Sinema za ikulu

Sinema za ikulu

habibu bakili

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Posts
202
Reaction score
51
SINEMA YA I: moja kati ya vitu vya ajabu ambavyo wengi vilitushangaza wiki iliyopita ni kitenda cha raisi na makamu wake kutembelea mahali ''ajali'' ya kuanguka kwa ghorofa kwa nyakati tofauti! sio tu kwamba hiki kilikuwa ni ktuuko bali ilionekana wazi ni kutotumika hekima na tabia ya viongozi wetu kupenda 'misifa'! ntafafanua kidogo..

kitendo cha 'wakubwa' wa nchi kufika tu eneo la tukio kwa wengi tulishuhudiwa kuona kuvurugika kwa zoezi zima la uokoaji kwani attention ilihama kutoka katika uokoaji na badala yake kwenda kwa raisi na baadae makamu wake, huku kila mmoja (wakiongozwa na kamanda kova) akijitahidi kupambanua umahiri na 'ushujaa' wake katika uokoaji! uwepo wao pale haukusaidia badala yake uli slow down juhudi za uokoaji MAONI YANGU ni kwamba raisi angefuatilia kwa makini tukio hili akiwa ikulu (kupisha juhudi za uokoaji) na angeenda eneo la tukio siku moja au mbili baadae..

SINEMA YA II: kuna tetesi kwamba eti kuna tafrija imeandaliwa ikulu kuwapongeza waytu walioshiriki katika uokoaji..
hebu tuwe serios kidogo hivi ni kweli unaweza kutrace kwa usahihi watu wote wale walioshinda pale wakifukua kile kifusi, au hawa watakao alikwa ikulu ni wale wahindi waliotuletea ''vifaru'' vyao pale kutusaidia katika uokoaji... then what??? wapige picha na rais ili iwe rahisi kwao kupata tenda kwenye halmashauri?

while this might seem as a very noble gesture by our president, mimi nadhani rasilimali hizi za muda na fedha za hiyo tafrija kuwekeza katika taifa letu kuwa na uwezo wa kukabiliana na majanga??? maana kwa hali tuliyo nayo sasa kama tukipata yale majanga ''makubwa makubwa'' kama yale ya wenzetu (vimbuka na matetemeko), ni kudra za mwenyezi mungu tu ndizo zitakazo tuokoa..

hebu tusubiri tuone hii tafrija, na kama itafanyika, hakyamungu ntaamini kwamba ama kweli sasa tumeamua kuwa wendawazimu..
 
Kodi zetu zinateketezwa kunywa wine na vyakula vya gharama, ni bora wakapewa yatima waliopoteza wazazi na kuuguza wale ambao bado wamelazwa. Shame on them!
 
Taifa litajengwa na wenye moyo kisha wenye meno watakula......sisi eeem!
 
Juzi alikuwa kwenye hoteli yake huko serengeti wakitumbua maisha na mtuhumiwa wilium ruto
 
kwa jinsi nilivyomwona baada ya hotuba ya kamechoka kajamaa,misuli ya shingo,macho km mgonjwa anayeshikilia roho,suruali imepwayaya na miguu kupinda vibaya ni wazi jamaa atachoka kuliko hata mwinyi,
 
unakumbuka kipindi kile anaingia ''nyumba kubwa'' walikuwa wanamuita raisi 'kijana'.!
teh teh teh..
 
Cheap propaganda. Ilitokea kwa Mkapa kwenda ziwa victoria kuangalia waokoaji wa MV BUKOBA na hakusaidia lolote. Akapigwa picha, akasema sema maneno ya kijinga/kinafiki, then akaondoka, akitoa ahadi tele , tume zikaundwa, etc.

Huu ni mwendelezo tu wa ushenzi huo huo. Taifa linaongozwa na watu wasiowajibika.
 
Kodi zetu zinateketezwa kunywa wine na vyakula vya gharama, ni bora wakapewa yatima waliopoteza wazazi na kuuguza wale ambao bado wamelazwa. Shame on them!
absolutely.!
ni lazima tupige kelee mpaka pale watakapoacha kuishi kama mamilionea kwa kutumia kodi zetu..
 
"Lakini nchi zetu hazitawaliwi na wanafalsafa wa Plato; watawala wetu ni wanasiasa wa kawaida ambao wanapenda sana kutawala hata kama hawana uwezo wa kutawala; na ambao wako tayari hata kuhonga
ili wachaguliwe kuwa watawala, na wakisha kuchaguliwa hawatoki bila kulazimishwa. Si busara kuwaachia wao wenyewe ndio wawe waamuzi wa lini waache kuwa watawala."

By Julius Nyerere - Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania 1994.
 
Alishaliongelea Masudi Kipanya kwenye katuni yake moja alipochora ng'ombe hana kichwa then akamwita Tanzania. Nchi inaenda kimungumungu tu. Hatujui tunaelekea wapi? Utapongezaje watu walioshiriki kuokoa kabla hujatoa hata udi wa pole kwa wafiwa? Serikali itamke wazi kuwa itawasomesha watoto wa wafiwa badala ya kuwaandalia watu pilau la bei mbaya. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Wanapongezwa?????????????????? wangeweza kuwaokoa WOTE asife hata mmoja hapo ningeelewa .............. na kama itafanyika hiyo tafrija hata JK atakunywa wine na wenzake au ni wale tu waliokuwa wanafanya kazi????????????????

Hata hivyo naomba ISIFANYIKE wakati wengine wanaomboleza kwenye MSIBA WA KUFIWA NA KUPOTELEWA NA NDUGU ZAO................. wengine wanapongezana ............. WAPI NA WAPI !!!!!!!!!!!!!!!
 
''na washauri wasiishie hapo tu, waandae na nishani, wajenge minara na waite baadhi ya majina ya mitaa ya dar kwa majina ya hao waalikwa. ndio, maana si tumeamua kuwa vichaa? basi tusiwe vichaa nusu nusu; twende hadi miwsho: tusiishie kula takataka tu; bali tuvae hadi takataka''
LULU WA NDALI MWANANZELA
 
Mwizi wa ubwabwa full malalamiko,wananchi wanalalamika mwenye mamlaka nae ana lalamika,maajabu kweli kweli...
 
Alishaliongelea Masudi Kipanya kwenye katuni yake moja alipochora ng'ombe hana kichwa then akamwita Tanzania. Nchi inaenda kimungumungu tu. Hatujui tunaelekea wapi? Utapongezaje watu walioshiriki kuokoa kabla hujatoa hata udi wa pole kwa wafiwa? Serikali itamke wazi kuwa itawasomesha watoto wa wafiwa badala ya kuwaandalia watu pilau la bei mbaya. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.
well said brother
unanikumbusha 'dogo' wetu nasari aliposema ''nchi inaongozwa kama SACCOS''
 
kitenda cha raisi na makamu wake kutembelea mahali ''ajali'' ya kuanguka kwa ghorofa kwa nyakati tofauti! sio tu kwamba hiki kilikuwa ni ktuuko bali ilionekana wazi ni kutotumika hekima na tabia ya viongozi wetu kupenda 'misifa'! ntafafanua kidogo..

kitendo cha 'wakubwa' wa nchi kufika tu eneo la tukio kwa wengi tulishuhudiwa kuona kuvurugika kwa zoezi zima la uokoaji kwani attention ilihama kutoka katika uokoaji na badala yake kwenda kwa raisi na baadae makamu wake, huku kila mmoja (wakiongozwa na kamanda kova) akijitahidi kupambanua umahiri na 'ushujaa' wake katika uokoaji! uwepo wao pale haukusaidia badala yake uli slow down juhudi za uokoaji MAONI YANGU ni kwamba raisi angefuatilia kwa makini tukio hili akiwa ikulu (kupisha juhudi za uokoaji) na angeenda eneo la tukio siku moja au mbili baadae..

.

You have a point!.,

Nimuhimu kujikumbusha hata sisi Chadema, tujue nini maana halisi ya Uongozi na tuishike siku zote " that which really counts in leadership - Pro activity and problem solving" wasije wakayaiga haya wakidhani ndiyo kushiriki maumivu ya wananchi.,

hizi nisiasa za kiswahili swahili., huu sio uongozi hata kidogo.
 
Hilo la wahindi kupiga picha na mkuu limenigusa sana maana wanapenda sana hii kitu ili wapate kuweka picha kwenye maduka yao na wengine wanatembea nazo ili wapate kututisha na kuzidi kutuonea katika nchi yetu wenyewe!!!!!!! Inanikera sana hii
 
SINEMA YA I: moja kati ya vitu vya ajabu ambavyo wengi vilitushangaza wiki iliyopita ni kitenda cha raisi na makamu wake kutembelea mahali ''ajali'' ya kuanguka kwa ghorofa kwa nyakati tofauti! sio tu kwamba hiki kilikuwa ni ktuuko bali ilionekana wazi ni kutotumika hekima na tabia ya viongozi wetu kupenda 'misifa'! ntafafanua kidogo..

kitendo cha 'wakubwa' wa nchi kufika tu eneo la tukio kwa wengi tulishuhudiwa kuona kuvurugika kwa zoezi zima la uokoaji kwani attention ilihama kutoka katika uokoaji na badala yake kwenda kwa raisi na baadae makamu wake, huku kila mmoja (wakiongozwa na kamanda kova) akijitahidi kupambanua umahiri na 'ushujaa' wake katika uokoaji! uwepo wao pale haukusaidia badala yake uli slow down juhudi za uokoaji MAONI YANGU ni kwamba raisi angefuatilia kwa makini tukio hili akiwa ikulu (kupisha juhudi za uokoaji) na angeenda eneo la tukio siku moja au mbili baadae..

SINEMA YA II: kuna tetesi kwamba eti kuna tafrija imeandaliwa ikulu kuwapongeza waytu walioshiriki katika uokoaji..
hebu tuwe serios kidogo hivi ni kweli unaweza kutrace kwa usahihi watu wote wale walioshinda pale wakifukua kile kifusi, au hawa watakao alikwa ikulu ni wale wahindi waliotuletea ''vifaru'' vyao pale kutusaidia katika uokoaji... then what??? wapige picha na rais ili iwe rahisi kwao kupata tenda kwenye halmashauri?

while this might seem as a very noble gesture by our president, mimi nadhani rasilimali hizi za muda na fedha za hiyo tafrija kuwekeza katika taifa letu kuwa na uwezo wa kukabiliana na majanga??? maana kwa hali tuliyo nayo sasa kama tukipata yale majanga ''makubwa makubwa'' kama yale ya wenzetu (vimbuka na matetemeko), ni kudra za mwenyezi mungu tu ndizo zitakazo tuokoa..

hebu tusubiri tuone hii tafrija, na kama itafanyika, hakyamungu ntaamini kwamba ama kweli sasa tumeamua kuwa wendawazimu..

Ahsante kwa busara za hali ya juu sana. Lakini kama wasemavyo waswahili ''ukishangaa ya Musa....''. Basi kuna idiot mmoja alikuwa anakejeli eti kwanini viongozi wa Chadema hawakuiga watembelee pale kama Kikwete alivyofanya.
 
Back
Top Bottom