Kiti cha spika wa bunge kinaweza kukaliwa na yeyote na kusiwe na tatizo lolote, lakini majukumu ya spika wa bunge hayawezi kutimizwa na mtu ambae kichwa chake kinaongozwa na ubongo wa mtu...
Anaendelea na hotuba anasema haijazungumzia ajira, kilimo, afya,vijana wala haijagusa mambo muhimu yanayowakabili wananchi maskini wa tanzania kwa sasa.
anasema ANAMSHANGAA MBOWE katika hotuba...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.
"Suala la Bunge kurushwa ‘live' halirushwi...
Hivi kweli haya yanayofanywa na Bunge ndiyo tuliyowatuma wabunge wakafanye? na kama sio ni haki sisi tuendelee kunyamaza na wao waendelee kula kodi zetu? Natoa wito kwa watanzania wote wanaokerwa...
1.Kwa nini mnashabikia CCM licha ya shida zilizosababishwa na viongozi wa chama hicho kikongwe?
2. kwa nini huduma za afya na elimu ni mbovu kwa wananchi huku viongozi wa ngazi za juu wakitibiwa...
Wakuu,wazalendo watanzania,hivi hili eneo lilikuwa "reserved" kwa lengo lipi na sasa limeuzwa na kujengwa maghorofa kwa lengo lipi??yaani sasa hivi hili eneo linaunganishwa na mji na kuwa sehemu...
Kukamatwa kwa Lwakatare tena kwa kesi ya kigaidi ndio chanzo haswa cha kukolea kwa vurugu bungeni.
CHADEMA IMEFANYWA KA MBWA KOKO INAPIGWA INAKIMBIA INAFATWA MPAKA UKUTANI. Lazima sasa wajihami...
Wabunge wa CCM wameduwazwa na ushahidi wa lissu juu ya uchakachuliwaji wa wajumbe wa mabaraza ya katiba.PIA TUKUMBUKE JANA ITV WALIONYESHA JINSI UKIUKWAJI HUO ULIVYOFANYIKA
Katoa barua...
Hakika tumekwisha,wameanza mapema kukusanya fedha za kampeni,tujiulize Baba wa taifa kazikwa wapi?simba wa vita kazikwa wapi?Sokoine kazikwa wapi?Chief Adam S.Mkwawa kazikwa wapi?Karume kazikwa...
Tangu Anna Mkinda awe spika tunashuhudia vituko vingi bungeni kiliko wakati wowote. Kwa kiasi kikubwa bunge limeacha wajibu wake wa kuikosoa na kuisimamia serikali badala yake limekuwa uwanja wa...
Kwa michango iliyotolewa leo hii bungeni, hakika nimeamini hatma yetu watanzania ipo mikononi mwa wabunge wachache wa chadema akina Lissu, Lema, Mnyika, Sugu, n.k. Mungu awabariki sana sana sana.
Naomba sana kesho mh. Celina Kombani utakapo kuwa unajibu hoja na kuwindup hoja ya budjet yako basi tujulishe kima cha chini mwaka huu ni kiasi gani.
Tumechoka na kutupaka uji mdomani huku hamna...
tunajua kuwa mkuu wetu wa nchi umeamua kuwa sikio la kufa,
kila siku tunapiga kelele kuwa tunakerwa na ziara zako za ughaibuni, lakini imekeuwa kana kwamba unatukomoa na hujali sisi ''tunaokuonea...
Ccm kwa uelewa mdogo walianza zamani kutumia dini zetu kuomba kura na kuzima vyama vya upinzani vilivyoonesha nguvu, leo wanakana kuchochea udini nchini, wanasahau walipohaidi baadhi ya dini mambo...
Namuona mzee anaongea ktk usiku wa habari kwa utulivu kabisa,ila kaanza kujichanganya mapema,sijui ameagizwa kusema maana kama vile siyo maneno yake,mara kila dini isiingiliwe mara tuwe pamoja...
Hapa bungeni Dodoma Mbunge Lekule Leizer ameomba kama nidhamu ya wabunge itaendelea kuwa 'mbovu' ndani ya Bunge basi bunge hilo livunjwe kwa sababu halitakuwa na maana yoyote,amesema Bunge ndilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.