Awali ya yote napenda kusema kuwa nawaheshimu sana viongozi wetu wastaafu na hasa wapigania uhuru wa Taifa letu. Ila sitaki kuingia kwenye kasumba ya kusifia hata kama walifanya baya au kuna baya...
Ndugu wana JR nimeona mnisaidie kuteguwa kitendawili hiki cha aina gani ya wajumbe wa kamati ya maendeleo ya kata washiriki katika kuchagua mabaraza ya katiba ya wilaya kwa sababu suala la katiba...
Bungeni; swala la ugaidi chadema ndio walioanza kusema kitu ambacho hakikutakiwa kusemwa hata kidogo. CHADEMA pamoja na kuwa zengwe lote hili laweza kuwa ni mbinu, bado there is no execuse za...
Katika siasa za nchi hii tumefika mahala ambapo siasa haziko sustainable tena kama tegemeo la kuleta matumaini ya maendeleo na ufanisi wa pamoja kiinchi.
Siyo siri nchi inasonga mbele miuchumi...
Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii.
Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua...
Na Farida Ramadhani
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombare Mwiru amesema waliharibu mwanzoni kabisa walipochanganya miiko ya viongozi na miiko ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi...
Fahamu ongezeko la nauli kwa 24% iliyotangazwa na SUMATRA kwa mabasi ya Mikoani.
Mfano: Dar es salaam kwenda Morogoro nauli ya awali ilikuwa Tsh.6,500.
6,500 = 100%
? = 24%
(6,500 * 24)...
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata muundo wa "majority rule" katika kupata Wawakilishi wake wa Kibunge na Kiongozi mkuu wa Mamlaka ya Utendaji-Rais. Hata hivyo pamoja na wabunge...
Nimefuatilia kwa makini sana kuhusu mwenendo wa vyama viwili vikubwa na kugundua kuwa ili nchi hii isonge mbele, ni lazima ccm iondolewe madarakani. Na chama konachostahili kushika dola ni chadema...
Katika ile hali ambayo ilitarajiwa na wengi,leo katika kipindi cha jion bungeni,Mh engineer Habibu Mnyaa(mb)amelifumua tena suala la gesi na kutoa hoja ya kuelezea kiini cha mgogoro wa gesi ambao...
Kauli nzito aliyoiandika Absalom Kibanda kuhusu Rais Kikwete
TAARIFA mbaya zinazomhusisha Rais Jakaya Kikwete na tope la rushwa na ufisadi zimesambazwa katika mitandao ya intaneti tangu mtandao...
Ndugu zangu haswa wale waelewa ,akili iliyoshindwa kujitambua ni mzigo kwa maendeleo ya watu na taifa .kwa kuwa akili angavu ni
chimbuko la asili zenye kuleta mapinduzi ya ndani ya nafsi yenye...
Wanabodi
kuna sakata linaendelea kwenye soko la Kilombero,kuhusu uhalali wa nani anastahili kulipwa Ushuru,Diwani wa kata ya Levolosi Mh Nanyaro amekuwa kwa wiki nzima akisisitiza wananchi...
Yericko Nyerere,
Njoo unikumbushe ya ngapi hii tangu 2006
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo...
Kwa miaka ya karibuni ushindani wa kisiasa hapa nchini umeimarika sana. Na hili limeifanya CCM kuamka usingizini kwa namna fulani. Pia kuwa imara kwa upinzani kumeifanya CCM iwe walau na umoja...
Katika tukio lingine la hivi karibuni lenye kudhihirisha kasi ya CCM kuibomoa CHADEMA, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime, kimevuna wanachama wapya 800 ambao awali walikuwa ni wanachama na...
Masuala ya kuchinja yalianza kwa mwinyi yakajibiwa kirahisi na kuitwa mzee ruhsa
masuala ya oic yalianza tangu utawala wa nyerere mkapa mwinyi yakajibiwa kirahisi
waisilamu kuto kuwa na imani...
Ndugu zanguni,
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.