Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni kauli ya mkurugenzi wa NHC kupitia ITV akidai kuwa huwa hawakaguagi miradi yao na kwamba sasa wanaunda kitengo maalumu cha ukaguzi wa miradi hiyo.Nadhani kama serikali ni makini inapaswa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba michango yenu juu ya haya mambo yanayoonesha bayana kuwa serikali yetu iko mifukoni mwa watu 1. Januari mwaka huu TCRA walitangaza kushuka kwa gharama za kupiga simu kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA WAZIRI KAGASHEKI KUKATAA KUONGEA NA VIONGOZI WA WANANCHI NGORONGORO. JUWASAWINGO ni umoja wa watu wa Wilaya ya Ngorongoro, waliojitoa kutetea maslahi ya jamii ya...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Leo ofisi ya kata ya Levolosi imegeuka uwanja wa mapambano kati ya wafuasi wa CHADEMA na wale wa CCM,hali iliyowafanya CCM kukimbia,chanzo cha mtifuano huo ni uchaguzi wa wajumbe wa Baraza la...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, kwanza poleni kwa msiba mkumbwa!! Mwenye ile Riport ya Tume ya Lowassa kuhusu majengo atuletee tuisome ili tujue kwamba ni nini kiliandikwa humo ndani? je kwa nini serikali yetu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau mlioko Tunduma tunaomba mrejesho wa kikao kilichoongozwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya kuhusu maafikiano ya kuchinja.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, amesema halmashauri hiyo haihusiki na tukio la kuanguka kwa jengo la ghorofa 16 lilitokea wiki iliyopita na kuua zaidi ya watu 30. Akizungumza kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vikao vya bunge la bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 vinatarajiwa kuanza baadae mwezi huu.Hivyo basi wewe kama mwananchi unataka mbunge wako akahojo nini au apeleke hoja gani bungeni? Kama una...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana jf nawaomba sana tuwaelimishe wananchi umuhimu wa kuwachagua wajumbe wenye kuweza kuichambua rasimu ya katiba kwa maslahi ya vizazi vijavyo siyo ilimradi kuchagua mtu eti kwa kuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu washaanza kudiscuss tena majirani....ila kiasi fulani wamejijibu wenyewe japokuwa sijui kama ni kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au la. Kwani Nairobi ina nini cha muno hadi wadiscuss...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI MHESHIMIWA MUSTAFA MKULO Picha za chini ni city center yani ndo kwa dar,ni kuanzia NBC hadi Akiba,Huyo jamaa mbona jimbo lake halina maendeleo,inflation rate ipo...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mitaa ya Arusha Technical umepita msafara wa Vx za kutosha. Tujuzane mtoto wa mkulima anakimbilia wapi?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo eneo la tukio ktk kata ya Moshono, kitongoji cha Sekei Tanganyika Perkas jijini Arusha. Greda la jiji linafukua maiti na katika harakati hizo mmoja kishapatikana. Watu hao walikuwa wakipakia...
2 Reactions
145 Replies
26K Views
Ama kweli unga wa ndele umeingia hadi damuni mwa viongozi wa serikali ya CCM. Leo hii katika kipindi cha "Malumbano ya Hoja" - ITV mh.Marmo ameshindwa kueleweka kwangu, sijui kwa wengine. Mh.huyu...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV nilisikia kwamba Mh. Rais amefurahuishwa na kazi ya uokoaji ilivyotekelezwa na akawaalika kupata chakula cha pamoja na woote...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waziri mkuu ndio mtendaji mkuu katika serikali lakini pia ni mshauri mkuu wa Raisi.Kwa maneno mengine, tunaweza kusema ufanisi wa Raisi yoyote yule pia unategemea na uchapa kazi wa waziri mkuu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
AKIFANYA majumuisho katika hotuba ya matumizi ya ofisi yake bungeni kwa mwaka 2008/09, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alilieleza Bunge jinsi tume ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida wanawake kwa miaka mingi sasa wamekuwa wakilazimika kutoa rushwa ya ngono ilikupata haki yao au upendeleo fulani na wengine wakiambukizwa ukimwi na magonjwa ya zinaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KATIBU Kata wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Nyandoto Tarafa ya Inano wilayani Tarime, Julias Marengo amefariki dunia baada ya kuanguka na kuzimia wakati wakinywa pombe za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KITAIFA Na Daniel Mjema, Mwananchi Posted Marchi23 2013 saa 24:9 AM KWA UFUPI Moshi. Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), Leslie Omari, amehukumiwa kifungo cha miaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom