Hongera Mama Maria Hewa,daraja la Mabatini linajengwa!

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Heshima kwenu wakuu,
Nampongeza sana mbunge wa Viti maalumu ccm mkoa wa mwanza Mama Maria Hewa kwa jitihada zake za kufuatilia Daraja la watu kupita juu (fly over )Mabatini Mwanza .Bungeni ameshauliza maswali mara mbili na sasa mkandarasi ameshaanza maandalizi.
Na sasa weka jitihada barabara ya sabasaba hadi PPF iwekwe lami .
wakati Wenje akitujazia machinga hadi kwenye njia za waenda kwa miguu na nje ya maduka yetu,wewe lete maendeleo kwa wote .
 
NB :mimi ni mwachama wa chadema na sioni haya kumpongeza huyu mama kwa juhudi zake
 
Kama tutaweka kando ushabiki wa kijinga kama tulivyofanya miaka ya nyuma kanda ya ziwa yote itaendelea
 
NB :mimi ni mwachama wa chadema na sioni haya kumpongeza huyu mama kwa juhudi zake

yule bibi na wewe unadiliki kusema unampongeza? Anamiaka mingapi bungeni kama huu si mwaka wa 20 leo hii ndio povu linakutoka watu wailemela wamewekewa lami full buzuluga mpaka pansiasi, wanafunzi wa familia duni leo hii Wenje anawasomesha, machinga wanafanya kazi kwa uhuru na kujikimu na maisha haya magumu, maji mwanza sasa si tatizo ni full time............ Sasa jiulize mama Hewa na Dialo miaka yote 20 walifanya lipi
 
Heshima kwenu wakuu,
Nampongeza sana mbunge wa Viti maalumu ccm mkoa wa mwanza Mama Maria Hewa kwa jitihada zake za kufuatilia Daraja la watu kupita juu (fly over )Mabatini Mwanza .Bungeni ameshauliza maswali mara mbili na sasa mkandarasi ameshaanza maandalizi.
Na sasa weka jitihada barabara ya sabasaba hadi PPF iwekwe lami .
wakati Wenje akitujazia machinga hadi kwenye njia za waenda kwa miguu na nje ya maduka yetu,wewe lete maendeleo kwa wote .

Umeshaweka post..mbona kujitetea!
Sidhani kama mtoto akimshukuru mama kwa kumnunulia pipi kuna haja ya kumlaumu baba...kama huna tabia hizi unafiki,uongo,porojo,ujinga,uvivu wa kufikiri na mtumwa wa mamlaka.
 
yule bibi na wewe unadiliki kusema unampongeza? Anamiaka mingapi bungeni kama huu si mwaka wa 20 leo hii ndio povu linakutoka watu wailemela wamewekewa lami full buzuluga mpaka pansiasi, wanafunzi wa familia duni leo hii Wenje anawasomesha, machinga wanafanya kazi kwa uhuru na kujikimu na maisha haya magumu, maji mwanza sasa si tatizo ni full time............ Sasa jiulize mama Hewa na Dialo miaka yote 20 walifanya lipi

Mama Hewa sidhani kama ana miaka ishirini bungeni...kwa sababu hapo kabla kipindi cha 1995 na 2000 aligombea na kushinda udiwani kwa kipindi chote cha Mkapa....Diwani wa Nyakato.
 
NB :mimi ni mwachama wa chadema na sioni haya kumpongeza huyu mama kwa juhudi zake

Kipindi akiwa Diwani alivurunda sana....yeye alijali maisha binafsi mpaka wananchi wakachukia sana...
Kama ameanza kuwatumikia katika ubunge wake ni jambo la kupongezwa...that is what we want from our representatives!
 
Back
Top Bottom