Swali moja tu limenikaa kichwani wiki hii; kwamba, wakati wengine tunapigia debe upinzani na kutaka CCM ikataliwe kuna wengine hawakuamini wakaendelea kuipigia kampeni CCM na wapo ambao walienda...
Jana nilbahatika kufuatilia mjadala wote wa bunge !
Pamoja na vurugu zote zilizojitokeza ila nimesikitishwa na chama tawala kukosa watu wenye busara kwa kiwango kinachooneshwa bungeni...
na NI MTANZANIA GANI ASIYEJUA HAYA YANAYOTUTESA KILA SIKU huku mafisadi na watu wanaolinda interest zao wakipiga makofi tu kupitisha mambo yasiyomsaidia mtanzania wala kutatua kero moja kati ya...
Job Ndugai wakati anahamaki na kumtoa Lissu nje alitamka maneno haya,"mbona wewe kila wakati_".
Nataka nimsaidie Ndugai hesabu rahisi ya kujibu swali lake.
Wabunge wa CCM ni wengi kuliko wa...
Job Ndugai wakati anahamaki na kumtoa Lissu nje alitamka maneno haya,"mbona wewe kila wakati_".
Nataka nimsaidie Ndugai hesabu rahisi ya kujibu swali lake.
Wabunge wa CCM ni wengi kuliko wa...
Arusha nzima ilikaa kimya kumsikilza mbunge wetu akijieleza kwa umakini mkubwa na ufasaha, imefika wakati kila mpiga kura kujiuliza kama mbunge aliyemchagua kuwakilisha jimbo lake ana uwezo wa...
Ndugu wana jamvi najua kuna watu humu wanaweza wasinielewe kuwa naamanisha nini ninapo sema ubabe katika siasa za nchi yetu,lakini naomba niseme tu kuwa nchi yetu sasa imejikuta katika siasa za...
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila...
Mwambie mbunge wako "umeibaka demokrasia,umeubaka ustaarabu,umeibaka haki na umeshiriki kwa kiasi kikubwa katika ubadhirifu wa mali za wananchi masikini kwa kugeuza bunge mahali pa mipasho ...
Wadau habari za majukumu.
Nimekuwa wilaya ya Morogoro Vijijini kwa muda wa karibu miezi 6 na nimefanikiwa kutembea vijiji kadhaa vya tarafa mbili, Matombo na Mkuyuni.
Watu wa kule wamebanwa na...
Najaribu kuangalia Bunge letu linavyoendeshwa naona kabisa kuna udhaifu mkuu na wote mtakubaliana na mimi. Kwa sasa nimehakikisha maneno ya Samweli Sitta kwamba Bunge lake aliloongoza litabakia...
Hii inatokana na kwamba vurugu matusi na vitu vyote vya kipuuzi vinatokea wakati Job Ndugai akiwa kiongozi.
Hata sasa amethibi miongozo mingi bila purukushani.
Nawasilisha...
Nimepita eneo karibu na ghorofa lililoporomoka na kuona lile jingine ambalo mwenyewe aliamriwa kulibomoa bado limesimama dede! Je, amri ya kulibomoa haikuwa sahihi, au kuna zuio mahakamani au ndio...
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania alikerwa na tabia ya wanasiasa kufanya kazi kwa kuangalia zaidi uchaguzi wa 2015 badala ya kujikita katika kuwatumikia wananchi akimtolea mfano...
Mwananchi wenzangu mimi nakelwa sana na jambo lolote linaloitaji uwazi na hatua zichukuliwe halafu mtu tuliyempa dhamana ya kuliweka wazi ndo analificha isivyostaili.kuna mambo mengi yanaitaji...
ili kuonesha kwamba mnayoyasema mnayamaamisha mwambie spika amchukylie hatua serukamba nkamia mwigulu nchemba ikiwezekana pendekeza wasimamishwe vikao siku 5 ndipo mtakuwa na authority ya kukosoa...
Rubani wa Mkuu wa Kaya anastahili hii .
So far ameweza kumrusha fastjet wetu mpendwa from South to North and East to West .
Kama kweli safari hizo zilizotajwa humu mtandaoni,basi huyu pilot ni...
Wabunge wa CCM, acheni kufanya kazi ya Nape; Nape afanye kazi yake na sisi tufanye yetu. Hatupo humu bungeni kufanya kazi ya Uenezi wa chama chetu hapana, tupo hapa kutetea wananchi waliotuchagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.