka Yuda iskariote Alimsaliti kaka yake, ndugu yake, hom-man, lwakatare Kwa vipande vichache sana vya sheleli vilivyotumwa Kwa m-pesa Tsh 50,000.. (elfu hamsini Tu). Kutoka Kwa Mwigulu mchemba ambaye amekiri pia.
3: msaliti huyo alilishwa maneno Na mazungumzo yalifanyika nyumbani (Kwa Lwakatare Na Ludovick Kwa Sababu Ludo alikuwa kijana Wa hapo home Hata Ndoa ya Ludo lwakatare ndiye aliye I-injinia)
4.Ludo akamkabidhi Kazi yote Mwigulu, mwigulu akawapa usalama, then Usalama wakaipost JF..

Kwa hiyo Kesi nzima ni ya Kijinga, hao wote waachiwe, Tunataka Part B ianze kumsaka mtesi wa Kibanda Na Mwigulu atasaidia sana serikali Kwa hili ..

wewe ni gaidi, ngoja dola ikufuate hapo kwenye keybody ukaunganishwe na mgaidi wenzako kwenye kesi
 
Ukiona mateso yamezid ujue Ushindi umekaribia....! Chadema mwendo mdundo wakat wnywe {ccm} wanaanda propaganda za kuimaliza CHADEMA CHAMA MAKIN, sisi {CDM} Tunawaanda wananch kuupokea uhuru wa kwel mwaka 2015 uhuru utakao leta haki na usawa kwenye taifa letu, uhuru utakao ondoa umaskin, maradh na ujinga ambao serikal ya ccm imeshndwa kufanya hvyo kwa takriban miaka 51.
 
Wana JF heshima kwenu !!

Ukitazama na kufuatilia kwa makini mchakato mzima wa hii filamu ya kihindi iliyo asisiwa na Mwigulu, ni dhahiri issue hii imewakalia vibaya kwani matokeo yake ni tofauti na matarajio jao; Kinacho onekana hapa kuna hatari ya mawakili wa serikali kuingia mitini na hivyo kuiwezesha mahakama kuipotezea kesi kiaina, Msukumo wa tukio hilo linatokana na safu ya mawakili wanao mtetea Kamanda Lwakatare; Tundu Lissu, Prof. Safari, Mabere Marando, na Nyaronyo Kichere. Wadau hiyo timu ni noma inatwanga kote kote mithili ya M4C.
 
Back
Top Bottom