Mama Mongella amepotoka na anapotosha

Mama Mongella amepotoka na anapotosha

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
Kwenye mjadala unaoendelea hapo UDSM Nkrumah Hall kuhusu Kigoda cha Mwalimu na kuambukizana virusi vya Azimio la Arusha. Huyu mama anasema ili virusi viingie vyema inabidi tuvue kondom... Labda huyu mama hajui nini maana ya kirusi/virusi. Nimesikitika, na ninadhani hata wengine wamesikitika kwa kauli hii ya huyu mama ambaye anaonekana kuzeeka vibaya. Kuna virusi vya aina nyingi ukiachilia vile vya ukimwi. hata vya ukimwi haviambukizwi kwa ngono tu! Sasa huyu mama anadiriki kusema kuwa tuvue kondom. Huyu si ndie yule mama wa Beijing ambaye kwenye mkutano wao walibeba kondom?

Huyu mama naomba jamii (hasa media) imkomalie ili afute kauli yake maana virusi vya mafua havikingwi kwa kondom...

List of viruses

Hoja ya Jaji Mutunga ni hii; African Independent Development Syndrome(AIDS). Neno 'syndrome' kwa maana halisi ya muktadha huu ni thepattern of symptoms that characterize or indicate a particular social condition.
Haya maneno hata ukiyaleta kwenye kiswahili wala hupati neno 'ukimwi'. Kwa tafsiri yangu unapata 'mfumo endelevu wa kujitegemea wa Afrika. Anazungumzia virusi vya Azimio la Arusha ambapo anasema anavyo. Virusi ambavyo ni vya manufaa kwenye mfumo husika, na ni hivi ambavyo jaji Mutunga anataka vienezwe. Haijulikani vienezwe kwa njia gani ila vienezwe kwa kila mmoja wetu. Jaji hakukurupuka katika kuandaa mada yake kama ambavyo wengine walikurupuka kutoa hoja zao kuunga mkono alichosema.

Hebu tucheki finyazo (abbreviation) hii; UWT. Moja tunapata Umoja wa Wanawake Tanzania. Pili tunapata Umoja wa Walimu Tanzania. Kadhalika zipo maana nyingine nyingi za finyazo hiyo. Hivi unaweza kuchukua maana ya maneno ya awali ukayafanyia 'context' kwenye maana ya maneno yanayofuatia? Same applies to AIDS ya Jaji Mutunga na AIDS ya Mama Mongella. AIDS ya Jaji sio ya UKIMWI!

AIDS ya Mongella inapunguza kinga mwilini na AIDS ya Jaji inaimarisha mfumo fulani. Sasa tunawezaje kusema kuwa hoja ya Mongella ilikuwa ni kwenye context ya alichosema Jaji? Jaji must be disappointed for this. Tuvue kondomu ili virusi vituingie vizuri. Not acceptable.
cc: Mchambuzi, Kitila Mkumbo, Ta Muganyizi, Lyagwa na wengine.
 
Mkuu nimemfuatilia huyu mama live kupitia redio one kwa kweli hata mimi pia aliniacha hoi. Ni uchafu mtupu...
 
Kwenye mjadala unaoendelea hapo UDSM Nkrumah Hall kuhusu Kigoda cha Mwalimu na kuambukizana virusi vya Azimio la Arusha. Huyu mama anasema ili virusi viingie vyema inabidi tuvue kondom... Labda huyu mama hajui nini maana ya kirusi/virusi. Nimesikitika, na ninadhani hata wengine wamesikitika kwa kauli hii ya huyu mama ambaye anaonekana kuzeeka vibaya. Kuna virusi vya aina nyingi ukiachilia vile vya ukimwi. hata vya ukimwi haviambukizwi kwa ngono tu! Sasa huyu mama anadiriki kusema kuwa tuvue kondom. Huyu si ndie yule mama wa Beijing ambaye kwenye mkutano wao walibeba kondom?

Huyu mama naomba jamii (hasa media) imkomalie ili afute kauli yake maana virusi vya mafua havikingwi kwa kondom...

Huenda alidhani kusema hivyo atajulikana kama mwanafalsafa
 
Tafadhali usijadili hoja ya mama mongella out of context,nipo hapa nafuatilia mjadala wa kigoda cha mwalimu. Mama mongella alichofanya ni kutumia neno virusi kama ni kitu kinachohitajika kusambaa in the context of azimio la arusha kwa maana kwamba kirusi cha azimio la arusha is DESIRABLE;if you miss this point, aidha utapotosha au utapotoka; So alichofanya Mama Mongela ni kutumia neno 'virusi' in a positive way ili kufikisha ujumbe juu ya umuhimu wa kusambaza in a replicative way mazuri na yaliyo rellevant ndani ya azimio la arusha; Suala la condom - hawa amewajadili kama watanzania wanaolitazama azimio in a NEGATIVE way - ambao hawalitaki azimio la arusha katika jamii, hawa amewa categorize kama wanaovaa condom kuzuia virusi vya azimio la arusha kusambaa;

Ni suala tu la kuelewa context na pia kuangalia kirusi na suala la positive kuwa ni desirable, ingawa hakuwa na haja ya kutumia lugha husika kufikisha ujumbe husika;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hatujakuelewa toa taarifa iliyokamilika wana JF waelewe unachotaka kusema vinginenevyo huna tofauti na huyo mama Mongella katika kutoa hoja
 
Sasa akomaliwe kivipi maana yeye labda alisinzia... Ishu ni kumuomba asikurupukeee tenaaa
 
Kwenye mjadala unaoendelea hapo UDSM Nkrumah Hall kuhusu Kigoda cha Mwalimu na kuambukizana virusi vya Azimio la Arusha. Huyu mama anasema ili virusi viingie vyema inabidi tuvue kondom... Labda huyu mama hajui nini maana ya kirusi/virusi. Nimesikitika, na ninadhani hata wengine wamesikitika kwa kauli hii ya huyu mama ambaye anaonekana kuzeeka vibaya. Kuna virusi vya aina nyingi ukiachilia vile vya ukimwi. hata vya ukimwi haviambukizwi kwa ngono tu! Sasa huyu mama anadiriki kusema kuwa tuvue kondom. Huyu si ndie yule mama wa Beijing ambaye kwenye mkutano wao walibeba kondom?

Huyu mama naomba jamii (hasa media) imkomalie ili afute kauli yake maana virusi vya mafua havikingwi kwa kondom...

Kiongozi sijawahi kukusea heshima hata siku moja ila leo bado siamini kama ni wew au wamekwibia ID. Ungefuatilia tangu mwanzo ungejua alikuwa na context ipi. Jaji Mkuu wa Kenya kasema kwa vile alisomea UDSM aliambukizwa virusi vya Azimio la Arusha ambalo hadi sasa bado vinamsumbua. Baadhi ya wachangiaji wakawalaumu vijana kuwa hawasomi vizuri maadili na miiko ya uongozi inayozungumziwa katika azimio. Hivyo mama Mongela akawa anasema vijana wasilaumiwe..........maana wao kama walimu badala ya kueneza virusi vya azimio, wakavaa kondomu ili virusi hivyo visiwapate( kama umesoma fasihi) kilichotumika ni figurative language. Akimaanisha kuwa wakaibania hiyo elimu ya Azimio na hivyo kama walimu wetu hawakutufundisha vya kutosha.

Sasa povu linalokutoka GT kama wewe leo nimesikitika.
 
Tafadhali usijadili hoja ya mama mongella out of context,nipo hapa nafuatilia mjadala wa kigoda cha mwalimu. Mama mongella alichofanya ni kutumia neno virusi kama ni kitu kinachohitajika kusambaa in the context of azimio la arusha kwa maana kwamba kirusi cha azimio la arusha is DESIRABLE;if you miss this point, aidha utapotosha au utapotoka; So alichofanya Mama Mongela ni kutumia neno 'virusi' in a positive way ili kufikisha ujumbe juu ya umuhimu wa kusambaza in a replicative way mazuri na yaliyo rellevant ndani ya azimio la arusha; Suala la condom - hawa amewajadili kama watanzania wanaolitazama azimio in a NEGATIVE way - ambao hawalitaki azimio la arusha katika jamii, hawa amewa categorize kama wanaovaa condom kuzuia virusi vya azimio la arusha kusambaa;

Ni suala tu la kuelewa context na pia kuangalia kirusi na suala la positive kuwa ni desirable, ingawa hakuwa na haja ya kutumia lugha husika kufikisha ujumbe husika;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Yawezekana hata wewe hujaelewa alichosema, mkuu. Virusi vipo vya aina ngapi? Nimemwelewa vizuri sana Dr Mutunga ila huyo mama hakujua tueneze vipi virusi vya Azimio.
 
Mbona hajakosea mkuu? Ila nimeona matumizi ya kirusi kwenye kitu kizuri watapotosha hata vita ya kirusi cha HIV kwa watoto wanaokuja na hata kwa wabaya kutumia mwanya huu kupunguza vita ya HIV. Ningeshauri watafute neno lingine hata waiite Oxygen
 
Kiongozi sijawahi kukusea heshima hata siku moja ila leo bado siamini kama ni wew au wamekwibia ID. Ungefuatilia tangu mwanzo ungejua alikuwa na context ipi. Jaji Mkuu wa Kenya kasema kwa vile alisomea UDSM aliambukizwa virusi vya Azimio la Arusha ambalo hadi sasa bado vinamsumbua. Baadhi ya wachangiaji wakawalaumu vijana kuwa hawasomi vizuri maadili na miiko ya uongozi inayozungumziwa katika azimio. Hivyo mama Mongela akawa anasema vijana wasilaumiwe..........maana wao kama walimu badala ya kueneza virusi vya azimio, wakavaa kondomu ili virusi hivyo visiwapate( kama umesoma fasihi) kilichotumika ni figurative language. Akimaanisha kuwa wakaibania hiyo elimu ya Azimio na hivyo kama walimu wetu hawakutufundisha vya kutosha.

Sasa povu linalokutoka GT kama wewe leo nimesikitika.
Huyu mama alijuaje kuwa ni virusi vya ukimwi? Narudia tena, Kuna virusi vya aina ngapi? Kwa nini kakimbilia kwenye mtazamo wa ngono? Nakumbuka nilivyokuwa mdogo kiasi nilienda kwa daktari nikisumbuliwa na koo kuuma. Daktari akaniuliza kama natumia vinywaji vya baridi. Mimi bila tafakari nikasema wala situmii pombe. Dokta alijua alitabasamu tu na kusema hakumaanisha pombe... Sasa na wewe GT nikuulize tena, kuna virusi vya aina ngapi?
 
Kwenye mjadala unaoendelea hapo UDSM Nkrumah Hall kuhusu Kigoda cha Mwalimu na kuambukizana virusi vya Azimio la Arusha. Huyu mama anasema ili virusi viingie vyema inabidi tuvue kondom... Labda huyu mama hajui nini maana ya kirusi/virusi. Nimesikitika, na ninadhani hata wengine wamesikitika kwa kauli hii ya huyu mama ambaye anaonekana kuzeeka vibaya. Kuna virusi vya aina nyingi ukiachilia vile vya ukimwi. hata vya ukimwi haviambukizwi kwa ngono tu! Sasa huyu mama anadiriki kusema kuwa tuvue kondom. Huyu si ndie yule mama wa Beijing ambaye kwenye mkutano wao walibeba kondom?

Huyu mama naomba jamii (hasa media) imkomalie ili afute kauli yake maana virusi vya mafua havikingwi kwa kondom...

Wewe umesikia neno kuvua kondomu ili virusi visambae basi, hili ni tatizo la kutosikiliza content nzima ya mzungumzaji. Wewe ndiye unataka kuposha jamii nzima na kuleta usumbufu hasa kwa wale ambao hakumsikiliza. Binafsi nimefatilia mjadala huo kupitia Radio one na hapa niwapongeza japo ni hapa dsm sikuweza kufika UDSM lakini kupitia kwao nimeshiriki indirect. Alichosema Mama/Bibi Mongela ni kuacha ni kwamba viongozi wamevaa kondomu ili kuzuia virusi vya Azimio la Arusha visienee, hivyo akawaomba wavue hizo kondomu ili virusi vya azimio hilo ambalo kwa mtazamo wake na wengine wengi ni zuri japo limetupiliwa mbali. Hii inaitwa kuongea kwa kutumia lugha ya picha mkuu, sasa wewe unapotosha umma kwa vile labda hukumsikia vema ama umeamua kwa makusudi sijui, lakini najua wewe binafsi na Mungu wako akuonaye sirini mnajua.

Mama Mongella hana cha kufuta hapo, labda wewe kama umefanya hivyo makusudi unatakiwa kufuta na kuomba radhi wanajukwaa JF.
 
Nyie watu sijui vipi... Mama Mongela angesema kuwa anachukulia mfano wa ukomwi wala nisingekuwa na shida naye. tatizo watu tuna obsession na ukimwi. Tukisikia virusi tunajua ni ukimwi tu. Inabidi muingie kwenye hii link hapa kuonalist of viruses. Nasema tenahuyu mama kapotoka na ana mtazamo hasi na mawazo yake ni ya upande mmoja. na ndivyo kwa wengi wetu. Tumepata picha ya tendo la ngono hapo jambo ambalo halikuwa la lazima, wala haikuwa lengo la Jaji Mutunga. Na jaji angesema Bakteria wa Azimio huyu mama angesema tujikinge na gonorea? Let us think critically. Mama kachemka!
 
Huyu mama alijuaje kuwa ni virusi vya ukimwi? Narudia tena, Kuna virusi vya aina ngapi? Kwa nini kakimbilia kwenye mtazamo wa ngono? Nakumbuka nilivyokuwa mdogo kiasi nilienda kwa daktari nikisumbuliwa na koo kuuma. Daktari akaniuliza kama natumia vinywaji vya baridi. Mimi bila tafakari nikasema wala situmii pombe. Dokta alijua alitabasamu tu na kusema hakumaanisha pombe... Sasa na wewe GT nikuulize tena, kuna virusi vya aina ngapi?

Mkuu siku nyingine huwa unaamka vibaya. Kwa context ya Tanzania kwa sasa Ukitaja virusi kwa sababu ya threat ya Ukimwi iliyopo mtu anajua vya Ukimwi. Kabla ya hapo haikuwahi kufanyika kampeni nchini ya kuzuia maabukizi ya Virusi zaidi ya hivi vya UKimwi ambavyo huambiwa kinga yake ni Kondomu na mambo mengine. Hivyo katika matumizi ya TASWIRA, ile resistance waliyoiweka ameifananisha na Kondomu. Wee nikuonavyo kondomu inakuathiri kwa njia moja hadi nyingine.

Mbona jaji Mkuu kasema bado anasumbuliwa na AIDS lakini huja mind? Hasa baada ya kuongelea Virusi. Baadae akafafanua kuw ani African Independent Development Syndrome(AIDS) kwa nini hujashutumu kuwa kwa nini anaongelea virusi kisha anaongezea na AIDS. Kamanda wangu kubali tu kuwa umekurupuka. Nimeanzisha thread kuhusu kinachoendelea Nkrumah na nimeshiriki kikamilifu mwanzo mwisho. Wanasemaga hivi; You have to be verycareful but not very very very careful. Ukichamba sana utatoka na mavi. Unajifanya unascoot lakini mwishowe utachanganikiwa. Haya twambie angefananisha na virusi gani na atumie mfano wa protection ya kitu gani kwa virusi hapa Tanzania ili wote tumwelewe?
 
Wewe umesikia neno kuvua kondomu ili virusi visambae basi, hili ni tatizo la kutosikiliza content nzima ya mzungumzaji. Wewe ndiye unataka kuposha jamii nzima na kuleta usumbufu hasa kwa wale ambao hakumsikiliza. Binafsi nimefatilia mjadala huo kupitia Radio one na hapa niwapongeza japo ni hapa dsm sikuweza kufika UDSM lakini kupitia kwao nimeshiriki indirect. Alichosema Mama/Bibi Mongela ni kuacha ni kwamba viongozi wamevaa kondomu ili kuzuia virusi vya Azimio la Arusha visienee, hivyo akawaomba wavue hizo kondomu ili virusi vya azimio hilo ambalo kwa mtazamo wake na wengine wengi ni zuri japo limetupiliwa mbali. Hii inaitwa kuongea kwa kutumia lugha ya picha mkuu, sasa wewe unapotosha umma kwa vile labda hukumsikia vema ama umeamua kwa makusudi sijui, lakini najua wewe binafsi na Mungu wako akuonaye sirini mnajua.

Mama Mongella hana cha kufuta hapo, labda wewe kama umefanya hivyo makusudi unatakiwa kufuta na kuomba radhi wanajukwaa JF.

Nisaidie kumfundisha huyo anakuwa GT mpaka vya karibu haoni anaona vya mbali
 
Tafadhali usijadili hoja ya mama mongella out of context,nipo hapa nafuatilia mjadala wa kigoda cha mwalimu. Mama mongella alichofanya ni kutumia neno virusi kama ni kitu kinachohitajika kusambaa in the context of azimio la arusha kwa maana kwamba kirusi cha azimio la arusha is DESIRABLE;if you miss this point, aidha utapotosha au utapotoka; So alichofanya Mama Mongela ni kutumia neno 'virusi' in a positive way ili kufikisha ujumbe juu ya umuhimu wa kusambaza in a replicative way mazuri na yaliyo rellevant ndani ya azimio la arusha; Suala la condom - hawa amewajadili kama watanzania wanaolitazama azimio in a NEGATIVE way - ambao hawalitaki azimio la arusha katika jamii, hawa amewa categorize kama wanaovaa condom kuzuia virusi vya azimio la arusha kusambaa;

Ni suala tu la kuelewa context na pia kuangalia kirusi na suala la positive kuwa ni desirable, ingawa hakuwa na haja ya kutumia lugha husika kufikisha ujumbe husika;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

MCHAMBUZI, you deserve points and, in any case, your ID is relevant to what you've written hereof.
 
Back
Top Bottom