Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni baada ya mbunge wa (CCM) Serukamba kutukana tusi kubwa F*ck U bungeni na Naibu spika kupotezea. Hali hiyo imeleta gumzo kila kona ya mtaa kuwa wabunge wa CCM wanatumia kiti cha spika na...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
Akizungumza katika jambo TBC Mh Mnyaa amesema tatizo sio kiti cha spika tatizo ni yule anayeongea zaidi ya mara 15 bungeni hali akiwa ameonywa mara nyingi zaidi na kiti, lakini bado huyu ndiye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wataalamu wa habari na mawasiliano hakuna jinsi ya kuipata hansard live ili tutumie hotuba na michango ya wabunge kama burudani? nawapa kazi hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa Dodoma,mambo yanazidi kupamba moto. CHADEMA ikiwakilishwa na Wabunge wasiofikia 50 Bungeni kati ya karibu Wabunge 300 wa Bunge zima,inachachafya Bunge,inatoa hoja nzito,inasema kweli daima...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi tunaanzaje, na tunajiamini nini mpaka tunafikia hatuasi ya kuwaita atu wengine MBWA? Je m,buge anaposema anaongea na mwenye mbwa na wala si mbwa sentensi ka hiyo inaashilia nini huko...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Nimejipanga kuanzisha mapambano barid dhid ya wezi wa utajir wa tanzania na kutukejeli kwa matusi na dhihaka. Watetez waliuwawa na serikal kama Karume aliposema muungano ni kot unaweza kulivua...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Written by Elbattawi // 06/04/2013 // Habari // 4 Comments KATIBU mkuu wa Chama cha wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amemshangaa Mwenyekiti wa Tume ya kuratibu Katiba mpya nchini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawapongeza wana Singida kudiriki kuchagua asiyekua mnafki bungeni,kwani ni mtu mmoja ila nikama wabunge 70 bungeni. Sio kwamba hana usingizi bungeni kama wabunge wengine hasa wa chama tawala ila...
10 Reactions
40 Replies
6K Views
Nilibahatika kukutana na katibu mkuu wa wizara ya ardhi Virginia, USA mwaka 2011 na kama watanzania wengine nilimlalalamikia sana kuhusu ucheleweshaji wa vibali vya viwanja. Huyu katibu mkuu...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Salaam wana jamvi,Ninapata shida sana na namna bunge letu linavyoongozwa kipuuzi, kibabe na kimbumbu ( without the rule of balancing equation) na maamuzi ya speaker, naibu speaker na wenye vitii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba alikuwa mchangiaji wa mwisho katika bunge jana jioni na baada ya kuongelea hali ya udini nchini akiwatuhumu mahasimu wao wakuu kisiasa CDM, kuwa ndiyo waasisi wa suala hilo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwana jf hivi umeshakaa ukatazama kwa umakini hii dhana wanayoihubiri wanasiasa wanaielewa au wanaongea tu? Do they know what they speak is that what they mean? Mheshimiwa rage na mwandosya...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
maneno ya wabunge wengi wa ccm bungeni: Mheshimiwa spika, napenda kuzungumzia kuhusu utawala bora!!hakuna nchi yoyote duniani inayosifika kamaTanzania katika utawala bora...Mheshimiwa spika, nchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Achilia mbali tusi la "... YOU" pamoja na "... MWENYE MBWA" kwa vile yanatendeka mchana kweupe basi laana inawafuata mpaka 2015, wataalamu wa movies za JAMES BOND na propaganda za UDINI nao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
National debt: Be patient, says govt Tuesday, 16 April 2013 22:04 By Felix Lazaro The Citizen Reporter Dar es Salaam. A day after the Controller and Auditor General (CAG) revealed...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tokea kutangazwa kuwa Zanzibar nikituo kikuu cha uingizaji wa Madawa yakulevya , wahanga wengi wamekuwa ni abiria wa kawaida wasio husika kabisa namambo hayo. Hii askari wa Kastamu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau sijamuouna Zito kabwe bungeni. wakati huu ambao chama kinapita katika harakati nzito za kuondoa fikra mgando miongoni mwa wanasiasa na watendaji wa serikali alipaswa pia kuwa sehemu ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
http://https//soundcloud.com/jamiiforums/bungeni-aprili-17-2013
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Viongozi wangu wa CDM katika harakati za Mungu kuharakisha Chadema kuiingia madarakani, ni pamoja na kusaidia kukitengenezea (mabomu) ya kutumia kuwalipua wakati wa kampeni zijazo. Haya maneno...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Back
Top Bottom