Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Barua ya wazi kwa viongozi wa chama cha demokrasia ,( chadema ) ,wanaharakati wote na wapenda mabadiliko. Ndugu zangu napenda kutoa somo ,au hoja ya kujenge mwamko na ujasiri kwa wananchi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Nampongeza sana mbunge wa Viti maalumu ccm mkoa wa mwanza Mama Maria Hewa kwa jitihada zake za kufuatilia Daraja la watu kupita juu (fly over )Mabatini Mwanza .Bungeni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 289 10 Apr 2013 KWA mara ya kwanza katika historia ya kisiasa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kada wa chama hicho anatarajiwa kuteuliwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF,leo nimefurahishwa sana na hotuba ya Mh.Rais wa Uganda Museveni,aliongea maneno machache sana lakini mazito,kilichonivutia sana ni kwamba amesema anaomba natural resources zilizogunduliwa...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Haya ninayotoa ni mawazo / hoja zangu zangu binafsi kuhusu spika wa bunge na uongozaji wa bunge. Simaanishi kwa mama makinda bali ni uongozi wa jumla na uongozaji na uteuzi wa spika wa bunge. Hoja...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya CCM kupitisha kanuni ya wabunge kuchangia kutokana na wingi wa wabunge ktk bunge.. Wabunge wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakigawana dakika 10 kwa wabunge wawili yani dakika tano tano...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
THURSDAY, APRIL 11, 2013 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALIIUFAFANUZI KUHUSU SERIKALI KUWAPATIA WANANCHI SEHEMUKUBWA YA ENEO LA PORI TENGEFU LA LOLIONDO...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kwenye mjadala unaoendelea hapo UDSM Nkrumah Hall kuhusu Kigoda cha Mwalimu na kuambukizana virusi vya Azimio la Arusha. Huyu mama anasema ili virusi viingie vyema inabidi tuvue kondom... Labda...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
  • Closed
IJUMAA, APRILI 12, 2013 06:22 NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM SHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum, amezungumzia mzozo wa kuchinja na kusema kuwa muumini wa dini yoyote...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mhe. ninajiuliza hivi ikitokea leo uwaziri mkuu ndo basi ama kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani nawe au kwa kulazimishwa kujiuzulu na aliyekuteua. Unataka Watanzania wakukumbuke kwa lipi...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 289 10 Apr 2013 Sasa yapenya serikali za mitaa .Naibu Waziri ajitosa waziwazi Naibu Waziri ajitosa waziwazi VITA ya makundi hasimu ya kisiasa ndani ya Chama Cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Je ndoa ya Jamshid na Al-Qaida Itamfikisha anakotaka kwenda? Mauaji ya Mombasa na pwani ya Kenya, yaliyotokea hivi karibuni, na yale yale ya Zanzibar siku chache kabla yanaonyesha wazi kuwa kuna...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbona Bunge muda mwingi viti vya wah.huwa viko wazi halafu hoja nzito nzito zinajadiliwa na hatimaye kupitishwa kwa kuchangiwa nabaadhi ya waheshimiwa? Mh.Spika dhibiti MAHUDHURIO YA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SINEMA YA I: moja kati ya vitu vya ajabu ambavyo wengi vilitushangaza wiki iliyopita ni kitenda cha raisi na makamu wake kutembelea mahali ''ajali'' ya kuanguka kwa ghorofa kwa nyakati tofauti...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
nchi yenye nia ya dhati utaipima si kwa mipango ya ke ya mabilioni ya fedha bali hata kwa nama wanavyoenenda kama nchi na mitazamo yao kama taifa. mara nyingi sana mzee wetu Jenerali Ulimwengu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amewasilisha ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, mwaka 2012, ikionyesha hali mbaya kwa Mfuko wa Pensheni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha Mwanza na nasoma shahada ya ualimu mwaka wa pili... Leo tarehe 5/04/2013 ndio tarehe tulitakiwa kufanya uchaguzi kwa maana ya wabunge...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Mkuu wa Jeshi la Magereza amevuja tenda Bodi bila kufuata utaratibu na kuagiza manunuzi ya Shirika la Magereza yaendelee bila kufuata utaratibu ambapo amemwachia Chief Accountant (Bi Zainabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi mjini Bukoba wanamhoji Evodius Justinian kwa tuhuma za kushambulia na kudhuru mwili wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga.RPC Kagera(Philip Kalangi)amesema mtuhumiwa atasafirishwa...
0 Reactions
214 Replies
19K Views
Namkumbuka Tundu Lissu, alisema kuwa kila bunge la bajeti linapoanza, inakuwa ni "ANOTHER SILLY SEASON." Hii ni kweli, hasa pale ambapo badala ya kujadili hoja na bajeti iliyowasilishwa, wabunge...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom