Samweli Sitta - Kweli Bunge lako lilikuwa na VIWANGO vya kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samweli Sitta - Kweli Bunge lako lilikuwa na VIWANGO vya kimataifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FUSO, Jul 13, 2012.

 1. F

  FUSO JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  Najaribu kuangalia Bunge letu linavyoendeshwa naona kabisa kuna udhaifu mkuu na wote mtakubaliana na mimi. Kwa sasa nimehakikisha maneno ya Samweli Sitta kwamba Bunge lake aliloongoza litabakia kwenye records.

  Na tungeweza kusonga mbele kama mweshimiwa huyu angepewa nafasi tena kuliongoza bunge hili, wote mnajua kilichotokea ndani ya chama chao wakati wa mchakato kumpata msemaji mkuu yaani spika.

  Matokeo yake ndiyo haya -- kwa mfano mwongozaji wa bunge anapofikia hatua ya kumwambia mbunge "wewe unawashwawashwa nini? " au anasema "mbona wewe ubunge unapenda kupata umaarufu" n.k

  Bunge na namna hii ni JANGA jilingine la taifa - (Usiniulize tuna majanga mapapi ya kitaifa tafadhali) Samweli Sitta waliokufanyia fitna waadhibiwe (Walaaniwe) na mwenyezi mungu hapa duniani na mbinguni kwani hawakuwa na nia njema kwa maendeleo ya taifa letu. sasa ndiyo tunaona HOJA zikiwekwa kando na MIPASHO ndiyo inatawala.


  Watanzania tunaikumbuka kazi yako nzuri.
   
 2. O

  Obesity Senior Member

  #2
  Apr 18, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika tunakukumbuka kwa busara zako za kuliongoza bunge japo ulikuwa kweye chama kile kinacholiangamiza taifa letu.Leo tunashuhudia kiti cha spika kikiwa kimepwaya sana.Heshima kwako mzee wetu Samweli Sita
   
 3. P

  PSM JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2013
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 543
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakweli Mtumwa akitoroka ndio umuhimu wake unaonekana........
   
 4. d

  delako JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2013
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2,000
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Daa!Nimemkumbukaje?Ccm walilijua hlo na sasa wameweka vivul v2!!
   
 5. J

  JAMES SIMBA Senior Member

  #5
  Apr 18, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namani ccm warudie kosa tena ,natamani pia 2015 wachague mgombea kwa usawa wa kijinsia iwe zamu ya mwanamke pasipo kuangalia sifa na uwezo wa mtu binafsi ktk kuongoza,
   
 6. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2013
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Dhambi ya Rostam na Lowassa iliyotendwa na Makamba inalipiwa katika bunge hili
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2013
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Yaani kama huyu mzee angekuwa bado kwenye kiti kile, mpaka sasa kuna wengine wangekuwa wameshajiuzuru, kama si 'kuuzurishwa' (tehe eteheee).....
   
 8. n

  ngogo JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 359
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndio tatizo bunge kuongozwa na wanawake, hasira za kuungua moto jikoni unazileta bungeni, hongera Lisu ni bora kufa umesimama kuliko kufa umepiga magoti
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  Peter Serukamba kachukuliwa hatua gani?
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Yule aliyetumia kiti chake vibaya na kufanikiwa kumtoa mwenzake kwenye uwaziri mkuu?

  Hakika tutamkumbuka kwa fitna zake.
   
 11. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  makinda Yuko sawa
   
 12. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2013
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ndugai nae alikua na hasira za moto? Alipokerwa na kuongea sana kwa Mh. Lissu?
   
 13. C

  CT SCan Mchina JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2013
  Joined: Mar 13, 2013
  Messages: 1,247
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hongera CHADEMA. Yaani Mpuuzi anasema eti Unaongea sana toka nje. Unaakili wewe?
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2013
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Labda huyo mpuuzi alidhani kule ndani wabunge wameenda kulala sana....
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 16. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2013
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,542
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  sikujua kwamba sitta alimtoa madarakani mtu na wala hakuwahi kuwa na mamlaka hayo,alichofanya ni kufanyia kazi shutuma ambazo baadae tume ya mwakyembe ilibaini kuwa za ukweli,tatizo langu kwa sitta na mwakyembe ni kuwasilisha ripoti nusu bungeni na nyingine wakaificha mpaka leo.
   
 17. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2013
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Bunge la Mh Sita lilikuwa bunge la kasi&viwango, while la mama makinda ni upolepole&kushusha viwango. Bunge la Sita ilikuwa kusimamia shughuli za serikal nakutoa ushauri. Ila bunge la mama ni bunge lakuwasimamia wabunge wapitishe kile serikali wanataka na pia wabunge wasikilize ushaur wa serikal nasio kuleta vidomo domo. Pia bunge la Sita ilikuwa hakuna kumlinda waziri,bunge la sasa kumlinda waziri kaz yakwanza, bunge la Mh Sitta michango yote inasikilizwa,bunge la sasa michango ya ccm ndio ina maana vyama vingine wao ni magaid. Tafadhal toa maon yako.... Send via nokia
   
Loading...