Wabunge wa CHADEMA wagawana dakika 5!

Wabunge wa CHADEMA wagawana dakika 5!

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
Baada ya CCM kupitisha kanuni ya wabunge kuchangia kutokana na wingi wa wabunge ktk bunge..
Wabunge wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakigawana dakika 10 kwa wabunge wawili yani dakika tano tano..

Kwa kuwa CCM wamekuwa wakihofia kuwapa wapinzani muda mwingi hivyo wabunge wa CCM wanapewa muda zaidi.Mfano CCM wakiongea wa 5 mpinzani anaongea mmoja.Hakika CCM wanatupeleka kusiko.
 
Njia hiyo ya kugawana dakika 5 5 naona imeanza sasa ktk buge hili la 10..!
Tutafika tu...watu wamebanwa kwenye vinga'muzi ili wasione bunge
Bungeni nako wanawabana wabunge wa upinzani...
 
Hakuna wachingiaji makini kutoka wabunge wa Ccm, wanatafuta kuumbuka sasa hivi wanazililia hizo nafasi wakiisha hao wenye utaona bunge litakuwa kama kijiwe! sisi wananchi tunaona ni wabunge gani makini hata wakizungumza kwa dakika moja.
 
Siku zote mfa maji haachi kutapatapa,mpaaaka atakapokata roho!
 
Baada ya CCM kupitisha kanuni ya wabunge kuchangia kutokana na wingi wa wabunge ktk bunge..
Wabunge wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakigawana dakika 10 kwa wabunge wawili yani dakika tano tano..

Kwa kuwa CCM wamekuwa wakihofia kuwapa wapinzani muda mwingi hivyo wabunge wa CCM wanapewa muda zaidi.Mfano CCM wakiongea wa 5 mpinzani anaongea mmoja.Hakika CCM wanatupeleka kusiko.

Nadhani Hii ni katika kujaribu kuleta Usawa katika Ugawaji wa muda katika kuongea----Tunakubaliana kwamba Wabunge wanapoongea,ndio tunaona jinsi wanavyotutetea ama wasivyoweza kutututetea.
Huwa mnaona kwamba michango mingi ya wabunge,hutolewa kwa maandishi,Lakini kwa sababu watanzania tunafuata sana emotions zetu na si uhalisia wa mambo,basi wale wabunge ambao wanatoa michnago yao kwa maandishi sisi hatuwaoni kama wanafanya lolote.Ikumbukwe kwamba wakisema kila mbunge kule bungeni aongee,basi itabidi bunge liwe la miaka miwili mizima kuweza kumaliza kipindi bunge moja la bajeti.
Na kila mbunge,ana haki ya kusema yeye ndiye achaguliwe kuongea LIVE kile anachochangia.
Sasa je,nani aseme na nani asiseme LIVE?
Kumbuka kuonekana LIVE,watanzania wanakuona na kukuthaminisha(hasa wengi wao wanachukulia ndio muda wa kueleweka kwamba wanafaa)

Katika Siasa za Vyama vingi,inakuwa vigumu zaidi kuweza kupanga nani ataongea na nani asiongee.

Kila mmoja atataka aongee

Sasa cha kufanya ni nini hapa?Inatafutwa njia ambayo ni "Objective" ili kuwapa wabunge wengi zaidi muda wa kuongea LIVE
Na kwa sababu hivi ni vyama vingi,basi kila chama lazima wabunge wake wanafanana katika "nini cha kusema",ingawaje si mara zote.
Hivyo,kama ndivyo,basi kwa sababu kuna wabunge 300 kutoka vyama A,B,C na D,na Idadi ya wabunge katika vyama hivyo ni 200,50,40,10,respectively,then wape uwiano wa muda hivyo hivyo,kwa mfano katika saa moja la LIVE bunge talk,watapata katika uwiano wa 40mins(muda kwa ajili ya wabunge hao 200 kutokea chama A wanaotaka kuongea),10mins(muda kwa ajili ya hao wabunge 50kutokea chama C wanaotaka kuongea),7mins( muda kwa ajili ya wabunge hao 40 kutokea chama C wanaotaka kuongea) and 3mins(muda kwa ajili ya wabunge hao 10 kutokea chama D wanaotaka kuongea).....Objectively,utaona kwamba kila mbunge wa bunge amepewa hapo dakika 60/300=0.02
Hapo kumbuka kila Mbunge analalamika kwamba mbona mie sipewi muda?ama Chama kimoja kinasema mbona sie hatupewi muda?-----na suluhisho la kweli linakuwa hilo lililofanyika.

Kwa hiyo,kama nilivyotangulia kusema wabunge kutoka chama kimoja ni lazima kwa kiasi kikubwa wanakuwa wanashabihiana misimamo yao,na hivyo hata cha kuongea wanakuwa wanashabihiana,na kutofautiana ni kidogo,pia kukubaliana ni rahisi---hivyo basi,kila chama inatakiwa wajipange kuweza kuona ni namna gani watatumia muda wao ili kuweza kuwakilisha kile wanachotaka kuongea

Sasa nadhani wabunge wengi zaidi watakuwa wanaongea.
Lakini nadhani bado kila chama kitakuwa kinachagua nani wa kumpandisha chati kwa muda gani,ili apewe muda mrefu zaidi (kutoka kwenye ule muda wao wanaopewa)----Kumbuka wabunge wote mashuhuri wametokana na kuongea sana bungeni(watanzania tunapenda watu wanaoongea jamaniiiiiii...chaaaaaa!mburaaaaa)
 
Piga ua tutatoboa(tutafika).ALUTA CONTINUA.
 
Ama kweli ccm maji ya shingo yamewafika, kwa vile wao mara zote hawana hoja za msingi pamoja na wingi wao sasa wamebaki kubuni vituko tu ambavyo havina tija kwao wenyewe wala kwa umma wa watanzania.

Wabunge wa upinzani hasa wa chadema kazeni boot, hawa jamaa wameshindwa kila idara, ongezeni speed, wakitumia boot, nanyi tumieni,japo tujua refa yupo upande wao, lakini refa mkuu (kamisaa wa mchezo) sisi raia ndio wenye kuandika ripoti ya mchezo.

Kitaeleweka tu
 
Nadhani jambo linalowapa shida CCM ni kuwa kitakachoongelewa na mbunge wa chadema hata kwa hizo dakika tano kitawachukua wabunge hadi wanne wa CCM kukijibu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mchemba ndo mbunge no. 1 kunifanya nikaiona nchi yangu kama kitu hatari mno katika maisha yangu yote. Angalia pale alipokua akizungumza wabunge wenzake walivyokuwa wanakerwa ila kuna baadhi walishangilia. Ukitazama vizuri ile video utawaona wengine wanainamisha vishwa chini. Hiii ni ishara wanajua anachokizungumza sio cha kweli ni uongo mtupu. Ila Mchemba siku zake zinahesabika yeye anatumia hela zetu kuwaadhibu watoto wa Mngu (namaanisha watoto wanaokosa mahitaji muhimu) kwa kufaidisha binadamu atajuta siku ya kihama.
 
Team Chadema
430257_126351030825767_669163874_n.jpg
 
Hakuna shida tutafika tu.
Hongereni wabunge wa CHADEMA kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuwatetea wanyonge wa Tanzania.
 
:Mfano Sugu alitumia dk 5 lakini zilikuwa moto mno kwa ccm..
Hata Nassari dk 5 za moto za wabunge wa chadema... zinawatia kizaa zaa ccm!
 
:Chadema wabunifu sana kwa mbinu..
Mungu bado anawanyooshea njia.. Pamoja na kubanwa wapi? Dk 5 za moto kwa ccm zaendelea kumtesa spika..
 
Back
Top Bottom