8.1.6 Kutokuwepo Mwongozo Unaoelekeza Maagizo ya Wizara Yanayotakiwa Kutolewa kwa Mashirika
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ni shirika huru ambalo limeanzishwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge yaani...
Kufuatia tishio la CHADEMA kujitoa katika mchakato wa uundaji wa katiba mpya ya Tanzania kwa sababu ya Watendaji wa serikali kuingilia mchakato wa uteuzi wa wajumbe wa mabalaza ya Katiba ya...
Kutakuwa na uchaguzi mdogo wa madiwani watano wale waliofukuzwa na CHADEMA,uchaguzi utaitishwa hivi karibuni,CCM wamejipanga kuhakikisha wanaendelea kumiliki manspaa ya arusha,watatumia mbinu...
Dk Mwakyembe alisema upandishwaji huo ulifuata vigezo vyote hivyo hakuna sababu za kulalamika. Alisema kiwango kilichopandishwa ni kidogo ukilinganisha na jinsi wamiliki wa vyombo husika...
Mh.Felix Mkosamali anasema national Id vinaelezea jina na jinsia na tarehe ya mwisho (expire date)
Kasema vya mpiga kura vinasidi vitambusho vya uraia na vya Zanzibar..
Nationa Id hovyo...
'Tumechoka. Hatuwezi kudhibitiwa hadi fikra zetu huru.Safari hii,wengi wetu hatutaiunga mkono Bajeti Kuu na hata Bajeti ya Wizara yoyote ambayo haitakidhi matakwa ya wananchi. Sisi hatuko hapa...
Uchaguzi wa majina ysa wajumbe wa Mabaraza ya katiba umekuwa kama vile kuchagua nyanya sokoni, Taarifa !! Madiwani na viongozi baadhi wa Halmashauri hii ya Lushoto wameKuwa wakichagua wajumbe kwa...
Wadau Great Thinkers................
Mara nyingi tumekuwa tumekuwa tukijiuliza na kuleta takwimu Mbalimbali kuhusu nchi yetu kudorora katika karibia nyanja zote za maendeleo. Mpaka leo hii...
MGOGORO ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), unazidi kupamba moto huku mikakati ya kumngoa Mwenyekiti, Sadifa Juma Khamis na Makamu wake, Mboni Mhita, ikizidi...
Tarehe 26/02/2013 waziri wa nishati na madini Prof Dk Sospeter Muhongo alikutana na watanzania waishio UK. Watanzania wengi kutoka sekta mbalimbali walihudhuria.
Japokuwa mahudhurio yalikuwa...
Katika mchakato unaoendelea wa uteuzi wa wajumbe wa kamati ya kata ya katiba mpya, tumehamasishwa vya kutosha, na bahati nzuri au mbaya tumechaguliwa katika ngazi za Vijiji kuwa miongoni mwa...
Mheshimiwa Dr Harison Mwakyembe,
Mimi ni mtanzania wa kawaida tu ninayeishi hapa mwanza, kipato changu ni cha chini sana, kwa kifupi naishi kwa kubangaiza sana kwaajili ya kupata mkate wangu...
Nimeckia ya juu juu kwenye mkataba wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo na uchina ni madudu matupu naomba mwenye taarifa kamili anithibitishie tafadhari this for great thinker only
Nimejaribu kufuatilia siasa kwa kitambo sasa, siasa za ndani ya nchi na za nje ya nchi. Kwa namna yoyote ile, mtu anapochaguliwa ama kuteuliwa kushika wadhifa fulani katika serikali ama shirika la...
Wadau wa JF,
Hebu tuangalie mstakabali wa Jumuia yetu ya Africa Mashariki, Kikongwe amebaki mmoja na ni huyu wa Uganda. Mwingine ni wa Tanzania lakini huyu anastafu 2015. Tunataka jumuia yetu...
Nimefurahishwa na msimamo wa Kagasheki na nataka kutumia nafasi huu kumuunga mkono kwa ufafanuzi alioutoa kuhusu suala la Loliondo.
Najikita zaidi katika kuifahamisha jamii ya wafugaji wa Kimasai...
JESHI la Polisi Makao Makuu limeendelea kumshikilia kwa siku 11 bila kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) mjini Bukoba, Evodius Justinian (30) huku ndugu zake...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kitazindua kanda ya kichama ya Pwani inayojumuisha mikoa ya Pwani,Kinondoni,Ilala na Temeke.Uzinduzi huo utafanyika siku ya Jumapili tarehe 14/04/2013...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.