Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajamvi ni muhimu kutazama Tanzania yetu miaka ming ijayo na kutoa maoni ushauri juu ya changamoto zitakazokabili Taifa. Kwani huwezi kuiandaa kesho yako kesho bali unaweza kuiandaa leo itakavyo...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Si mara moja wala mbili.Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa akigusia 'udini' katika hotuba zake za mwisho wa mwezi na hata kwenye hafla mbalimbali. Hurudia sana suala hilo. Kila mara,kila mahali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi karibuni CCM imekuwa ikifanya kila aina ya mipango na njama ili kuhakikisha kuwa CHADEMA haifiki mwaka 2015 ikiwa kama ilivyo sasa na uongozi imara uliopo, inataka kuhakikisha kuwa chama hiki...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwako na malalamiko mengi ndani ya chama Cha CHADEMA kuwa viongozi wake wamekuwa miungu watu na wmamekifanya chama kuwa ni chama cha kifamilia. Napenda nitoe mifano kadhaa mwisho...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona swala la kuchinja mnyama linaachiwa eti viongozi wa dini waamue. Huwezi kuwaweka chini viongozi wa dini wenye imani tofauti eti waamue maswala ya kiimani. Kila mmoja kuwa na dini tofauti ni...
11 Reactions
98 Replies
8K Views
  • Closed
Tuhuma mpya zinamkabili, mbunge wa jimbo la Arusha mjini, kwa kuhamasisha vijana , kumvamia na kumdhuru aliekua mwenyekiti wa CHADEMA, Terat, bw. Gerald, ambapo vijana hao walimvamia aliekua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Makamu wa Kenyata Kenya na familia yake akiwa kwenye picha ya pamoja na Kikwete Mbaya zaidi familia zao ni kubwa na kuwa mzigo kwa walipa kodi Mfumo wa serikali nyingi za kiafrika kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tangu mfumo wa vyama vingi uingie hapa nchini, kumewahi kuwa na kesi nyingi zinazohusu wanasiasa kutokana na kazi zao za kisiasa.Tumekuwa tukisikia na kushuhudia kesi mbalimbali za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa kuangalia katiba inayoelekea kurehemika,utaona tulikuwa katika Mfumo wa kiuchumi na kisiasa wa Ujamaa,kwa kuangalia hali ya kidunia ya sasa utakugundua kuwa tunanukia Ubepari,lakini...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
kwa hali inavyoonesha mchakato wa katiba mpya huenda usifanikiwe kutokana na baadhi ya watu kutuhumiwa kuuingilia kati kinyume na utaratibu uliowekwa na tume ya mabadiliko ya katiba
1 Reactions
3 Replies
935 Views
Hakuna ubishi kwamba kwa sasa chadema angalau ndio kinaonyesha upinzani wa kweli dhidi ya chama kilichopewa dhamana na wananchi kuisimamia serikali halali iliyopo madarakani kwa mujibu wa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tulijikwaa,ndio tulijikwaa kwa mara nne mfululizo,sijui ni kwa makusudi ama bahati mbaya,ila "uchafu wa Mrisho usimfanye Ben aonekane msafi" Tukubali,tulijikwaa tangu 1995,zaidi ya mara nne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Video zaidi zakabidhiwa polisi, Mwigulu Nchemba afunguka, asema kulikuwa na vijana sita waliandaliwa kumteka, mmoja akampelekea taarifa ...Amzungumzia Ludovick! Tukio la kukamatwa na kufikishwa...
2 Reactions
364 Replies
33K Views
Habari wana JF Nachukua fursa hii kutoa dukuduku langu kwani tumeshuhudia sakata la video ya Lwakatare lilivyochukua kasi na tupewa uzito wa juu na vyombo vyote vya usalama. Naomba tulinganishe...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
CHINA IS MORALLY BANKRUPT!!ALL THEY NEED IS OIL AND MINERALS To my fellow Africans and Tanzanians who praise and give China credit for building a coalition with African...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Si mbaya Tukajikumbusha SLOGAN ZILIZOSHINDWA.. 1: CHADEMA NI CHAMA CHA KIKABILA:- Slogan hii mliipamba sana Na kuitumia, hasahasa from 1995, huku slogan ya CUF Chama cha Udini mkiitumia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, uchaguzi wa wajumbe wawakilishi wa mabaraza ya Katiba Kata ya Kasulu mjini mkoani Kigoma ULIOKUWA UMEPANGWA KUFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 30.03.2013 katika vitongoji saba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
KATIBU Kata wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Nyandoto Tarafa ya Inano wilayani Tarime, Julias Marengo amefariki dunia baada ya kuanguka na kuzimia wakati wakinywa pombe.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Swala la wachina linaleta utata kila sehemu ndani ya Tanzania. Mbaya zaidi ni mikataba wanayoingia na serikali haijawahi kuwekwa wazi. Bunge la JMT. Tunawaomba mlivalie njuga hili swala, ili...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
CCM: Kutoka Kutawala hadi Kujitetea Kutokana na udhaifu wa kiti cha Mwenyekiti ambacho ni kiti cha dola pia, CCM imebadilika kutoka kuwa chama kinachotawala na kuwa chama kinachojitetea. Hotuba za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom