Mchakato wa katiba mpya umeingia doa baada ya udini, itikadi za siasa kutawala. Nimejaribu kujiuliza maswali mengi kuhusu utaratibu mzima wa kutoa maoni, kuunda mabaraza na hatimaye bunge la...
Katika kuelekea mwaka 2015, leo hii ningeulizwa nani anafaa kuwa Rais wa Nchi hii basi kupitia CCM ningechagua bwana Edward Lowassa, sababu kubwa ni uchapakazi wake na pia uvumilivu mkubwa kwa...
kauli ya Mwenyekiti wa
Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwamba
CCM haitokufa, na pengine wanaodhani hivyo
wanaweza kufa wao kabla ya chama hicho
tawala kufa.
Kwa baadhi yetu tunaosoma siasa...
Maneno mengi hayaitajiki, kwa ufupi mtido wa siasa za Chama tawala na serikali yake kwa kuivuruga nchi, watatajana tu.
Siri huwa ni ya mtu mmoja akiongezeka wa pili si siri tena. hawa nyumba yao...
Nauliza nikifahamu ni Tume ya sayansi na Teknolojia, mbona sasa wanafanya siasa?
Leo hii nimewaona ktk TV, waziri wa Mawasiliano sayansi na technolojia pamoja na mtendaji mkuu wa COSTECH wakitoa...
Sasa ukweli umezidi kubainika kuhusu mchakato wa kuwania nafasi ya urais wa chuo kikuu SAUT umechukua sura mpya,sura ya UCCM na UCHADEMA mala baada ya taarifa kuvuja kwamba CCM mkoa kufanya vikao...
Enough with romantization of Mwalimu.
99% ya watawala wetu leo wote walilelewa na mwalimu hivyo ni uzao wake
kwa hiyo its fair to say matatizo yetu yalianza toka enzi zake na sasa wanaendelea...
Huku akiwa anajaribu kuisema vibaya CHADEMA, na akiwa haeleweki hata na wabunge wa CCM, amejikuta akiituhumu serikali ya CCM kuwa ya kipuuzi kwakuwa hawaishughulikii CHADEMA ipasavyo, yeye...
Nimeiona hii picha kutoka kwa Michuzi,,nikasema hongera zake kwa Ndugu rais kuimalisha uhusiano na jirani zetu,,,sema Mh Sitta sijamuona hapa kama waziri mwenye dhamana na EA.
Mods tafadhali msiunganishe uzi huu kwa kuwa nitautumia kuleta Updates
Wanabodi,
Taarifa za ndani kabisa zilizopatikana kutoka kwa Waandishi wa habari,Vyombo vya usalama na ndani ya CCM...
Habari Jf
Nchi hii Raia tunategemea ulinzi kutoka kwa Jeshi la polisi ambalo ni ngao yetu kutulinda sasa na mali zetu, Lakin Hii ni tofauti na Askari wa hapa Zanzibar Kabla ya Mauaji na...
Nimeshitushwa sana na kauli ya Mhe. Gekul kuwa Bunge limetenga TZS 5 Billions kwa ajili ya kukarabati jengo la Bunge kwa kuwa linavuja.
What a shame is this, bungeni pale hawalali, yani ni kukaa...
Hivi ni kutofahamu kiswahili vizuri, ni kutojua maana, ni ombwe la kisiasa, ni kulazimishwa kuunga mkono hoja au ni nini!!??? Mbunge anaposimama kuchangia hoja iliyopo mezani na kuanza kulalamaa...
Ninachojua mimi lengo kuu la chama cha upinzani ni kushika dola. Nilimsikia Mwigulu akilalamika kuwa CHADEMA katika hotuba yake haijatoa mbinu mbadla za kushughulikia matatizo yaliyopo. Sasa...
Kwa walimu waliofuzu vizuri ualimu watanielewa ninaposema jibu lisilosahihi lakini linafanana na jibu sahihi. Katika utungaji wa maswali ya kuchagua jibu sahihi kutoka kwenye majawabu mbalimbali...
Sasa hivi kuna kitendo kinacho endelea cha uzinduzi wa kanda ya dar es salaam maeneo ya Ubungo plaza. yupo dr.slaa, mbowe wabunge wa chadema na wengineo. tunaoomba walio sehemu ya tukio watupw...
Ndugu zangu wana jamvi, kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa katika wimbi zito la rushwa na ufisadi ambalo limetawala mijadala mbalimbali ya kisiasa na kijamii. Athari za rushwa na ufisadi...
Ninamshukuru Mungu kwa kunipa afya njema kimwili, kiroho, na kiakili. Leo napenda nijaribu kufafanua ama kuzungumzia maana ya neno hili lililozoeleka sana masikioni na vinywani mwa watanzania...
Ndugu zangu hapa nina ukiza na nina omba nijibiwe au tuchangie mawazo
Kila kukicha Dar Es Salaam na vitongoji vyake kuna zidi kunuka hii siyo tu katika mitaa yetu hii ya sisi wa kima cha chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.