Another silly season!!!!

Another silly season!!!!

Nswima John Edward

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
612
Reaction score
312
Namkumbuka Tundu Lissu, alisema kuwa kila bunge la bajeti linapoanza, inakuwa ni "ANOTHER SILLY SEASON." Hii ni kweli, hasa pale ambapo badala ya kujadili hoja na bajeti iliyowasilishwa, wabunge WOTE, wa chama tawala na wa VYAMA VYA UPINZANI, wanahama kwenye hoja na kuanza kujadili watu na matukio ambayo mengine yapo mahakamani, na bila AIBU, speaker, amekuwa akionesha UPENDELEO WA WAZI WAZI kabisa, mfano; pale ambapo Mh Sugu alikuwa akimsema Mwigulu, mchango wake uliingiiliwa sana na speaker aliruhusu, lakini Kigwangala alipowasema vibaya viongozi wa CHADEMA, speaker hakuruhusu mtu kuingilia mchango wake.

Yaani BUNGE limepotoka kabisa, wabunge wote wanatusaliti, sidhani kama tuliwatuma kwenda kuongea umbea bungeni na kuongea maneno ya MIPASHO..tulizoea kuyaona haya kwa MWIGULU na wabunge wenigne wa ccm, lakini sasa wabunge wetu wa vyama vya upinzania, ambao tuliamini kuwa wanaongea hoja ambazo wametumwa na wananchi, nao wameingia kwenye mkumbo...sasa hivi ni vigumu sana kutofautisha wabunge wa ccm na wabunge wa CHADEMA, wote wanaongea MIPASHO badala ya hoja.

WITO: Binafsi, naamini kuwa wabunge wengi wa CHADEMA na wa vyama vingine vya upinzani wanaingia sana humu, tunawaomba wachangie bajeti na namna ya kuziboresha, ingawa michango yao haitathaminiwa na maccm, lakini ss wananchi tuliowatuma tunajua nini wanafanya na tutafanya maamuzi 2015, waoneshe tofauti na MAGAMBA.

Karibuni kwa michango!!!!
 
Ni kwamba umeelewa nusunusu au au umepania.ungesikia alichoongea mwigulu ni wazi cdm hawapaswi kaa kimya.

Ccm wameamua kujenga dhana potofu systematically..

Cdm kweli wameingia ktk stage ya mtoano.
 
Tunatawalwa na chama mfu hakuna chama hapa tuombe Mungu tuifikie hiyo 2015
 
Wa mpui kaleta uzi hapa moderators wameutoa nanukuu alichoandika anasema ameambiwa na mfanyakazi wa bunge kuhusu simu ya iliyotoka kwa Kinana kwenda kwa spika Anne Makinda akimwita dada mtoe mwigulu kuchangia jioni achangie asubuhi kwa sababu ana mengi ya kusema, Anna makinda akamuuliza kwani anayotaka kusema ni makali sana akasema akuonyeshe atakachosema
Ujue Spika Anna Makinda pale kakaa kama boya anafuta amri za mwenyekiti wa CCm Jakaya Kikwete,Katibu Mkuu jangiri wa pembe za ndovu Abdarahman Kinana ,Spika anasuka na watu hawa jinsi ya kuendesha bunge kwa siku ukumbuke Vuta Nikuvute alikuja hapa na mada akitueleza kuwa Tundu Lissu ananyaraka za kuimbua serikali kwa hiyo wamejipanga Spika na MACCM kutibua hoja zote zitakazoongelewa na chadema
Sasa Nswima Bunge ambalo Spika anapanga namna ya kuwakandamiza wabunge wa upinzani na wabunge wa chama chake na viongozi wa chama chao unataka wapinzani wasijubu tuhuma mbaya zinazozungumzwa bungeni ambazo kwa kiwango kikubwa wananchi wengi wanafutilia ni kweli wanapaswa kuongelea mambo ya msingi lakini pia lazima wadhibiti upotoshwaji, unaambiwa Makinda anaahidi kumpatia zawadi Kinana sijui awadi gani hii nchi bwana utaijua mwenyewe
 
Ni kwamba umeelewa nusunusu au au umepania.ungesikia alichoongea mwigulu ni wazi cdm hawapaswi kaa kimya.

Ccm wameamua kujenga dhana potofu systematically..

Cdm kweli wameingia ktk stage ya mtoano.

Mkuu nimeelewa, lakini tumekiuka kabisa, siyo vizuri kuhamishia mjadala ambao hauhusiki na bajeti na ukawa ndio mjadala mzima. Nafikiri unawajua ccm walivyo na akili za kuhamisha hoja na mada. Nafikiri hata mkakati wetu wa kuvifikia vijiji 18000 aliousema Dr Silaa sasa unakufa kwa sababu ya kuhamishwa kwenye reli na ccm, na hili wanalifurahia kwa sababu ndiyo nafuu yao, tusipokuwa makini watatuhamisha na kweli tutapoteza direction!!!
 
Wa mpui kaleta uzi hapa moderators wameutoa nanukuu alichoandika anasema ameambiwa na mfanyakazi wa bunge kuhusu simu ya iliyotoka kwa Kinana kwenda kwa spika Anne Makinda akimwita dada mtoe mwigulu kuchangia jioni achangie asubuhi kwa sababu ana mengi ya kusema, Anna makinda akamuuliza kwani anayotaka kusema ni makali sana akasema akuonyeshe atakachosema
Ujue Spika Anna Makinda pale kakaa kama boya anafuta amri za mwenyekiti wa CCm Jakaya Kikwete,Katibu Mkuu jangiri wa pembe za ndovu Abdarahman Kinana ,Spika anasuka na watu hawa jinsi ya kuendesha bunge kwa siku ukumbuke Vuta Nikuvute alikuja hapa na mada akitueleza kuwa Tundu Lissu ananyaraka za kuimbua serikali kwa hiyo wamejipanga Spika na MACCM kutibua hoja zote zitakazoongelewa na chadema
Sasa Nswima Bunge ambalo Spika anapanga namna ya kuwakandamiza wabunge wa upinzani na wabunge wa chama chake na viongozi wa chama chao unataka wapinzani wasijubu tuhuma mbaya zinazozungumzwa bungeni ambazo kwa kiwango kikubwa wananchi wengi wanafutilia ni kweli wanapaswa kuongelea mambo ya msingi lakini pia lazima wadhibiti upotoshwaji, unaambiwa Makinda anaahidi kumpatia zawadi Kinana sijui awadi gani hii nchi bwana utaijua mwenyewe

Daahhh! Ni kweli mkuu, haya maccm yanaiharibu nchi kabisa. Lakini tukifanya kama wao moja kwa moja, hata wao watatushtaki kwa wananchi kuwa bungeni, hakuna aliyekuwa anaongea point, wote tulikuwa tunajibizana na kutoka nje ya bajeti....ikibidi kujibu hoja za kijinga za Mwigulu, zijibiwe lakini strategically...Thanks!!!
 
Jana mchana alitajwa Mwigulu kwenye list ya jioni cha kushangaza,ilipofika session ya jioni hakutajwa kabisa!nikajua hapa kichaa kapewa rungu!!
 
CCM wameshaamua liwalo na liwe kwani kwa vyovyote kura hawapati!!!
 
Mkuu nimeelewa, lakini tumekiuka kabisa, siyo vizuri kuhamishia mjadala ambao hauhusiki na bajeti na ukawa ndio mjadala mzima. Nafikiri unawajua ccm walivyo na akili za kuhamisha hoja na mada. Nafikiri hata mkakati wetu wa kuvifikia vijiji 18000 aliousema Dr Silaa sasa unakufa kwa sababu ya kuhamishwa kwenye reli na ccm, na hili wanalifurahia kwa sababu ndiyo nafuu yao, tusipokuwa makini watatuhamisha na kweli tutapoteza direction!!!
Kwa vipi mbona nyanda za juu kusini wanaendelea na mpango mkakati unadhani chadema ni wakuhamishwa na hoja zao walizojiwekea usihofu endeleza libeneke huko mpanda
 
Mleta mada jaribu kuangalia mambo kwa uhalisia! CCM watafanya kila njia kuhakikisha kuwa wanaihujumu CDM. Wanajua kuwa hawana uwezo wa kujenga hoja kama wabunge wa CDM, Leo Lissu amewafunika mwanzo mwisho! Wanachokifanya ni kuhakikisha speaker anaharibu mtiririko na mpangilio wa hoja ya vijana machachari wa CDM kibabe na kizembe...Pumba na Mchele unaonekana wazi Mkuu...
 
Mkuu huku kila kijiwe habari ni CHADEMA, na ninaanza kupata wazo la kugombea ubunge jimbo la Pinda, nadhani namalizia utafiti wangu mdogo halafu nitatangaza nia....Wagunge wetu wajitahidi kutokuhamishwa kwenye hoja za msingi!!!
 
Mleta mada jaribu kuangalia mambo kwa uhalisia! CCM watafanya kila njia kuhakikisha kuwa wanaihujumu CDM. Wanajua kuwa hawana uwezo wa kujenga hoja kama wabunge wa CDM, Leo Lissu amewafunika mwanzo mwisho! Wanachokifanya ni kuhakikisha speaker anaharibu mtiririko na mpangilio wa hoja ya vijana machachari wa CDM kibabe na kizembe...Pumba na Mchele unaonekana wazi Mkuu...

Tuko pamoja mkuu, kikubwa hawa vijana wetu huko mjengoni wasihamishwe kabisa kwenye hoja, na sasa hivi ccm wanamtumia sana mwigulu, ndio unaona jana alitajwa kwenye orodha ya kuchangia jioni, lakini kwa kuwa walijua Tundu Lissu ataongea leo, wakaamua kumuhamisha hadi leo, lengo ni kumuhamisha Lissu, Tuwe makini sana!!!
 
Ngoma wanayoipasha ccm haipashiki kwa jua, wangeiweka kwenye moto na wakisinzia inaungua.
 
CCM imeoza. Yaani hata wafanyeje sasa hawawezi kuturudishia imani. Tunasubiri tu muda muafaka tutawaonyesha msimamo wetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Daahhh! Ni kweli mkuu, haya maccm yanaiharibu nchi kabisa. Lakini tukifanya kama wao moja kwa moja, hata wao watatushtaki kwa wananchi kuwa bungeni, hakuna aliyekuwa anaongea point, wote tulikuwa tunajibizana na kutoka nje ya bajeti....ikibidi kujibu hoja za kijinga za Mwigulu, zijibiwe lakini strategically...Thanks!!!
Ila tusiwalaumu sana! Ni vigumu mtu akutukane hadharani nawe ukae kimya hasa kama matusi yenyewe ni ya kipropaganda. Anayelea hiyo hali ni madam Spika! Kama ataendelea kuruhusu propaganda za kichama badala ya mijadala yenye tija, wabunge wa CHADEMA hawatanyamaza wala kufumbia macho njama zozote za hujuma dhidi yetu na Wananchi watawaelewa tu. Spika asimamie kanuni bila upendeleo!!
 
Mpaka sasa tathmini inaonesha kuwa CHADEMA ndo agenda kubwa bungeni. Imeongelewa kuliko kitu kingine. Hii ni faraja kwa wanachadema, lakini tujiulize kuwa sababu ni nini hasa? Haya madongo yote wanayojaribu kutupia CDM maana yake nini? Ni kampeni gani hii na lengo lake ni kujenga taswira gani kwa wananchi? Nani kawadanganya kuwa WATZ wa leo wanadanganyika kirahisi namna hii? Nawapa pole spika na wote walio nyuma yake!
 
Back
Top Bottom