Godbless Lema did us proud!

Godbless Lema did us proud!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
Arusha nzima ilikaa kimya kumsikilza mbunge wetu akijieleza kwa umakini mkubwa na ufasaha, imefika wakati kila mpiga kura kujiuliza kama mbunge aliyemchagua kuwakilisha jimbo lake ana uwezo wa ushawishi au ni ubongo uliojaa upuuzi kama wa John Komba na Mwigulu Nchemba?

Jana ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kumwelewa kwa undani Godbless Lema,japo mimi ni mpiga kura wake lakini nilikuwa sijapata nafasi ya kukaa naye karibu na kuweza kuelewa uwezo wake.

Mkuu!!Arusha nzima inakuunga mkono kwa maelezo yako yote uliyotoa jana bungeni,Tanzania ya sasa inahitaji viongozi kama wewe ambao hawatishwi na siasa uchwara za CCM.

Nimegundua una uwezo mkubwa sana hasa baada ya kutoa mada kwa dakika zaidi ya kumi bila kusoma kwenye karatasi kama hao vilaza waliojaa huko bungeni wanavyofanya.

Nimeukubali uwezo wako wa kujiamini ambao nilikuwa sijaugundua hapo kabla,nakuhakikishia wana Arusha watakuwa nyuma yako na jimbo la Arusha litabakia mikononi mwetu milele.
 
Huyu yupo ktk black paper ya magamba wakati wote,..tupo pamoja kamanda Lema..nlimkubali Jana Alivyompa wakati mgumu Wasira na Lukuvi.
 
Arusha nzima ilikaa kimya kumsikilza mbunge wetu akijieleza kwa umakini mkubwa na ufasaha
imefika wakati kila mpiga kura kujiuliza kama mbunge aliyemchagua kuwakilisha jimbo lake ana uwezo wa ushawishi au ni ubongo uliojaa upuuzi kama wa John Komba na Mwigulu Nchemba
Jana ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kumwelewa kwa undani Godbless Lema,japo mimi ni mpiga kura wake lakini nilikuwa sijapata nafasi ya kukaa naye karibu na kuweza kuelewa uwezo wake,
Mkuu!!Arusha nzima inakuunga mkono kwa maelezo yako yote uliyotoa jana bungeni,Tanzania ya sasa inahitaji viongozi kama wewe ambao hawatishwi na siasa uchwara za ccm
nimegundua una uwezo mkubwa sana hasa baada ya kutoa mada kwa dakika zaidi ya kumi bila kusoma kwenye karatasi kama hao vilaza waliojaa huko bungeni wanavyofanya
nimeukubali uwezo wako wa kujiamini ambao nilikuwa sijaugundua hapo kabla,nakuhakikishia wana Arusha watakuwa nyuma yako na jimbo la Arusha litabakia mikononi mwetu milele


...Lema ni hazina ya watanzania woote na nafarijika sana kwa ujasiri wake,akionge magamba wanafyata,kila hoja ya lema hakuna anayeweza kuijibu zaidi ya AG au viongozi waandamizi akiwemo PM ,wengine woote hawatii mguu..big up Kamanda lema..
 
Arusha nzima ilikaa kimya kumsikilza mbunge wetu akijieleza kwa umakini mkubwa na ufasaha, imefika wakati kila mpiga kura kujiuliza kama mbunge aliyemchagua kuwakilisha jimbo lake ana uwezo wa ushawishi au ni ubongo uliojaa upuuzi kama wa John Komba na Mwigulu Nchemba?

Jana ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kumwelewa kwa undani Godbless Lema,japo mimi ni mpiga kura wake lakini nilikuwa sijapata nafasi ya kukaa naye karibu na kuweza kuelewa uwezo wake.

Mkuu!!Arusha nzima inakuunga mkono kwa maelezo yako yote uliyotoa jana bungeni,Tanzania ya sasa inahitaji viongozi kama wewe ambao hawatishwi na siasa uchwara za CCM.

Nimegundua una uwezo mkubwa sana hasa baada ya kutoa mada kwa dakika zaidi ya kumi bila kusoma kwenye karatasi kama hao vilaza waliojaa huko bungeni wanavyofanya.

Nimeukubali uwezo wako wa kujiamini ambao nilikuwa sijaugundua hapo kabla,nakuhakikishia wana Arusha watakuwa nyuma yako na jimbo la Arusha litabakia mikononi mwetu milele.
kwa watu wa arusha(wazee wa ndumu) sioni ajabu kumfagilia LEMA kwa kila upuuzi atakao ongea kwani hata yeye(mbunge) kafanana na wapiga kura wake(ulevi wa ndumu)... period
 
Mada ya UDINI? Kwani anawakilisha wakristu peke yake huko Arusha! Sishangai nchi hii kuwa masikini!
 
NAMSIFU LEMA ANAYAJUA HAYA...NAWAULIZA
CCM MNAYAJUA HAYA??..AIDHA
NI MTANZANIA GANI ASIYEJUA HAYA YANAYOTUTESHA KILA SIKU huku mafisadi wakipiga makofi tu kupitisha mambo haya haya kila siku.???????????????

1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
17...........
 
kwa watu wa arusha(wazee wa ndumu) sioni ajabu kumfagilia LEMA kwa kila upuuzi atakao ongea kwani hata yeye(mbunge) kafanana na wapiga kura wake(ulevi wa ndumu)... period

Hii ni abuse kwa wananchi wa Arusha! Hata hivyo Lema ni mbunge wao na wanajivunia kuwa nae hata kama hupundi!
 
Back
Top Bottom