Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto...
10 Reactions
151 Replies
18K Views
Kutokana na hali ilivyo sasa, Rais Kikwete alizma akubali moja kati ya haya:- 1. Kuikabidhi nchi kwa chama kingine mbali na ccm 2015 au 2. Kuiacha nchi kwenye machafuko makubwa ya kisiasa ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge wa Arusha mjini mh. G.Lema kesho Jumamosi atafungua ofisi ya CHADEMA ya kata ya Themi saa 9. Wote mnakaribishwa.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanabodi, Bado niko mjini Dodoma ili kushudia Uzinduzi wa Bunge la Kumi utakafanyika siku ya Alhamisi tarehe 18/11/2010. Nasema limeanza with wrong step, kuhalalisha ubaguzi wa kijinsia kwa...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Wana Jamii Wenzangu pole na kazi za kujenga Taifa. Nimeleta kwenu hoja yangu hapo juu kwa ajili ya kuongea na mdogo wangu Mh. Nasari mbunge wa Arumeru. Nimesukumwa na kauli yake ya ajabu akibeza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakazi wa chanika wataumia zaidi na ongezeko la nauli kwani sasa kutoka buguruni hadi chanika ni sh. 800 hapo awali ilikuwa ni sh. 700. Na kutoka gongo la mboto hadi chanika ni sh. 600 hapo awali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mh. Zitto yuko Live kwenye tamasha la Kigoda cha Mwl. Nyerere..........anaongelea Azimio na maadili ya viongozi. Fuatilia............ Mjadala unaendeshwa na Generali Ulimwengu, mbele yuko Zitto...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Katika mkutano wa Kumi wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Spika wa Bunge ndugu Anna Makinda alitangaza mabadiliko kadhaa ya muundo wa Bunge katika Kamati mbalimbali za Bunge. Moja...
18 Reactions
92 Replies
9K Views
Hii imetokea tanzanet........ Hivi miaka ilee kulikuwa na ufazili mkubwa sana ktk civil service sector review, na bale bazungu balitupa model zao za performance based system, yakafanyika ma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwako Mnyika, Tunakuamini sana kwa umakini wako wewe na wabunge wenzako, nimekutaja wewe sababu watanzania wanathamini sana michango yako na sasa wanalalamika they are missing your valuable...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mchungaji Mtikila alishawahi kupata misukosuko wakati fulani kwa kusema "nchi yetu iliwahi kuongozwa na rais kutoka nchi jirani ya Zanzibar". Leo katika kipindi cha...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama ilivyoombwa na wadau: HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Akiwa amekutana na CEOS wa makampuni makubwa nchini kuzungumzia PPP na akitoa briefing kwa Media. Kushoto mwa Dr. Slaa katika picha ya kwanza na pili ni Ali Mafuruki, Mwenyekiti wa CEOs Round Table
8 Reactions
168 Replies
18K Views
Akiwa ktk kituo cha Star TV leo asubuhi,Heche amelishutumu gazeti la habari leo kuwa lilibeba kichwa cha habari isiyokuwa na weledi kwa kuiponda CHADEMA kuwa iliandaa machafuko? Hata ivo wakati...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanajamvi, Leo katika pekuwa pekuwa yangu ya magazeti katika mji wa Pretoria hapa A.Kusini, nimekutana na habari yenye kichwa cha habari kisemacho, "ANC Working like Thatcher in UK", katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania nchi yangu, naamini udini na ukabila havipo tena ingawa kwa mbali vinasemwa semwa vinaweza vikawepo. Naamini uwepo wake haujafikia hatua mbaya ya kuogopesha na si ajabu vinaweza visitokee...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Freeman Mbowe Mkuu wa kambi ya upinzani bungeni CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibana serikali kikitaka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walionaswa wakifanya mawasiliano na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
  • Closed
Maafisa Usalama wamemwagwa hapa Dodoma ili kufuatilia nyendo za Wabunge mbalimbali ambao wanaonekana 'kuitukana na kuidhalilisha' Mahakama ya Tanzania kwa kuzungumzia mashauri yaliyo mahakamani...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Ahadi zako zote kwenye campaign hujatimiza kubwa kabisa likiwa MAJI. Bado tunateseka sana wananchi wako. Huonekani jimbo kwako hata shida zetu sijui unaweza zijua vipi. Uchaguzi ukifika ndio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Polisi wa Tunisia walikuwa na viburi kama polisi wa Tanzania. Wananchi wa Tunisia walikuwa wanapa madhila haya haya tunayopata watanzania leo. Lakiki kitendo cha siku moja tu cha wananchi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom